CCM: Mahakama ya Kadhi Ruksa kwenye katiba mpya

Bangoo nani kakudanganya kenya ipo saana tu ! kwani
kinachokuuma nini..? wakati wewe haitokuhusu..? [/FONT

Kama mtaanzisha mahakama yenu hakuna tatizo kwani huyo kadhi si mtamlipa nyie wenyewe kutoka sadaka na vitegauchumi vyenu? Msitake kuweka kadhi kwa kodi za wakristo, wapagani, hindu na buddha. Roman wana mahakama zao mbona hawadai wapewe ma-vx? Fanyeni kazi, someni, pambanueni mambo kisomi, mahakama ya kadhi hata mkitaka kuweka sheria ya kukata mikono na kupiga mawe watuhumiwa sie hatuna shida ila mjenge majengo yenu na muihudumie wenyewe. Mnakera sana nyie watu, kitu kama hicho hakihitaji uende shule hata Madrasa yenu tu inatosha. Yani mahakama yenu tuihudumie wakristo? Jioneni mlivyo jamani. Anyway mkililia tutawajengea ila msijelalamika maana kadhi atakuwa askofu kakobe!
 
Dosama,
SASA HAPA THREAD YAKO NA STORI MBONA HAVINA UHUSIANO???!!! IKO WAPI SEHEMU YA STORI INAYOONYESHA CCM KURUHUSU MAHAKAMA YA KADHI KWENYE KATIBA??!!!!!!!!UNAPOTUMWA, AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO KABLA YA KUPELEKA ULICHOTUMWA!
Mkuu Toa msimamo wa ccm juu ya mahakama ya kadhi,jee ni kweli ilikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ccm mwaka 2005?kwa nini haijatekelezwa mpaka leo au waislam walitumika kama toilet paper kukipa chama ushindi?
 
Dosama,
SASA HAPA THREAD YAKO NA STORI MBONA HAVINA UHUSIANO???!!! IKO WAPI SEHEMU YA STORI INAYOONYESHA CCM KURUHUSU MAHAKAMA YA KADHI KWENYE KATIBA??!!!!!!!!UNAPOTUMWA, AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO KABLA YA KUPELEKA ULICHOTUMWA!
Mkuu hv ni kweli kuna watu huwa mnawalipa kwa kazi kama hii? Basi tuambie msimamo wa chama kuhusu mahakama ya kadhi wewe si ndo msemaji!
 
Yani eti kadhi atambulike na serikali, nae alipwe mshahara, malupulupu, nyumba, gari inakuwa STK au inakuwa K (Meaning KADHI) then wanakuwa na seniority, nk! Ha ha ha ha ha haaaa! You guys tafadhali msiniambie hawa jamaa wako serious! Unajua kodi tulipe sie ili tuwahudumie wao? Kadhi's court hakuna tatizo, fungueni, ihudumieni wenyewe, toeni pesa, fanyeni biashara mhudumie kadhi. Hakuna mtu anaekataa mahakama yenu, tatizo mnataka kufuga mbwa kwa kutegemea ma.vi ya mlevi. Pesa ya kodi tena tumeipata kwa riba nanyi mwaitaka ilhali dini yenu inakataza riba? Wakuu, hebu fanyeni kazi tujenge nchi.
 
Dosama,
SASA HAPA THREAD YAKO NA STORI MBONA HAVINA UHUSIANO???!!! IKO WAPI SEHEMU YA STORI INAYOONYESHA CCM KURUHUSU MAHAKAMA YA KADHI KWENYE KATIBA??!!!!!!!!UNAPOTUMWA, AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO KABLA YA KUPELEKA ULICHOTUMWA!
Kwa mara ya kwanza tangu Yesu apae kwenda mbinguni leo nimekuunga mkono!!!!
 
Yaani hapa ni maslai ya dini na ugaidi tu? Wananchi wengine takataka. Mbona hakusema wapagani nao wapewe madaraka? Uislamu unachokochoko? Yaani hawapendi amani kabisa.

Na wahindu je? akina Shivji ambao ni watanzania damu damu; Wapewe na wao nafasi. Na kabila moja likitawala liwaachie wengine mpaka makabila 122 yaishe....Kazi kweli kweli hii katiba
 
Katiba itakayoundwa ni ya wananchi wote, itakuwaje ibebe matakwa ya imani za kikundi kimoja cha dini wakati wenye imani tofauti wapo tena kwa maelfu/mamilioni +?, najua serikali haijui jehanamu na ingekuwa na dini Ufisadi usingekuwepo na kuendelea kushamiri.
 
Wazo langu si vema sana kushinikiza kile kiwekwe kwenye katiba kile kisiwekwe..

Kwa upande mkubwa jamii kubwa hatujaelewa viongozi wetu wanamaanisha nini kiwekwe kwenye Katiba kuhusu ndoa, talaka, mirathi, wosia na mengineyo. Jamani tuwe Na Moyo Wa kheri wa binaadam, tuambiwe Kwa uwazi ni nini kibadilike Na kibadilikeje? Cha sasa kina kasoro gani Na kitachobadilika kitabadilikaje tuelewe Na jamii yote Kwa ujumla inaweza kuunga mkono bila shaka. Lakini tukiendelea kusema mwanamke Hana HAKI ya Urithi, mwanamke anany'ang'anywa kila kitu mumewe akifa , mwanaume anaongeza wanawake wa kuoa hata Kama uchumi hauruhusu, Kama mambo yataendelea Kua hivi Basi Shekhat wote tutasema Na Katiba itambue mwanamke kumtaliki mwanaume, mwanamke kuandika wosia Na mengineyo..
Mie kila siku nasema tukae tujadiliane mnasema nyie Hamna HAKI ni wa kutawaliwa tu, jamani DUNIA ya utandawazi hii tunaelekea wapi tusipobadili mitazamo..
DUNIA tuliyonayo watu wamechakachua mapenzi halisi ya Dini, wamedidimiza tamaa zao Na mambo Yao Na kutubebesha kwamba ndivyo DINI Inavyotaka . . Jamani hii itakubalika wapi?.. Mbona Mtume ameandika mambo mengi Kwa Ufasaha kwanini wanadamu viongozi wetu mnabadilika, Ogopeni Jehanam ya Moto..wekeni waziwazi nini kibadilike Na kibadilikeje sio kutaka kutukandamizia mbali wengine.. Niko tayari kufungua mjadala wa wazi Kwa yeyote anayetaka kutuelewesha .. Inshallah

Ni kweli unataka kuelewa? maana wengi wenu mnapinga tu si kutaka kuelewa. Na hii ni kwa sababu yanayowabana waislamu ninyi hayawakuti. Mnasema waislamu hawana hoja, kama vile vile CCM wanavyosema kuwa hakuna matatizo katika kuendesha nchi na wao bado wanafaa sana kuongoza, wewe unakubali hilo?
 
Bangoo nani kakudanganya kenya ipo saana tu ! kwani
kinachokuuma nini..? wakati wewe haitokuhusu..? [/FONT

Kama mtaanzisha mahakama yenu hakuna tatizo kwani huyo kadhi si mtamlipa nyie wenyewe kutoka sadaka na vitegauchumi vyenu? Msitake kuweka kadhi kwa kodi za wakristo, wapagani, hindu na buddha. Roman wana mahakama zao mbona hawadai wapewe ma-vx? Fanyeni kazi, someni, pambanueni mambo kisomi, mahakama ya kadhi hata mkitaka kuweka sheria ya kukata mikono na kupiga mawe watuhumiwa sie hatuna shida ila mjenge majengo yenu na muihudumie wenyewe. Mnakera sana nyie watu, kitu kama hicho hakihitaji uende shule hata Madrasa yenu tu inatosha. Yani mahakama yenu tuihudumie wakristo? Jioneni mlivyo jamani. Anyway mkililia tutawajengea ila msijelalamika maana kadhi atakuwa askofu kakobe!

Hapo kwenye red ndiyo sehemu ya matatizo yenu, yaani mnaona kodi za nchi hii ni za wakristo halafu mnasema eti ninyi wasomi. Wasomi au mliofundishwa?
 
Yani eti kadhi atambulike na serikali, nae alipwe mshahara, malupulupu, nyumba, gari inakuwa STK au inakuwa K (Meaning KADHI) then wanakuwa na seniority, nk! Ha ha ha ha ha haaaa! You guys tafadhali msiniambie hawa jamaa wako serious! Unajua kodi tulipe sie ili tuwahudumie wao? Kadhi's court hakuna tatizo, fungueni, ihudumieni wenyewe, toeni pesa, fanyeni biashara mhudumie kadhi. Hakuna mtu anaekataa mahakama yenu, tatizo mnataka kufuga mbwa kwa kutegemea ma.vi ya mlevi. Pesa ya kodi tena tumeipata kwa riba nanyi mwaitaka ilhali dini yenu inakataza riba? Wakuu, hebu fanyeni kazi tujenge nchi.

Mbona pesa za wazungu na wamarekani wanaokuleteeni misaada zimepatikana pamoja na kodi ya ukahaba mnazitaka na mnazipokea, kwenu nyinyi ukahaba umeruhusiwa?
 
hiyo mahakama ianzisheni huko huko misikitini kwenye serikali haikubariki kwani nchi hii si ya kidini. hivyo mtu anayetuletea vitu vya kidini tunatakiwa kumwogopa kama ukoma. maana leo waisilam kesho wakristu nao wakita nao mahakama yao itakuwa vurugu tupu. mambo ya dini pelekeni makanisani na miskitini.
 
Back
Top Bottom