CCM kwishineyi hata kinyota imezidiwa na CDM!!!!!

Bado Kidogo 2015

JF-Expert Member
May 24, 2012
207
78
Kwa wale waliokuwa wakimfuatilia marehemu Sheikh Yahaya Hussein basi wataelewa hesabu hii.

CCM = 3+ 3 + 13 = 19

CDM = 3+ 4 + 13 = 20

Huu ni kwa mtitiriko wa herufi jinsi ulivyo ukilinganisha na namba kama nilivyofanya hapo juu. Kwa mantiki hiyo leo hii nawaambia wanaCCM wote kuwa licha ya upepo mbaya unaovuma saizi wasifikiri utapita tu. Wakae wajue hilo kuwa hata kinyota CDM imewazidi hapo juu, CCM (19) na CDM (20).

Inaonyesha mtu ajiyetafuta jina la CDM alikuwa mjanja sana au alichungulia kwa yule marehemu Sheikh Yahaya.

CDM itakumbwa na dhoruba nyingi sana lakini aminini itapita na kama itakuja kushindwa siyo na CCM bali chama kingine.

Karibuni tuchangie wakuu.
 
Bila shaka sasa kifuatacho ni ccm inakufa na si mgombea tena kama alivyosema dingi yako the late mpiga ramli yahaya
 
Bila shaka sasa kifuatacho ni ccm inakufa na si mgombea tena kama alivyosema dingi yako the late mpiga ramli yahaya

Hilo ndiyo naliona mkuu, kila wakifuruku wanaonekana kama akina Kanumba vile. Kifupi ndiyo hivyo, CDM imebakiza kikwazo kimoja tu, haikubaliki na system lakini kama kura za kuivusha Ikulu zipo za kutosha.

Hapo ndiyo kazi ilipo tu, jinsi ya kuiaminisha system kuwa CDM itaweza kuongoza nchi.
 
Wasubiri superstitious wenzako, labda bado wako makaburini wanachungulia hizo mnazoita nyota.

MWAMKO WA WANANCHI + M4C + IRREPARABILITY YA CCM + UMAKINI WA CDM = USHINDI WA CDM 2015; na siyo gagula za wasiojua hata Burnsen Burnner ni nini.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kuwa CDM wanahaha mchana na usiku kuhakikisha kuwa wanaingia Ikulu, juhudi zao zinaonekana wazi lakini pia wana bahati moja hata jina la chama chake kinyota limeizidi CCM.

Kwa mantiki hiyo CDM inajikuta inapata wepesi fulani katika mambo yake hasa dhidi ya CCM.
 
Teh teh teh. Kumbe Shehe Yahaya aliacha wanafunzi wake wengi, mimi nilidhani Wassira pekee ndiye alilitthishwa utaalamu wa Marehemu Yahaya.
 
Teh teh teh. Kumbe Shehe Yahaya aliacha wanafunzi wake wengi, mimi nilidhani Wassira pekee ndiye alilitthishwa utaalamu wa Marehemu Yahaya.

Siri hii hakuivujisha kwa magamba alijua ingemopotezea umaarufu wake, ndiyo maana akaanza kusema atatoa ulinzi kwa mkulu sijui saizi analindwa na nani!!!!
 
You people got to liberate yourselves from the craws of primitive societies ways off from the elite world. 21st century an somebody's mind still rulled by the shadows of that dead and irriterate octopus called Yahaya? Oh my! What a long way to true civilization!
 
Wewe unafikiri ubashiri umeanza jana?
 
19 = 1+9 = 10 = 1+0 = 1

Kwa hiyo namba moja ni CCM, piga za CDM uone.
 
Back
Top Bottom