CCM mbona hamjawasilisha ripoti gharama za uchaguzi 2010

bushman

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,411
743
Sijui kama nakosea sijasikia gharama za uchaguzi walizotumia ccm,sheria inasemaje?tendwa anawafanya nini hawa?au tendwa nae anatetea ugali wake?mbona cdm waliwasilisha mapema ccm kuna nini? Au ndio kubebwa kwa chama tawala hata kinapovunja sheria?
 
Oooh kumbe gharama? nilidhani ghalama ingekuwa safi sana kama ukawasiliana na ofisi ndogo ya mtaa wa lumumba maana humu tupo wana cha cha cha cha malizia basi yaani ukiuliza swali kuhusu cdm tutakujibu.
 
Lakini tunajuaje kwamba ripoti haijawasilishwa kwa Tendwa? What if ilipelekwa kimya kimya?
 
Gharama zao anazo wale wazee walioishiwa busara wamebakiza matusi tu....John Tendwa na Makamba!
 
gharama ni ngumu sana kuzichanganua. Naomba kifungu hiki kisitumike awamu hii tutadanganywa halafu mioyo ituume bure.
 
hiyo sheria ilikuwa kwa ajili ya cdm sasa cdm washafanya so ccm hawana haja ya kufanya returns, nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom