Elections 2010 CCM/Mkurugenzi WANAJARIBU KUPIMA NGUVU YA WANANCHI!!!

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,722
515
KWA TAARIFA TU NI KUWA LEMA AMESHINDA Lakini kinachoendelea ni kutaka kumpoka ushindi.

Nawafahamisha Watanzania kuwa iwapo Batilda atatangazwa mshindi wa Ubunge Arusha mjini mjue kabisa kuwa utulivu wa nchi hii utavunjikia Arusha period. WanaArusha kupitia balot have spoken lakini mamlaka haitaki kukubali hiyo fact. Mark my world!!Lets hope wafuata matakwa ya wananchi.
 
Hakuna cha kupima apa patakuwa hapatoshi wachakachue bagamoyo na CHALINZE sio kwa Machaliiiiiiiiiiii
 
Sidhani kama Msimazi wa uchaguzi wa jimbo atadharau matoeko yaliyoletwa na kuthibitishwa na mawakala halafu afikiri NEC itayabariki................Anajidhalilisha.........
 
NEC watuepushie mbali, hiyo Kivuitu style.
Plzzzz NEC tupeni matokeo. wananchi wakiamua wameamua.
 
Inshallah! Imagine watu wamekusanyika kusubiria matokea toka asubuhi. Msimamizi anapata kigugumizi kutoa matokeo. Mara Batilda amegoma kusaini mara Lema ili mradi tu kuwachanganya wapiga kura. Narudia tena kuwa hii ni 2010 na siyo 2005. hakuna business as usual hapa.
 
Namkumbusha Batilda na CCM kuwa ushindi wa Lema/CHADEMA ni ushindi wa wana-Arusha. Hivyo ni vizuri ni kuwa makini sana.
 
NEC walimuondoa mkurugenzi wa uchaguzi wa mkoa Arusha na kumpeleka Kigoma, kwa kisingizio kuwa uwezo wake ulikuwa mdogo kiutendaji na wakamleta huyu aliyeko sasa hivi ambaye mamuzi yake ni lazima ccm washinde kwa namna yeyote ile.

 
Inabidi waangalie cha kufanya zaidi kwani wakifanya hivyo hakutakuwa na AMANI kabisa hasa kwa wanaArusha na Wananchi wote.
 
Hii Arusha haitakalika NASEMA MKURUGENZI WA MANISPAA YA ARUSHA ASIFANYIE MAJARIBIO WATU WA ARUSHA
 
Hivi si imeshakubalika kuwa kila mgombea na mwanachama/shabiki akubali matokeo?? Sasa mbona hawa ssm wanapata kigugumizi?
 
Hali ni tete mpaka sasa hawataki kutangaza mshindi kuna watu wameshakusanya mawe. Tunajiuliza kama alikuwa na mshindi kwa nini alitudanganya kwenda kupiga kura? si wangesema tu tayari wanamshindi.

CCM Arusha waonyesha dalili za vurumai
 
Wanaharakati wa mageuzi na wapenda maendeleo ya TZ hamuwezi kuamini kinachoendelea Arusha. Simply imeshindikana kutangaza matokeo kwa sababu mshindi si CCM bali ni CHADEMA. JF tujadili ni kwanini watu wamefanya uamuzi kisha hauheshimiwi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom