CCM maji shingoni Igunga

tumeendelea vizuri na kampeni zetu,wao wanafumaniana sie twapiga kazi
ccm wanawatumia mabalozi kugawa vyandarua,na chakula cha msaada,tumewaambia wananchi,chakula wale,vyandarua wapokee,kura chadema,kimsingi umma wa Igunga umeamka sana,utadhani jimbo la mjini
kwa picha..chadema.tv
 
Mbunge wa viti maalumu (CHADEMA) Suzani KiwaNGA akihutubia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi kijijini Nanga mapema leo. Picha zote: Victor Makinda
 
Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha
Sawa mkuu tumekusikia kama uko huko nasikia Nchemba ana kesi ya kubaka mke wa mtu una taarifa zaidi tuhabarishe na hilo.
 
Na jioni hii,ccm wamevamia magazeti wakati yakishushwa Igunga mjini,wakakimbia nayo yote,ili kuzuia watu wa Igunga wasipate habari
Akili ya kizamani kweli kweli
 
Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha
<br />
<br />
Pale Nkinga najua CHADEMA watapata kura kutokana na kuwa na watu wengi waelewa! Pia Simbo na Iborogelo Chadema watapata kura za kutosha. Nina wasiwasi vijiji vya ndani kama Sungwizi, Uswaya, Ntigu, Igurubi, na vinginevyo ambavyo ni ngome ya CCM.
 
...Sylvester Kasulumbai akihutubia wananchi wa kijiji cha Nanga
Hapa si mahala pazuri pa kufanyia campaign rally, chama tawala kita score point kwamba kijijini kuna huduma za bara bara za lami ambazo CHADEMA wanafanyia rallys pembeni yake. Kasindye anatakiwa aingie kwenye backwaters of the country, kwenye mapori ya Igunga, akaamshe raia huko, sio kwenye sidewalk ya barabara kuu ya Igunga-Singida. His chief campaign strategist should know better.
 
Back
Top Bottom