CCM Morogoro gogoro?! Kisa CHADEMA?!

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,715
Wana JF,

si mulisikia kuwa CDM walikuwa wafanye mkutano hapa mjini mrogoro jana mchana?! Si mulisikia kuwa polisi/ serikali ilikataa mkutano usifanyike kwa kisingizio kuwa hapakuwa na polisi wa kutosha kuwalinda?!. Sasa fununu nilizozipata hapa Mjini Morogoro ni kuwa CDM wamekubaliana na polisi kuwa mkutano ufanyike huko kilosa kwenye siku waliyokubaliana

8ehind the screen story ni kuwa wabunge wa morogoro mjini kupitia CCM ndio walioshinikiza mkutano huo usifanyike morogoro mjini kwani mkutano huo utawafifilisha kisiasa. Sasa maoni yangu ya mshangao ni kuwa, Je; ccm hiyohiyo imeamua kumtoa kafara mbunge wa jimbo la kilosa mh. Mkullo?!.
 
Back
Top Bottom