CCM muhurumieni Nape, ameanza kuchanganyikiwa

unajua humu jf ndo wamenifanya nianze kumfatilia kwa ukaribu Nape kwan watu walpokua wakichangia na kusema huwa hoja zake ni nyepes nilikua siamin km CCM pamoja na uzoefu wake wote na upinzani uliopo hasahasa kutoka CHADEMA ambayo ina vijana na wazee machachari wenye kujiamin na wenye uwezo mkubwa wa kufikiria mbali na kuona meng ktk nchi hii wangemuweka mtu km Nape ktk nafasi km hiyo..lakin kdri siku zlivyokua zinasonga mbele ndipo nilipoanza kuamini taratiiibu kua humu JF huwa hawabahatish mambo,kua kuna watu wenye muono wa mbali na wa hali ya juu...hata unapomfatilia Nape anapohojiwa hasa na wale waandish ambao hawako upande wowote wa kichama utasikia jins anavyotoa majibu mepesi na yasiyo na matumaini kuhusu chama chake.........................NDIPO NINAPOKUJUA NA MAFIKIRIO HAYA...KUA CCM HAKUNA KIONGOZ MWENYE UWEZO WA ZAIDI YA NAPE KTK NAFASN ALIYOPO AU CCM HAKUNA IMEVURUNDA KIASI CHA KWAMBA HAKUNA JIPYA TENA NA LENYE MVUTO LA KUWEZA KUTETEA CHAMA MBELE YA MACHO NA MASIKO YETU????Sipend nionekane kama naiponda CCM ila wakat mwingine natafuta japo kidogo cha kuweza kukisifia chama cha mapinduzi....
 
Msilaumu kila kitu wajameni kama mtu karuhusu majengo ya tumike tena ya hospitali halafu mnapiga kelele tena...mnataka ndugu zetu wafe? badilikeni sio kila kitu ni kibaya
Ameruhusu yatumike? my foot, hata Mbatia sasa anaweza kuagiza nauli za feri Kigamboni zipunguzwe kwa vile anasaidia watu. Kama Nape karuhusu kwani yeye ndiye atakayeajiri wauuguzi na madaktari? yeye ndiye atayewalipa mishahara? na kwa bajeti ipi hii inayokuja au ya 2011/12. Jamani acheni kukurupuka kutetea mtu anayeingilia kazi zisizo muhusu amekuwa kama Mrema enzi zake kwenda kuhoji utendeji wa waziri mwenzake.
 
Sikunyingine atasaini hundi za halimashauri kama signatory ili hela zitoke benki kazi ifanyike na ilani ya waoem itimie
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

QUOTE=Bumpkin Billionare;3977484]Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.
[/QUOTE]

Mbona hiyo hospitali unayoisemea wafadhili wake wakubwa ni taasisi ya kidini na si serekali ?
 
Haistahili hata kidogo watu kutumia kod zetu vibaya kias hik.Inaonekana Nape ni mchapa kaz mno maana kila mahal yupo na ndiyo mtu aliyebak kunako CCM.Maana wengine wote kimyaa had mkuu wa kaya na siku wakiongea wanachokiongea hakina matumain kwao wala wananch ni mipasho tu.
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

Duh! We dogo Nape mbona hivyo tena? Kwa sisi wa-saikolojia, hakika tamko lako linaonyesha upo kwenye stress, tena ile ya hali ya juu, yaani hyper-.
 
Mhhh,
Siwashangai sana watu wa aina yako, maana cha kwenu sio chama cha siasa ni kundi la wanaharakati hata Mwenyekiti wenu kakiri kwamba sasa ndo mnafanya juhudi za kukigeuza kuwa chama cha siasa. Ndio maana kutojua kwanini nakagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi za CCM kwa umma si jambo linaloshangaza!
Lakini hebu tafakarini hili, kwa muda mrefu hapahapa jf mlipigana vita ya kisaikolojia kuwa ahadi za jk na ilani havitekelezwi na mlikuwa mkiniuliza mie ni kwakiasi gani ahadi zinatekelezwa, sasa leo nafuatilia kuona kasi ya utekelezaji, MNAKURUPUKA BILA AIBU MNABWABWAJA MANENO YA AJABU!!
AMA KWELI NDO TABU YA KUWA WAFUASI WA KUNDI LA WANAHARAKATI BADALA YA CHAMA CHA SIASA!!

Naomba viongozi wa chama tawala mliopo madarakani mjue kuwa mnapokosolewa, sio lazima mkosoaji awe wa chama kingine, inawezekana kabisa kuwa ni wa chama chenu, Nadhani ulimsikia Maige, yule ni mwanachama mwaminifu wa ccm, lakini katika kusafisha kidonda daktari hajali maumivu anayopata mgonjwa. kwa hiyo uzi huu inawezekana kabisa umeletwa na yellow color mwenzako ambaye angependa kuona chama chake kinakuwa mfano kwa kufuata taratibu za kiutawala, kwa hiyo usikurupuke kutukana vyama vingine. Tatizo lenu sasa hivi mwanachama mwenzako akikuambia nawa uso vizuri, unamtishia kumchapa viboko. kweli naanza mipango ya kurudisha kadi ya ccm kama viongozi wake ndio hawa.
 
Siajakusoma!!

Mbona haueleweki unaongelea nini..??

Haistahili hata kidogo watu kutumia kod zetu vibaya kias hik.Inaonekana Nape ni mchapa kaz mno maana kila mahal yupo na ndiyo mtu aliyebak kunako CCM.Maana wengine wote kimyaa had mkuu wa kaya na siku wakiongea wanachokiongea hakina matumain kwao wala wananch ni mipasho tu.
 
baghdad-bob1.jpg
Sijui kwa nini nikimuona nape namkumbuka huyu jamaa, wakati mwingie huwa nadhani naota lakini kila saa haya mawazo yananjia tena kuwa nape ni huyu jamaa
 
Good day Nape,

What was your conclusion on this note?

I would like to hear from you please whether ru.bb.ish or meaningful to you, please say it.
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, kwa macho yangu nikiwa mzima sijalewa nimeshuhudia jambo ambalo mpk sasa nimeshindwa kulielewa. Nape anaanza kudata au siasa za Tanzania zinaruhusu hiyo?

Nape anaonekana akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Singida (ambayo iko kwenye ukarabati na utanuzi) pamoja na maafisa kadhaa wa Hospitali hiyo na Magamba wenzake. Kilichonishangaza hapo ni kauli za Nape kwa wale maafisa wa hospitali.

Mara baada ya hotuba za blah blah (kama kawaida ya CCM) Nape alisema (nanukuu) ''....nitaiagiza serikali ikae na kufanyia marekebisho ya hii sheria maana inakwamisha ujenzi wa majengo ya serikali kwa.........''.

Kama haitoshi Nape ambaye mimi nimekuwa nikimfahamu kama kiongozi wa CCM na si Serikali aliongezea "Haya majengo ma3 yaliyokwisha kukamilika yaanze tu kutumika, sioni sababu za kusubiri wakati wananchi wanahitaji kuyatumia......"

Je huyu Nape amekuwa nani kiasi anaweza kuamua yeye majengo ya hospitali yaanze kutumika as if Waziri wa wizara husika na uongozi wa serikali ya Mkoa hauna mamlaka mpaka aje kuamua yeye?

Si kwamba dogo anachanganyikiwa baada ya magamba kumshinda sasa kichwa kinamruka na anapata illusions kuwa yeye ni waziri au mkuu wa mkoa wa Singida?

Imefikia wakati sasa CCM imuonee huruma huyu ndugu yetu. Majukumu waliyompa yamemzidi uwezo kiasi ameanza kuyakimbia na kuingilia kazi za watu wengine absent minded. Poor him, illusions.

Unashangaa ya Nape, mkama katembelea Ofisi za ccm Kibaha huku akisindikizwa kwa Ving'ora vya police
 
mi namlaumu aliyemchagu ana kumpa hiyo kazi maana ndo anayeleta hili janga
 
msimlaumu sana Nape
anajua amekalia kuti kavu na lazima alikalie hadi limwakie moto
lakini mda sio mrefu atakuja kuungana na wanaharakati wa mabadiliko
na ataeleza uovu wote wa kuti alilokalia.Mungu ni mwema alimchagua nape
ili asaidie kubomoa chama chake kandamizi
 
Alitegemea angepata uwaziri sasa yote hyo anataka kumueleza jk wake kuwa hata yeye kazi zingine anaweza siyo kutoa matanganzo ya chama tu.

Dogo wenzake Makamba na Makalla walipata, yeye nafikiri CCM wanamuhitaji katika nafasi hiyo ya Propaganda! Huenda kichwani ana illusion kuwa naye huo Uwaziri ANAO!
 
Kama kawaida siasa nyingi na kukimbia mambo ya msingi.Nape hajajibu swali la msingi, yeye ni nani mpaka aamuru majengo yaanze kutumika? Hivi nchi haina taratibu na mipaka?

Asante sana umeona ujinga huu wa nepi.
amekuwa kama mbwa wa bwana anayebweka alipomuoana bwana wake ili amuone kama mlinzi mzuri, amesahau kwamba pale alipo ni sokoni ALIKOKWENDA KUOKOTA MIZOGA na si nyumbani kwa bwana, aibu, Nepi rudi kwanza nyumbani ndipo ubwake. ama ulitaka kumtisha mkuu wa mkoa kwa kuwa wewe ni CC na si kata ama tawi?

NAPE WANAHARAKATI WANAKUJA KIMBILIA NYUMBANI HUKU UKITIKISA MKIA MBELE YA BWANA.
 
Msilaumu kila kitu wajameni kama mtu karuhusu majengo ya tumike tena ya hospitali halafu mnapiga kelele tena...mnataka ndugu zetu wafe? badilikeni sio kila kitu ni kibaya

Hapana mkuu Ivuga.....akiachwa bila kukumbushwa kuna siku atakuja kuruhusu magari kinyume na askari barabarani na kusababisha maafa bure!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom