CCM mpya haina majeraha - kauli ya katibu mkuu mpya

namboyo

Member
Apr 8, 2011
58
6
chama cha kijana ambocho kinaongozwa na koo sita chaogopeka kwa wananchi .chama mapiduzi huongozwa vyombo viwili ambavyo ni cc na necchama hiki huongozwa na koo zifuatazokoo zenye ushawishi wa kisiasa na zenye feza zenye ushawishi wa kifeza ni 1 koo kikwete ambayo yumo kikwete,mama salma, lizione 2koo ya makamba ambayo yomo makamba, january 3 koo ya msekwa ambayo yumo msekwa na mama anna abbdala 4 koo ya karumu ambayo yumo abedi a karum all karume na fatuma karume koo zenye ushawishi wa kifeza ambazi ni koo ya 5 koo ya lowasa 6 koo ya rostam koo zinazo ongoza kisiasa wengine huja maamuzi wakiwa chumbani na wengine wakiwa nyumbani koo zenye ushawishi wa kifeza huamua nani awe raisi au awe mwenyekiti wa kamati yoyote
 
Ukoo wa Mnauye vipi? Kitendo cha kumbeba Meghji kinaonesha ni jinsi gani CCM ni sikio la kufa.
 
Siasa za Wahisani
Wengi tunafahamu jinsi gani hii serikali ya kikwete ilivyo broke na kukataliwa misaada na wahisani. Wengi tunafahamu mbinu za kikwete ambazo hata Mkapa alizitumia kwa kuwaahidi wahisani kwamba wanajali sana jitihada za kupigana na rushwa Tanzania. Mpaka alikuja na hizi saisa na kila wakati IMF na WB wakimbana anatafuta visingizio. Leo ni zamu ya kikwete na cc kuwadanganya IMF na WB. Tunafahamu sasa hivi wana-negotiate funds ambazo donors walisha zikata kiasi kikubwa. Hizi ndizo mbinu za ccm na tukitaka kujua zaidi, angalia jinsi gani ripoti za hali ya uchumi na inflation rate zinazotolewa kwa wahisani kwa mahesabu ya uongo. Tuna ushahidi mkubwa BOT, Ndulu na Treasury, Mkullo hawafanya kazi kwa manufaa ya watanzania ila malengo yao makubwa ni kuhakikisha wanaongea the right thing kwa donors ili funds wa kujenga ccm na mafisadi ziendelee kutolewa. Jitihada za ccm zinaonekana kugonga ukuta hasa kipindi hiki kwasababu wananchi wanafanya kazi kubwa kupata information za serikali yao na pia mchango mkubwa wa Chadema kwa wananchi ndani na nje ya nchi.
Tanzania tackles graft with snail
NAM News Network

Swali Kila Mtanzania Anatakiwa Awaulize Kikwete, Ndulu na Mkullo ni hili, Taifa la Tanzania Tuna madeni Kutoka Nchi Zipi na Mabenki Yapi? Kwanini tbc na dairy news don't air or publish these important information?

Jitihada za Kupumbaza Wananchi
Kikwete kawakusanya cc huko dodoma na kujifungia vyumbani wakiandaa jinsi gani ya kuwanyanyua January, Kinana na wengine ili wawape nao pesa za ufisadi. Tofauti gani hawa watanzania wataleta kati yao na baba zao? Mpaka sasa watanzania hatujaona hizi familia za mafisadi zikipigania funds za vita za rushwa ziongezeke au katiba ya kuwalinda watanzania. Yanayotokea Dodoma ni njama za ccm kuwadanganya watanzania. Kitu kinachoshangaza na uzembe wa uongozi wa kikwete ni kwamba, yeye anauwezo wa kuwakamata wote walioibia watanzania i.e. kujihudhuru kwake juu ya dowans, Mkapa, Rostam, Lowassa na mafisadi wengi cc. Kilichofanyika ni kuwahakikishia ni "Immunity na Ulinzi" wote wakina Mkapa, yeye mwenyewe kikwete, Lowassa, Rostam ili wafanye kila njama kukilinda chama na kuhakikisha wanahusika kuiba tena uchaguzi na kuua Chadema, chama ambacho hawakiwezi.
allAfrica.com: Tanzania: CCM Pledges Nationwide 'Cleansing' Drive

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/96932-mauzauza-ya-radar-na-hosea-wa-takukuru-soma-jadili-chukua-hatua.html
Now CCM ’protects’ Mkapa, censures Sitta
The African Executive | Kudos Ernest Bai Koroma and Ida Odinga

Vikao na Porojo za ccm Sio Hazitawaokoa, Justice and Constitutional Rights for All Tanzanians Should be the Focus. Watanzania Tunasubiri ni Siku Maalumu ya MAZiSHI Kuzika ccm
 
Katibu mkuu mpya wa ccm amesema chama chake baada ya hatua ya kujivua gamba kimebaki hakina majeraha, mimi ni mwanchi wa kawaida tu nimesikiliza kauli yake na kujaribu kuitafakari, wadau yawezekana kweli chama kikabaki salama kwa kauli hizi za eti "eti mafisadi tupisheni", Mmoja wa makada wa ccm vijana alitamka wazi RA tupishe nenda zako hiuko ulikoikimbizia familia yako, kumbuka yeye RA alikuwa cc wa ccm leo mnamtaka aondoke nchini, kweli kutakuwa hakuna majeraha?
 
Maneno ya busara sana haya, sasa mambo yote SAFI, 2015 itakuwa rahisi sana na hakuna kupoteza jimbo hata moja.
Uongozi mpya mambo safi na mapya.

Kidumu chama chetu..
 
How about these people?

kikwete%2Bcnn-776201.jpg


mkapa1.jpg


1.jpg


Bilal+mag.jpg


BC.JPG


352270.jpg
 
Kwa kitendo chao cha kukataa pendekezo la wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni makada wa ccm wasiwe wajumbe wa kamati ya maadili ya mahakama kunadhiriisha wazi kuwa wabunge wa ccm wameweka mbele zaidi maslahi yao ya kichama kuliko kuona taasisi muhimu kama mahakama ambazo zinatumiwa na watu wote regardless of their political affiliation zinabaki kuwa huru.
 
Tangu Nape apewe nafasi ya uenezi ndani ya CCM, namwona Yusufu Makamba akiongea ndani yake.

Namwona kama anayeropoka, kurupuka, asiyejua anakoenda, sielewi vizuri ndivyo alivyo au nipanic ya kupewa nafasi kubwa kuliko uwezo wake.

Naona mwisho wake ni sawa na ule wa Makamba kwani Makamba alianza kwa kupayuka, kejeli nakdhali.

Nape anafaa sana kuwa kwenye team ya Tambwe yaani propaganda. Hawezi kupambana na wenye hoja.

Tusubiri.
 
Uchaguzi wa viongozi wa juu CDM ni lini? Tunamsubiri kwa hamu kijana kabwe achukue mikoba ya uenyekiti, wakuu uchaguzi ni lini?
 
huyo hana ushawishi kisiasa anaweza akatupwa nje hawa wengine ndio wanaopanga maisha ya watanzani
 
Maneno ya busara sana haya, sasa mambo yote SAFI, 2015 itakuwa rahisi sana na hakuna kupoteza jimbo hata moja.
Uongozi mpya mambo safi na mapya.

Kidumu chama chetu..

Usituchefue wasomaji,
Kwa lipi jipya? kwa CCM kumpata huyu mkurugenzi zamani wa jiji la Dar?, huyu mkwe wa Kingunge? huyualiyeipatia familia ya kingunge kazi ya kukusanya kodi ya kuingia stend ya Ubungo TERMINAL kwa ajili ya kuwaibia watanzania mpaka Mh. Pinda akawatoa speed? ni huyu aliyewapa familia ya Kingunge maegesho ya Jiji la Dar-Es-Salaam ambayo mapato yake hatujui yakoje? kama ilivyokuwa kule ubungu terminal Mkaguzi wa Serikali aangalie huku pia, sidhani kama kule ni salama!
Huyu ni bomu kama CCM wote walivyo hana jipya, hana uwezo, hana hoja.
NI FISADI TU huyu pia. ALITOLEWA JIJI BAADA YA KUSHINDWA KUFIKIA VIWANGO SASA HUKO KWENYE UKATIBU MKUU WA CCM ATAVIPATA WAPI VIWANGO?
Nape amekuja kurithi kazi ya baba yake, lakini mazingira ya baba yake ni tofauti kabisa, Mzee Moses Nawie alikuwa Mwimbaji mzuri aliweza kupat cheo hicho kwa kuimba vizuri, sifa ambayo nape hatuna uhakika kuwa zaidi ya Komba. Nape hana jipya labda kwa dhana ya kuwa baba ya Mzee Moses Nawie lakini kwa yeye hana jipya mtamtoa speed baada ya Mwaka huu tu, hawezi kumechi anga za CCM wala hana nguvu za kuongoza mapambano ya CDM.
Makamba ndo bure kabisa, yeye hana jipya ni vile baba ameondolewa hivyo amewekwa yeye ili jina lisipotee,
Poleni sana kama malengo ni 2015, you will not achieve.

nawatakia kifo chema na mkalale pema peponi.
 
siyo kweli kwamba wakuu wote wa mikoa ni wa chama kimoja, huo ni mtazamo finyu.

labda ungetusaidia wewe mwenzetu mwenye mtazamo mpana wakuu wa mikoa wengine wanatoka vyama gani na lini
walichaguliwa na vyama vyao kuwa wakuu wa mikoa, at least mimi ninaweza kukupa mfano wa wakuu wa mikoa waliochaguliwa na m-kiti wa ccm ambao ni wakuu wa mikoa wote tanzania.
 
Hii post niliiweka sehemu nyingine naomba niilete tena hapa.

Nahisi uamuzi wa kukataa mapendekezo ya Mh. Lissu umejikita zaidi kwenye itakadi na si hoja/faida za mapendezo yenyewe. Kwa mfano, haiingii akilini leo hii (2011) bunge letu kupitasha sheria inayomfanya mkuu wa Mkoa au wa Wilaya kuchunguza tuhuma dhidi ya Mahakimu wa Mikoa na Wilaya pamoja na watendaji wake. Ikumbukwe kuwa wengi wa Wakuu wa mikoa na Wilaya zetu hapa nchini elimu yao ni ya mashaka na hasa linapojitokeza jambo zima la utowaji haki kwa maana ya Mahakama kutafrisi sheria ili kutoa haki stahiki basi kunaacha maswali mengi sana juu ya uamuzi wa wabunge waliopinga mapendekezo ya Mh. Lissu.

Najua Mh. Waziri Celina Kombani na I believe ni Mh. Simbachawene wamejarabu ku-spin huu utata kuwa maelezo kwamba hawa wakuu wa mikoa na wilaya watakuwa wanachunguza tu malalamiko dhidi ya watendaji wa mahakama (mahakimu etc).!!! Surely, this is an insult to our intellegence. Hivi inaingia akilini kweli kuruhusu (e.g) Standard 7 or even Form VI leaver ambaye hana uelewa wala uzoefu wa kutafsiri sheria (mahakama kazi yake kubwa ni kutafsiri sheria) achunguze watu wanao-pratice sheria? Wabunge wanaona shida gani au kuna hasara ipi kama Taifa kuwa na mfumo wa kusimamia utendaji na utoaji wa huduma za kimahakama ndani ya Taaluma na ethics za Taaluma yenyewe?

Kwa mtindo huu wabunge wa CCM watakuwa wanazidi kudidisha heshma na Trust ya chama chao kwa umma wa Watanzania. And worse, inaondoa morali kwa mahakimu wetu kwani ‘technically’ speaking watakuwa wanafanya kazi chini ya uangalizi wa wana-siasa. It is national tragedy what happened today in DODOMA.

Moving foward, inabidi wabunge wetu (hasa wale waliokataa mapendekezo ya Mh. Lissu ya kufanya huu mhimili uwe independent) watueleze hawa wanasiasa wanafanya nini kwenye mahakama zetu? And more importantly, wanaamini katika ‘separation of powers’ kwa mihimili mikuu ya nchi? Kuna Mheshimiwa mmoja I think ni Mh. Lucy Mayenga amesema hivi “...Kuna wabunge wenye taaluma ya sheria wametumia bunge kuonesha ujuaji wao kuliko 'waliobobea' kwenye sheria…” Hivi wabunge waliobebea kwenye sheria ni wepi hasa? Chenge aliyesimamia mikataba mibovu na itakayogharimu this nation for generations? Au ni Werema ambaye badala ya kuhusu parlimentary debates anakimbilia kusema ‘use sergent arms’? All in all kama kweli kuna wanasheria waliobebea kama anavyotaka tuamini huyu Mhemishimiwa & co ni vizuri maana we need answers as hawa School-leavers wanafanya nini kwenye usimamizi wa kiutendaji wa kimahakama hapa nchini.

Kwa sasa ningeomba kama kuna mtu anaweza kutuwekea orodha ya wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na Education credintials zao ili tuweze kuwaelewesha wabunge wetu ni blunder gani waliofanya leo Dodoma.

In the meantime, ningeomba mtu mwenye mawasiliano na Tanganyika Law Society awasiliano nao ili watueleze sisi wananchi kwa kutumia experience yao nini madhara (na faida if any) ya watendaji wa kimahakama kusimimiwa na wanasiasa. Hapa naomba tuondoe itikadi becuase as far as I am concerned ITIKADI ni sawa but what is importnat ni TANZANIA as a people.

Kwa upande mwingine sisi kama wananchi naomba tuwaulize wabunge wetu huko majimboni ni kwa nini wamepitisha hii sheria na (again) wanaamini katika separation of powers? Kwa wale wabunge wa VITI MAALUM, I believe hivi viti maalum vina attachment i.e NGOs, Walemavu, Wafanyakazi etc. Sasa, hivi vikundi wanavyosema hawa waheshimiwa kuwa wanaviwakilisha basi wawaitwe huko ili watoe ufanunuzi wa hayo wanayofanya huko Dodoma. Haya ndiyo majimbo yao kwa hiyo ni muhimu kwa hawa Waheshimiwa wakawajiba huko. Kwa mfano mbunge wa viti maalum –NGOs aitwe na vyama husika (i.e FemAct) ili auze uamuzi wake aliofanya huko Dodoma.

We should not leave sheria ambazo zitatuelea madhara kama Taifa kwa mtu ua kikundi kimoja. We have to make it clear kwa wabunge wetu that ‘vyama vya siasa ni muhimu lakini muhimu zaidi ni Tanzania’
 
..Nilikwisha sema hapa JF kuwa...TIMU NI ILEILE TU,kama kuna mtu alitegemea mabadiliko namuonea huruma.........
 
Uchaguzi wa viongozi wa juu CDM ni lini? Tunamsubiri kwa hamu kijana kabwe achukue mikoba ya uenyekiti, wakuu uchaguzi ni lini?

Hujakua nini nyoka aliyefufuka.

Kuhusu uchaguzi wa chadema nenda ofisi za CHADEMA siyo hapa JF.

Halafu Zitto akiwa Mkiti chadema, utakuwa tayari kuolewa nae ?
 
Hujakua nini nyoka aliyefufuka.

Kuhusu uchaguzi wa chadema nenda ofisi za CHADEMA siyo hapa JF.

Halafu Zitto akiwa Mkiti chadema, utakuwa tayari kuolewa nae ?
Ni zamu ya kanda nyingine kushika hatamu, kanda moja kwa miaka 15 imeshindwa, mabadiliko ya kanda yanatakiwa, na hilo ndiyo gamba muhimu kwa CDM
 
Back
Top Bottom