Ccm kweli inakufa

mku

Member
Mar 27, 2011
88
9
Ukitaka kujua mwedelezo wa ngombe kwenye zizi unatazama ni ndama wangapi ulionao watakaokuwa wazazi wa kipindi hicho kijacho.....kwa hili CCM hawa ndama naona wanapungua na ni miaka sifuri tu hapo mbele zizi linakoswa ndama na kubakia na majike na madume mazee na yatakayokufa moja baada ya jingine. Tafakari
 
Nimeipenda mno hii thread,mie cna jingne ila naiombea Ccm itangulie salama ikalazwe mahala pema...mauti hayana dawa mwisho wake umejiri,itubu kwanza ndo itaweza kufika huko ahela peponi.
 
Ccm imekposa watu wenye upe kuwapeka katika mjadala wa katiba wakapeleka watoto? Kweli ukipona paka kakubali kulala.....
 
Mbona ilisha pigwa mchale muda mrefu, bado kudondoka tu. Nyoka akishajeruhiwa na kutoka damu huwa haponi mpaka afe. Huwa anakuwa kwa kuliwa na sisimizi tu maana kovu lake huwa haliponi. Nyoka ni mfano wa wanakijani
 
Tafakari nini. mchaga wa Chadema

Umebahatika kwenda kwa babu? labda uende huko ili akutoe matongotongo uone vizuri ndo uje ujoin ma greater thinkers hapa!
 
Na bahati mbaya, badala ya viongozi wao kujaribu kufanya mabadiliko yatakayowavuta vijana kuwaunga mkono, wanapanda mbegu za kuchochea vurugu. Hao vikongwe wao wataweza kuhimili vishindo kweli vurugu wanazochochea zikianza?
 
ukitaka kujua mwedelezo wa ngombe kwenye zizi unatazama ni ndama wangapi ulionao watakaokuwa wazazi wa kipindi hicho kijacho.....kwa hili ccm hawa ndama naona wanapungua na ni miaka sifuri tu hapo mbele zizi linakoswa ndama na kubakia na majike na madume mazee na yatakayokufa moja baada ya jingine. Tafakari

unajua tatizo lako kubwa ni uwezo wa kufikiri,ccm ife kwa lipi? Haya yanayo endelea ni matokeo ya ukubwa wa chama,usitarajie chama ambacho kinatafuta kutawala kiwe na conflict of interest wakati hakina deal.wakati wa uchaguzi jf ilitaka watu wote waamini kuwa dr slaa tayali ni rais na huku mkijua ukweli kuwa hamkuwa na nguvu kiasi hicho,hata leo mnakodi watu kuivuruga nchi mkizani mnadeal na watu wajinga wajinga ambao hawajui mnachofanya,poleni mtaijua ccm baadaye!
 
ukikumbuka utacheka
 
Kuna dalili ya kupumgua kuaminika kwaCCM. *Prediction yako Ina unwell. Wasomi Wengi jhawakitaki. Watu wa mijini Nao. Lakini ni Mawazo ya juu juu tu. Tugetafuta statistics kuthibitisha Hilo. Ila Kama wasevo wahenga dalili za Mvua .... CCm Ina nafasi ya kijirekebisha ikijua unwell.

*
 
uzuri ni kwamba ni mabingwa wa kusoma alama za nyakati lakini safari hii imeshindikana wameshikana pabaya wamechoka kupeana nidhamu ya uoga meno ya mbwa ayangatani lakini safari hii tunaona yakingatana tena hadharani wamepeana majeraha yasiyopona ata kwa nn wameshafika mahali pakusema bora chama kife.
 
Ukitaka kujua mwedelezo wa ngombe kwenye zizi unatazama ni ndama wangapi ulionao watakaokuwa wazazi wa kipindi hicho kijacho.....kwa hili CCM hawa ndama naona wanapungua na ni miaka sifuri tu hapo mbele zizi linakoswa ndama na kubakia na majike na madume mazee na yatakayokufa moja baada ya jingine. Tafakari

acha ife wamezidi kujaza majitu majinga humo.
 
Alama za nyakati ni kama ATM hazina stafu! Alikuwepo hitiler,frango,musson,mobutu,idd amin,fujimor na wengine wengi lakini imebaki historia! Kwakuonyesha kuwa ccm haitakiwi kuonekana hata ktk historia yabaadae mwanangu kila siku najitahidi kufundisha kuwa TANU ndicho chama halis cha ukombozi na nyerere ndiye rais halali aliyepata kuchaguliwa. Akiuliza je ccm namwambia kuwa ni genge la wezi sawa na Talban la AFghanistan au LRA la uganda. Hata ofisin kwangu natumia picha ya Nyerere!!
 
Back
Top Bottom