CCM Lumumba-fungu la kikosi cha propaganda mitandaoni lazua minung'uniko.

Nyie tatizo lenu mnafikiri kuwa kila mtu anawakati wa kushinda humu JF, nyie endeleeni kupeana sifa huku wenzenu wanatafu mkwanja,halafu wakifanikiwa mnasema mafisadi. Majobless utawajua tu kwa maneno yao ya wivu.
 
Hawa jamaa wanapoteza muda hapa. Yaani ukiona CCM wanavyopoteza muda na fedha, ni fedheha kweli kweli. 2015 ndio itakuwa mwisho kwani watu wamechoka kudanganywa. Uongo huwa una mwisho.
 
Hapa Jf wapo wa Chadema na CCM utawaona tu kwenye mijadala inayoendelea..... kila chama kimewalipa na kuwatuma wa kwake kama ni kweli wapo.

Hata hivyo tusiwachanganye wafuasi/mashabiki na waliotumwa.


Ila inaoneka MNYIKA anawalipa wake vizuri sana na kawaajiri wengi sana pale mtaa wa UFIPA ila waje watukane watoe kashfa hata kama ni ukweli waupinge ila tu wapate posho na hii ni dhambi kubwa sana mbele za mungu
 
LAKINI ELIMU SI MALI KWA CCM KWANI FORMULAR YA CCM =AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA KWI KWI KWI QUOTE=majebere;4275686]Naona leo vicheche wa CDM hawana kazi, mnabeep ili kuanzisha ligi lisilo na maana. Mtabaki hivyo hivyo na upuuzi wenu.
Mtu kweli ana amka asubuhi anakuja JF na kuazisha huu utumbo. Kweli elimu ni mali.[/QUOTE]
 
haa haa haa akili ndogo kuongoza akili kubwa ccm formular
nyie tatizo lenu mnafikiri kuwa kila mtu anawakati wa kushinda humu jf, nyie endeleeni kupeana sifa huku wenzenu wanatafu mkwanja,halafu wakifanikiwa mnasema mafisadi. Majobless utawajua tu kwa maneno yao ya wivu.
 
Nyie tatizo lenu mnafikiri kuwa kila mtu anawakati wa kushinda humu JF, nyie endeleeni kupeana sifa huku wenzenu wanatafu mkwanja,halafu wakifanikiwa mnasema mafisadi. Majobless utawajua tu kwa maneno yao ya wivu.
Eti unatafuta Mkwanja!!!!!! huoni aibu kusema maneno hayo JF yenyewe inakushinda kuchangia uwe premium member wewe vip
 
Back
Top Bottom