CCM kwaheri!

CCM isife jamani!tunataka 2015 tuwe na chama cha upinzani chenye nguvu.
 
mku hata wakiwa wote kutoka kasjazini au magharibi haimati. hoja hiyo ni ya kijinga
 
Kum............sisiem lazima ife ......liwalo na liwe lazima ife...kwanza ya nini mwenyewe kafa inangoja nini'?
 
Kwa hamasa iliyoonekana katika mkutano uliohutubiwa na kamanda F.Mbowe mwenyekiti wa taifa CHADEMA hapa Vwawa,Mbozi,ccm itabwagwa hata kwa mbinu zozote watakazozitumia.Watu wa huku wameikataa ccm.Mikutano ya ccm inapuzwa na wananchi. Ccm ina harufu ya kifo.Kifo cha nyani kila tawi linateleza.Mbinu zote za ccm zimeshindwa.
mkuu kumbuka kuwa huko ni nyumbani m/kiti wa CCM mkoa
 
mkuu kumbuka kuwa huko ni nyumbani m/kiti wa CCM mkoa

Mkuu Double Chris, tutake radhi watu wa jimbo la Mbozi Mashariki! Tume ya uchaguzi (NEC) ilimpitisha Godfrey Zambi kinyume na kura zetu, kwa sasa Zambi bungeni ni mbunge anaeiwakilisha (NEC). Wana-Mbozi Mashariki tulimpiga ban, Kuchaguliwa uenyekiti wa ccm mkoa ni magamba kuficha aibu ya ban aliyopewa jimboni kwake.
 
JE!ni lipi ulilolifanya tangu umeanza kuongoza jumuiya hii ya UWT wakati unaona hali ya nchi kisiasa imetuelemea vibaya mno badala ya kuwaamasisha akina mama waweze kukiunga chama mkono?JIBU?Wanawake wengi waliokuwa wameshachukua mafungu yao wakaanza kumzomea mama akajibu mwacheni huyu ni mgeni kwenye siasa ni juzi juzi tu tumempa uwakilishi wa bunge la East Africa msimshangae huyu hanijuhi mimi ni nani kwa kumwaga Rushwa asubiri AONE.jE WANA JF hamkioni kifo hicho?CCM bila rushwa haiwezekani.
 
Kufa Kufa ccm na usifufuke tena!



Kuzaliwa 1977
Kufa zika 2015

Itatupendeza sana Watanzania!
 
Back
Top Bottom