Elections 2010 CCM Mpaka watoto mnaomba kura?

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
''Haya nipeni kura zenu mpate peremende''

nec-2.jpg
 
Dahhh huyu dogo wa kushoto kwa jk ana mapunye vibaya sanaaaaa tehhhh
 
Kwani hamkuona wakati wa kura za maoni ndani ya ccm,watoto walitengenezewa kadi za chama na vitambulisho feki vya kupigia kura?
 
Back
Top Bottom