CCM msirudie haya tena, hayapendezi na hayavumiliki!

Mbona inakuuma sana ww ulikosa nn ? acheni husda na roho mbaya cdm , mna roho za kwa nini, na watu wa hivyo hawawezi endelea


Kwa hali hii hapa chini lazima roho iniume. Hivi hapo mngenunua vitanda vingapi kuwasaidia hawa kina mama?

tanzania_materna_460261artw.jpg
Upungufu+wa+vitanda+vya+kulala+hospitali+ya+Mwananyamala+7+Oktoba+2008.JPG
 
hiyo ni husda kweli...ina maana CCM waliitisha mkutano kwa ajili ya kuwaiga CDM? na hawakuwa na mpango huo? mbona Mkulo, Maige, Nkya, etc hawakufika kuzungumza, next time CCM jiandaeni na mje na kitu kitu kipya, hiyo ni HUSDA kubwa sana mmefanya, jiandaeni kwenda Arusha, Mwanza, Mbeya, Mara, etc kujibu
 
Kama kawaida yenu kwa kuremba UONGO na kutaka watu wajue ni kweli! Hatudanganyiki! CCM walijimaliza CHADEMA SQUARE, Walionyesha udhaifu mkubwa wa kukodi mamuluki ili kujaza uwanja na bado hamkufikia watu waliohudhuria Mkutano wa CDM kwa mapenzi yao
 
Mleta mada ni Tambwe hiza, msisumbke saana kujibu,utamtambua kupitia michango yake. Reff.mjadala wa katiba mpya pale karimjee alivojibu pale alipoulizwa kwanini alisomba watoto, alikuwa akijibu kama anavojibu mleta mada.
 
Nimepitia comment zote za juu nimegundua mleta Uzi ni zaidi ya kichaa. Wanabodi na pro-CDM kwa ujumla hata wenzake wa ccm hawa msupport tuachane Naye twendeni kwenye nyuzi za maana
 
Hapa najiuliza:

Hivi huyu mtu kaleta hii thread makusudi ili kuwaudhi watu au apate watu wa kumuudhi ?
You never know, binadamu ni kiumbe wa ajabu sana, pengine huu ndio ulevi wake !

Respect !
 
Nikuulize, hapo ndio umejibu nini sasa ? huu ni msiba kwa JF kuwa na watu kama wewe

Hii ndo sababu nasema umetoroka Mirembe!!Sijajibu kwa sababu hakukuwa na cha kujibu period!!Mtu timamu hawezijibizana na mtu mwenye dalili zote za kuwa na mtindio hapo ndipo ilipo tofauti.Wafu wa ufahamu wapo wengi kwenye hicho chama chenu so wewe ni miongoni mwao uliyeamua kuifisha kama haijafa yenyewe akili yako.
 
Jingine alilosahau mtoa mada kuhusu huo mkutano ni kwa wasemaji wao kukacha kuzungumzia kero moja kubwa inayowamaliza CCm mpaka kufikia hali dhaifu waliyonayo:ufisadi uliokithiri katika safu zao na ahadi ya kuitokomeza kiukweli, na siyo kiujanja ujanja.

Siku nyingine wamwite Hosea katika mkutano wao.[/QUOTE

Umeonyesha uwezo mdogo sana wakufuatilizia mambo, mkutano ule siku ile Agenda zake zilitangazwa na kwenye vyombo vya habari pia, hilo ulisemalo lilikuwepo?. Litazungumzwa tu kwani mikutano hii ni ya nchi nzima na ndio imeanza, kila kitu kitajibiwa. Tofauti na mikutano ya cdm ambayo ajenda zake huwa hata hazifahamiki kabla, hiyo ina maana kuwa HAIKO WELL ORGANIZED.
MAY YOU REST IN PEACE MKUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom