CCM kutumia mali za serikali kwa shughuri za kichama mpaka lini??

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Napita hapa katika shule ya Msingi Kihonda Magorofani katika kata ya Kihonda manispaa ya Morogoro ndani ya madarasa ya shule ya msingi nawaona watu webgi mavalia nguo za kijani na nje kuna magari yamepaki na wanafunzi wako nje wanacheza.

Nimegundua kuwa CCM wanafanya vikao vyao vya kichama ndani ya majengo ya serikali naujiuliza ni Hakina halili????

Na kawaida madarasa kama hayatumiku huwa yanafungwa sasa uongozi hasa mwalimu mkuu na kamti ya shule wanamamlaka haya ya kuruhusu upuuzi huu na uvujanji wa sheria??

Inamaana CCM imekosa hela za kukodisha ukumbi??
 
nenda kawashtaki polisi usitupotezee muda hapa
 
Back
Top Bottom