Ccm mwanga wamechanganyikiwa

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
salaam wana bodi
Hatimae nguvu m4c imeshika kasi. Chama cha Magamba inakoaminika ndo ngome cha Magambazi Mkoani kILIMANJARO hatimae wameukubali mziki. Habari kutoka ndani ya Chama hicho zinasema kuwa Jana kulikuwa na Kikao cha Kamati ya Siasa kilichohitimishwa na Kikao cha Halmashauri leo kikiwa na agenda moja kuu tu ya hali ya kisiasa ambayo imechafuka kutoka interior hadi mjini. Kila kona ni Vua gamba Vaa gwanda. Kitu ambacho kimewapa kiwewe. habari zaidi zinasema kuwa kwenye vikao vyote hivyo wana wasiwasi na Mjumbe mmoja wa Halmashauri ya Mkoa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa pamoja Mwenyekiti wa UVCCM mabo ni marafiki kuwa ndo waliouleta huo mziki. Diwani Machahari mwenye alegi na watoto wadogo wa shule (ana kesi ya kubaka kwa hakimu Mkisi Moshi) Enea Mrutu alipohojiwa na Chanzo changu makini alisema yule mtoto ni nuksi ndo anawaleta na kuwapa hata data pia ni mjeuri kwani hata jana kwenye kikao cha kamati ya Siasa alimjibu Maghembe kuwa kujisifu na kujitutumua kuwa Nangera echunguke (mama yake Maghembe anaitwa Nangera. Maana ya Maneno hayo ni kuwa Nagera amejifungua uzao Bora) hakuleti dawa hospital , wala vitabu shuleni anatakiwa awajibike kwa waliomchagua sio kwa Nangera! " unajua jana Mh. alivyotoka kwenye kikao alikuwa anaweweseka sana kuhusu Mwenyekiti wa Vijana. kuwa kamkachifu sana kwenye kikao. Wajumbe hawa muhimu walipohojiwa kwa nyakati tofauti tofauti walisema kama kuna mwenye uwezo wa kuthibitisha tuhuma hizo apeleke kwenye vikao vinavyohusika akiwa na ushahidi.
PEOPLEEEEEE...........................................
 
Kama Mtwara na Lindi wameshajitambua itakuwa vipi kwa Mwanga?
Hii kasi ya M4C ni kama tsunami!
 
Nasikio huko Mwanga M4C ina jina la OOMA, yaani, "Operesheni Ondoa Maghembe".
ndo maana yake! ngoja nimjibu huyu hapa chini pia Source ya habari hii ni mimi mwenyewe soma vizuri nimesema chanzo changu makini. Pia kumbuka kuwa alert za namna hii zinahangaikiwa na mtoa uzi mwenyewe
 
Wakati huo huo kamanda Kilewo kapiga kambi huko kuwashughulikia magamba vilivyo!
 
Nyie waachaneni kapumzi kadogo mnawakaba kila pahala, watakufa hima.
Hivi kama baadhi ya Magamba wakifa kwa kihoro kabla ya 2015 hii M4C haiwezi kushitakiwa kwa kuua bila kukusudia (Manslaughter)? maana huu mwendo mdundo ni hatari kwa maisha ya baadhi ya watu (mafisadi)
 
2015 mwisho wa dunia ya magamba
watalia na kusaga meno
bila CCM kufa hakutakuwa na maendeleo Tanzania
the same kwa Uganda bila NRM kufa hakutakuwa na maendeleo
this guys two parties must go for good, NRM and CCM
 
Back
Top Bottom