CCM London na viongozi wao

Hii isse itakuwa imemgusa sana YEBO YEBO

yaani mtu huyu alikuwa kimya halafu all ofb a sudden kwenye thread ya kumchambua Owino amerudi as if kanywa RED BULL

duh! noma tupu

sasa swali, je mmeshapewa taarifa za pesa mnazoandaa mkutano huko London? maana kuna habari kuwa ugomvi huu source ni hizo £60,000 zilizotolewa na jamaa wa Commonwealth

hebu tufafanulie

uhhuuuu uhuuuuu,

Hizo pesa za Commonwealth tena? Huyu Maina sasa nimeanza kumuogopa kama ukoma!
 
Uwino ni jina la KIJALUO

na wajaluo Bongo wapo

sasa kabla hamjaendelea kuujadili uraia wa huyu mbona hamjatupa update kuhusu uraia wa mkewe Salva Rweyemamu?

Kwi kwi kwi GT,

Kwa bahati mbaya, Maina Owino ana majina ya Kikenya ... poor guy!

Maina ni jina la wakikuyu na Owino la kijaluo. This guy angefaa kusuluhisha mgogoro unaoendelea Kenya sasa hivi badala ya fisadi Mkapa!
 
Hii isse itakuwa imemgusa sana YEBO YEBO

yaani mtu huyu alikuwa kimya halafu all ofb a sudden kwenye thread ya kumchambua Owino amerudi as if kanywa RED BULL

duh! noma tupu

sasa swali, je mmeshapewa taarifa za pesa mnazoandaa mkutano huko London? maana kuna habari kuwa ugomvi huu source ni hizo £60,000 zilizotolewa na jamaa wa Commonwealth

hebu tufafanulie

Yes GT

I never left, hizi tuhuma zisizo na kichwa wala miguu hazina nafasi hapa. Hii Forum ina heshima zake.

Hakuna ushahidi wowote wa kusapoti hoja yako kuwa CCM London walipokea £60,000 kutoka kwa jamaa wa Commonwealth. Labda kama hao Commonwealth nao ni mafisadi. Nina imani na Commonwealth maana kama walitoa hela wangetaka pia kujua zilitumikaje; na mimi kwa macho yangu sioni kilichofanyika ambacho kingerithisha Commonwealth. Hivyo, usiwapake matope Commonwealth kuwa wanatoa hela ili zinafanyiwe ufisadi.

Daruso jamani, hakuna mwenye Data?
 
Ninapokea PM hapa kuwa Maina Owino alipokuwa katibu mkuu wa Daruso (chama cha wasomi wa mlimani) mwaka 1999-2000, alihusika na kashfa ya upotevu wa pesa za Daruso zinazokadiriwa kuwa zaidi ya milioni kumi za Madafu.

Inasema kuwa pia, wana daruso walimfungulia Owino mashitaka kwenye polisi ya mlimani lakini polisi hawakufanya chochote kwa vile Owino alikuwa mmoja wa wanaccm maarufu hapo chuoni.

Kama hii habari ni kweli au si kweli mimi sijui... mwenye PM ananishauri nimtafute mtu anaitwa Bashiru (ambaye mimi simjui) kwa vile ni memba hapa jamboforums.

Bashiru ni nani?
 
Ninapokea PM hapa kuwa Maina Owino alipokuwa katibu mkuu wa Daruso (chama cha wasomi wa mlimani) mwaka 1999-2000, alihusika na kashfa ya upotevu wa pesa za Daruso zinazokadiriwa kuwa zaidi ya milioni kumi za Madafu.

Huyu mkuu Owino namjua sana. Alikuwa waziri wangu katika serikali ya DARUSO mimi nilipokuwa Rais pale 1998-1999. Alifanya kazi yake vizuri sana na kwa kweli alikuwa mwadilifu sana tu. Kupata ukatibu mkuu ilichangiwa sana na CV aliyokuwa nayo baada ya kuwa waziri wa DARUSO. Sasa sijui kama alipochukua ukatibu mkuu baada ya hapo akaanza ufisadi.

Lakini hilo la milioni kumi lazima ni uongo wa kutisha kwa sababu wakati huo mapato yote ya DARUSO yalikuwa hayazidi milioni 6. Sasa labda kama aliuza mpaka ni hiyo DARUSO sawa, lakini kuna kila dalili kwamba hizi ni habari za kizushi na zimekaa kiwivuwivu!

Kuna katabia nakaona kanaibuka nchini mwetu kakuwazushia mambo watu ambao wanakuwa na ambitions which I very much resent na nauona huu nao ni ufisadi tu!
 
Wandugu,

Nimekuwa nikiepuka sana kujiingiza katika huu utamaduni mpya kisiasa unaokuwa Tanzania, yaani "politics of naming and shaming" lakini hapa naelekea kushindwa kujizuia.

Huyu jamaa miaka kadhaa iliyopita mimi na mwenzangu mmoja tukiwa MLIMANI tulikula nadhiri ya kudeal naye popote pale atakapotoa sura yake kwenye Uongozi. mwaka 2005 tulikuwa tukijianda kufunga safari kuelekea RORYA kupambana naye mara kafanya aliyoyafanya na kuamua kutimka mbio hata kabla ya shughuli za uchaguzi kushamiri.

Leo ninaposikia kuwa ndiye kinara wa CCM London sishangai lakini naumia mno. Yaani hiki chama kimeishiwa kiasi hiki. Hata MAINA?

Nawaomba wana CCM london msafishe hilo chaka kabla halijageuka kuwa pori likawazidia kama FISADI MAARUFU LOWASSA. Mkichelewa tusilaumiane maana hataanguka MAINA tu. Itatulazimu tuwaseme wenge......

Tanzanianjema
 
Kaka ni bora ukakaa pembeni kwa hili......

Haya bwana labda watu wanajua mazito kuliko ninavyomjua huyu kijana, ngoja mimi nikae zangu pembeni. MWK tafadhali dadangu naomba pop corn mimi nijipumzikie zangu, hii ngoma inaonekana ni nzito, kama mpaka Tanzanianjema kaingia, kuna kitu hapa, sio bure!
 
Sina tabia ya kuwasifia watu ila kuna watu wakisema lazima nisikilize.Sina data za Owino kwa kweli ningalisha zimwaga hapa .Kuna watu wana heshima sana mmoja wapo ni Tanzanianjema si mzushi wala muandika kwa pupa lakini kwa hili kasema .Naomba sdasa Tanzanianjema mwaga upupu.Owino anataka kuurudi Rorya na mbinu kaanza .Sema mapema utegue utata .
 
Haya bwana labda watu wanajua mazito kuliko ninavyomjua huyu kijana, ngoja mimi nikae zangu pembeni. MWK tafadhali dadangu naomba pop corn mimi nijipumzikie zangu, hii ngoma inaonekana ni nzito, kama mpaka Tanzanianjema kaingia, kuna kitu hapa, sio bure!

Kitila,

Ukisoma habari zinazoingia kuhusu Maina utasikitika. Ninajua kuna watu kibao watakuja na habari zake. Inawezekana Maina alikugeuka kama Mkapa alivyomgeuka Nyerere..... kwi kwi kwi!

Wewe kamata popcorn tayari for the movie....

mimi nasubiria PM ya huyu Bashiru ... inaonekana ana habari nyeti za Maina. Yeyote mwenye habari anipe kwenye PM nitazimwaga hapa na sitataja jina.
 
SNC15067.JPG

Huyu owino ndio nani tena?
 
Mi nimeanza kujichokea kabisa!

Achaneni na kujadili watu walio chini, ngojeni achukue form za uongozi ndio mmwambie HUFAI KIJANA KAA PEMBENI DATA HIZI HAPA
 
Haya basi,

ccm kila mtu fisadi..... Owino amekuwaje tena? Hizo pesa za Daruso alizichukua vipi? UD Alumni mpo?

Haya Mambo ya Pesa za Daruso, ni kuchafuana na wakati fulani nilipewa habari za ajabu sana nikazileta hapa kuhusu kiongozi mmoja Mwandamizi wa Chadema,kumbe ilikuwa ni mambo ya kuchafuana.naweza kusema kwamba DARUSO kuna ubadhirifu ila si kwa kaisi kikubwa sababu pesa nyingi huwa inatoka Utawala..labda pesa inayohusu matamasha ambyo huwa yanafanyika hapo Mlimani.

naomba nichukue nafasi hii kumuomba msamaha mhe. flani wa CHADEMA!nilidanganywa na watu na hili nalijutia sababu liliharibu image yangu ,nilikuwa namfagamu huyu kiongozi kwa muda mrefu ila kuna watu walinilisha sumu.waje hapa wathibitioshe ila mie nimepima na kulifanyia utafiti na kuona halina ukweli wowote.
 
Mimi ndio maana naipenda JF, ukweli na uwongo hujitenga wenyewe. Hii ndio faida ya kuja na data.

Mwafrika wa Kike

Heshima yako, umeleta Data ulizopewa hapa, mkuu Kitila Mkumbo kaziona hazina ukweli, FD na Gembe pia wameona hazina ukweli; tena yeye alifuatilia baada ya kutoa tuhuma kama hizi anazopewa Maina Owino. Heshima yako Gembe kwa kumuomba radhi mhusika.

Tanzanianjema

Unakuja kwenye hii hoja na kumwambia Kitila Mkumbo akae pembeni kwa nini, Mhe Kitila ametetea ukweli anaoujua. Sasa kama wewe huo uovu alioufanya Daruso kwa nini usiuweke hapa??????????????????

Weka mambo hapa, walipotia mlimani ni wengi watathibitisha. Tayari tumeshaona data za Kitila na Gembe. Tupe zako, binafsi naangalia Data; sitaki kusikiliza hizi sifa za kuwa huwa husemi na kwamba ukisema basi lazima ni kweli. Wanabodi wana akili zao timamu weka data hapa watu tunyangamue mwenyewe.

Tanzanianjema weka Data; usimfanye Kitila amalize popcorn zake bila sababu.
 
Huyu mkuu Owino namjua sana. Alikuwa waziri wangu katika serikali ya DARUSO mimi nilipokuwa Rais pale 1998-1999. Alifanya kazi yake vizuri sana na kwa kweli alikuwa mwadilifu sana tu. Kupata ukatibu mkuu ilichangiwa sana na CV aliyokuwa nayo baada ya kuwa waziri wa DARUSO. Sasa sijui kama alipochukua ukatibu mkuu baada ya hapo akaanza ufisadi.

Lakini hilo la milioni kumi lazima ni uongo wa kutisha kwa sababu wakati huo mapato yote ya DARUSO yalikuwa hayazidi milioni 6. Sasa labda kama aliuza mpaka ni hiyo DARUSO sawa, lakini kuna kila dalili kwamba hizi ni habari za kizushi na zimekaa kiwivuwivu!

Kuna katabia nakaona kanaibuka nchini mwetu kakuwazushia mambo watu ambao wanakuwa na ambitions which I very much resent na nauona huu nao ni ufisadi tu!

Heshima yako Kitila,

Wapo wanaojua ukweli lakini wanakaa kimya, heshima kwako kwa kutueleza unayoyajua. Hivi ndivyo mijadala inakuwa na balance na heshima ya forum inavyozidi kuimarika.

JF Idumu
 
Mimi ndio maana naipenda JF, ukweli na uwongo hujitenga wenyewe. Hii ndio faida ya kuja na data.

Mwafrika wa Kike

Heshima yako, umeleta Data ulizopewa hapa, mkuu Kitila Mkumbo kaziona hazina ukweli, FD na Gembe pia wameona hazina ukweli; tena yeye alifuatilia baada ya kutoa tuhuma kama hizi anazopewa Maina Owino. Heshima yako Gembe kwa kumuomba radhi mhusika.

Tanzanianjema

Unakuja kwenye hii hoja na kumwambia Kitila Mkumbo akae pembeni kwa nini, Mhe Kitila ametetea ukweli anaoujua. Sasa kama wewe huo uovu alioufanya Daruso kwa nini usiuweke hapa??????????????????

Weka mambo hapa, walipotia mlimani ni wengi watathibitisha. Tayari tumeshaona data za Kitila na Gembe. Tupe zako, binafsi naangalia Data; sitaki kusikiliza hizi sifa za kuwa huwa husemi na kwamba ukisema basi lazima ni kweli. Wanabodi wana akili zao timamu weka data hapa watu tunyangamue mwenyewe.

Tanzanianjema weka Data; usimfanye Kitila amalize popcorn zake bila sababu.

Yeboyebo,

Ndio maana mimi nikaomba watu wenye data wanipatie hapa niweke na kisha zinachambuliwa. Swali moja ambalo halijajibiwa vizuri hapa ni kuwa, Je Owino alikuwa na kashfa ya pesa Daruso?
 
Yeboyebo,

Mkuu najua ni makini sana lakini hao jamaa zako kwenye chama ni fake
na utasikia mengi.

Ndio maana wengine tulikuwa tunapinga haya mambo ya vyama Ulaya. Sisi wote ni watanzania na chama cha Watanzania kingelitosha kabisa.

Naona umeguswa na kuwa mkali na mashambulizi kwenye hili. Mimi sishangai
maana kwa watu wanaohangaika na kufungua matawi Ulaya sidhani kama moyo wao uko kwa taifa zaidi ya kujitengenezea njia kwa mwaka 2010.
 
Yeboyebo,

Ndio maana mimi nikaomba watu wenye data wanipatie hapa niweke na kisha zinachambuliwa. Swali moja ambalo halijajibiwa vizuri hapa ni kuwa, Je Owino alikuwa na kashfa ya pesa Daruso?

Mwafrika wa Kike

Mimi sikuwapo Mlimani wakati huo, ila nina ndugu yangu wa mbali kidogo!! alikuwepo pale kama mwanafunzi na niliposikia tetesi hizi za hii CCM London nikamuuliza kutaka kujua kulikoni. Then, source yangu nyingine pale mlimani ni Mwalimu (jina kapuni), alisema kuwa huyu Maina alikuwa msafi mlimani tena akaongeza kuwa angefanya mchezo siasa zingemsababishia afeli.

Habari hizo nilizonazo zinafanana sana na habari alizotupa Mhe Kitila Mkumbo (naye alikuwepo Mlimani na Maina) kuwa huyu jamaa alikuwa safi.

Sasa pengine ni kweli alikuwa Chui kwenye Ngozi ya Kondoo; tunamsubiri Tanzanianjema aje atupe data. Kinyume na hapo, tumpe haki yake ya benefit of dought katika kuongoza CCM London.
 
Nimeahidiwa kupewa namba ya huyu Bashiru. Ingawa pia naambiwa kuwa niulizie Mafuru na Maimu. Hawa ni kina nani?
 
Back
Top Bottom