CCM Lumumba-fungu la kikosi cha propaganda mitandaoni lazua minung'uniko.

WILLY GAMBA

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
211
87
Wanalalamika hawalipwi inavyostahili kulingana na kazi wanayo ifanya ambayo huwa wanafanya mpaka usiku wa manane
ikizingatiwa fungu limeongezeka katika bajeti mpya.

UPDATES: Msekwa amekiri Nape anachukua pesa kivyake vyake kutoka kwa Chairman..
Souce; Rai
 
wapo weng af dzain wakzoea watakuwa ma soga...tena masogo wakubwa
 
'TUME YA KATIBA' NI MCHUMIA TUMBO KUMBEE..huyu ana sphdi mpaka akili kaazimisha ya Tambwe Hiza
 
Wengi wamepotea Kama Tume ya Katiba , Mafilili, Rejao, Ribosome na wengine wanabeep na kupotea siku hizi nasikia hata zile bundle za bure nape kawanyima
 
Zomba alikomaa komaa kidogo lakini naona nae kaweka spana chini Burn karudi atakuwa ni mmoja wa mitume wao wa zamani za FF age
 
Nasikia wamemwambia mkuu wao kwamba kazi hiyo inataka uwe na ROHO YA MAITI kutokana na mashambulizi mazito mno wanayopata kutoka kwa wanamitandao, na hivyo wanataka waongezewe posho. Malipo yao yako based kweye namba ya posts anazotuma per day, n a aina ya thread aliyoijibu. Kuanzisha thread kunaattract income zaidi, ndiyo maana kila siku utaona cv za Mbowe na Slaa hapa, mara Vigogo wa cdm hawajaenda shule, etc.
 
FF jamani sio kwamba kapotea ni kaolewa mitaa ya vingunguti kwa mnyamani na ustadhi wa madrasa kakatazwa na mmewe kwenda kushinda lumumba
 
Back
Top Bottom