CCM Magadirisho waumbuka wanachama wao warudisha kadi mbele ya ofisi yao ya tawi

Emashilla

Senior Member
May 24, 2012
138
26
Nuru Maeda alidaganya vyombo vya habari kwamba alihamia CCM na wana-CHADEMA 15 na CCM wakajigamba kuwa waliibomoa ngome ya CHADEMA Arumeru. Huyu alikuwa mwenyekiti wa tawi la Magadirisho(CHADEMA) akavaa gamba mwezi uliopita. Nuru Maeda afananishwa na mtu ambaye nyumba inawaka moto na yeye huzidi kuingia ndani ya nyumba hiyo badala ya kujiokoa. James Ole Millya alimfananisha Nuru na mtu aliyetolewa kafara. CHADEMA yawavua magamba wanachama wa CCM zaidi ya 70 na wengine wanaendelea kuleta kadi za CCM hadi wakati naandika ujumbe huu nimepokea simu za watu wanohitaji kadi za CHADEMA.

Source: Eneo la mkutano wa CHADEMA kitongoji cha Magadirisho,Jumamosi 11 Agosti 2012
 
Du!! chama langu CCM sijui kama litaendelea kuwa hai mpaka 2015, maana kasi ya hawa people's power nahisi tutabaki Mimi na Nape pekee yetu.
 
ULIZALIWA ulilikuta utakufa utaliacha na wanao wataliacha na wana wa wanao wataliacha na wana wa wana wa wanao wataliacha na wana wa wana wa wana wa wa wana wa wanao wataliacha na wana wa wana.....................................
 
View attachment 61602
Wamekaba hadi ofisi ya magamba Magadirisho
View attachment 61604
View attachment 61605
Mavuno ya siku...
View attachment 61607
Toti Ndonde, Katibu wa Joshua Nassari....
Toti ni jembe la Arumeru Mashariki hili madiwani wote wa ccm jimbo hilo wanamjua hakuna pesa yoyote inayochakachuliwa mpaka mkurugenzi anamfahamu
View attachment 61611
James Ole Millya akinogesha jukwaa hiyo jana

Chadema wanaenda vijijini wao CCM wanakula kiyoyozi wakitegemea akina Ramadhani Ighondu wakati wa uchaguzi kwa kututumia message za matusi, zilizojaa uchonganishi na kuiba kura kwenye mtandao wa Tume ya uchaguzi, wakishindwa hapo basi wanarudi kutumia wale majaji fasta kama ilivyotokea Arusha...lakini kitaeleweka wakati ukifika
 
ULIZALIWA ulilikuta utakufa utaliacha na wanao wataliacha na wana wa wanao wataliacha na wana wa wana wa wanao wataliacha na wana wa wana wa wana wa wa wana wa wanao wataliacha na wana wa wana.....................................
uuuuwiiii kikwete alienda Brasili akakagua mashamba ya nyanya leo yupo Ghana anakagua shamba la mananasi ,huku bongo chadema inazidi kumsiriba kila kona ya nchi,I LOVE CHADEMA!!
 
Chadema wanaenda vijijini wao CCM wanakula kiyoyozi wakitegemea akina Ramadhani Ighondu wakati wa uchaguzi kwa kututumia message za matusi, zilizojaa uchonganishi na kuiba kura kwenye mtandao wa Tume ya uchaguzi, wakishindwa hapo basi wanarudi kutumia wale majaji fasta kama ilivyotokea Arusha...lakini kitaeleweka wakati ukifika
Nasikia wameota ndoto na wamepanga kuiangamiza CHADEMA kila kona. Nilimshuhudia yule Kichaa wao na Marafiki zake wakihaha baada ya kufungwa magoli mbele ya Ofisi yao ya tawi iliyojaa mafisadi.
 
Back
Top Bottom