CCM Kwa Ubishi wa kijinga

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Hii ITIKADI ya vyama imefikia pabaya sana. Tupo kwenye Mafunzo ya women
emporewement politics leadership.

Bahati mbaya tumepewa karatasi ya kuandika majina Na vyama tutokavyo.

Likaja suala la Uongozi, imeleta shida sana, kwa bahati mbaya sijui nzuri
CHADEMA wako wengi wameshinda kwa karibu nafasi zote, CCM wamegomea matokeo imeniuma sana, tunapoteza muda kwa ujinga tu.

REMIJA MTEMA
 
Sijaelewa hapo mwisho
 
And that is why we seek CHANGE to cleanse our country of mediocrity, selfishness and personal aggrandisement and give our country a new promise.
 
CCM vijijini wanagalagazwa, vyuoni wanagalagazwa, hao wanaokataa matokeo wajitathmini wapo wangapi, na waliokubaliana na matokeo wapo wangapi!
Nape, the most bogest politician of the century!
 
Yani hawatakiwi si mjini wala kijijini, mashuleni wala vyuoni, misikitini wala makanisa, kata wala tarafani, kaskazini wala kusini, ofisini wala kijiweni yani kwa kifupi ata pale LUMUMBA ndani ya ofisi yao hawatakiwi.
 
Back
Top Bottom