CCM ..Mlichomfanyia Speaker Sita... Kinawatafuna na Mlijiloga Wenyewe..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,726
Eti leo hii CCM.... wanavua magamba.. kisa UFISADI....... MKAMUONDOA SAMWELI SITA... mwenye uchungu na nchi hiii kwenye uspika aliyekua akipinga huo huo ufisadi.... Haingii akilini leo mwajivua Magamba.. Ivi CCM nawauliza mwataka tufanya wa TZ mazuzu mpaka lini... Nanukuu kauli ya Mh. MZINDAKAYA wakati anaaga bungeni alisema ..."kitakacho iondoa CCM...ni hizi shule za Kata".... nafikiri Mzee huyu alimanisha watanzania sasa ni waelewa...

naomba kutoa hoja..
 
........Ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga...
:spy:
 
hivi nyie bado mnapoteza uda na mijizi hii CCM...hata wavua suruwali bado hawafai
 
wakuu subirini, hii issue ya kuvuana magamba is more is more than you can think about! sasa kama Rostam amotoa pesa za campaign ambazo ni product ya Ufisadi halafu leo unamwambie awajibike, what next?
 
wakuu subirini, hii issue ya kuvuana magamba is more is more than you can think about! sasa kama Rostam amotoa pesa za campaign ambazo ni product ya Ufisadi halafu leo unamwambie awajibike, what next?

Danganya toto tu,wametoka in public view ila ndani ya chama wana sauti kubwa kuliko hata mwenyekiti wa ccm taifa
 
political gimmics! usitegemee hata siku moja kansa ya miaka 5o ikapona kwa "simply plitical slogan-kujivua gamba". ufisadi wa ccm uko damuni baada ya kuvunja azimio la arusha, na wakaja na azimio la zanzibar, ambalo hawakuliweka bayana machoni mwa watanzania. hivyo tz na rasilimali zake zote zilishauzwa! ndo maana viongozi wakubwa wa nchi hawajui kwa nini watz ni masikini na bado wanaamini katika 'omba omba misaada nje' kama babu yangu matonya alivyokuwa akifanya DSM, mORo, na DOM. we need real change of intelectual mind, polical system, soial-cultural and economical undertaking! kwa msingi huo mawazo ya ki sisis em ni kuyafanya historia; na sasa tunataka mapya, ambayo naona ni CDM wanaelekea kuleta mabadiliko ya kweli. tuwaunge mkono na kupigana na upotoshaji wa wanapropoganda wa ccm.
 
........Ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga...
:spy:
..na kipimo unachowapimia wenzako na ww utapimiwa kwacho, ila cha kwako kitajazwa zaidi n kusukwa sukwa. Ukishakula nyama ya mtu hutaacha.
 
Back
Top Bottom