CCM must wake up now not later!

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Kwa mwenendo nliouona jana bungeni nimeisikitikia sana CCM maana inajichimbia kaburi na kuipandisha CDM kwa mambo ambayo wala DCM hawahitaji kupandishwa kwayo. Mfano:-
1. Lema aliomba mwongozo kuhusu waziri mkuu kulidanganya Bunge. kilichotokea ni kufokewa kisha akaambiwa alete ushahidi. alipopeleka ushahidi spika akasema atausoma. Mpaka leo Kimyaaaaa!!
2. Jana Mbunge kasema wabunge waliobishana na Kiti cha spika wapimwe akili - haraka haraka Jenista akalitolea majibu!
3. Waziri kaomba mwongozo alipopewa akaanza kutoa hotuba - ilipoingizwa hoja ya kutaka clarification ya hiyo hotuba mtoa hoja akatolewa nje!!

THEN: Where are we going with fair discussions?
CCM must know that Current Tanzanians analyses things critically!! therefore they must watchout their moves.
If I was Ndugai on the issue of Lissu, Msigwa and Lema I would do the following:-
1. Remove those three
2. Pick any one or two prominent CCM MPs then, remove them together with those three guys above. Such move could shade the complaint that the Speaker is biased!
 
It look like CCM read my thread!!
I saw the way they criticized Maige; Tibaijuka na Ngereja! at the end of the day they supported the budget by 100%
CDM must refrain their strategies!!
 
nasikitika kukujulisha kua ccm haina mpango wa kuamka,wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa.tunasubiri tu mazishi yao
 
Nani kakwambia CCM imelala?? Wanayoyafanya ndo waliyokusudia kufanya hivo wako macho tena wamekodoa kodo.
 
CCM wameamka!
Wameanza rasmi kutuzuga!
oh Jairo hana hatia!-Luhanjo
Oh tuunde tume imchunguze kisha maamuzi yafuate!-Bunge la CCM
Oh aliyevujisha siri tunamshughulikia!!-Luhanjo
Oh ni utaratibu wa kawaida!-Uttoh
Oh matumizi ya ile fedha yanaonekana halali!- Uttoh
ccm bado tutawashtukia tu kwneye hiyo mbinu yenu mpya!! ......... sooner or later
 
na yatakuwa yale ya tumeteule ya Mwakyambe. AMINI MSIAMINI . Bunge likiwa na meno yake ya plastic litasema Jairo awajibishwe mara moja na serikali itamstaafisha kwa mujibu wa sheria . This is Tanzania
 
Back
Top Bottom