CCM kutekeleza sera ya Chadema kuhusu nyumba za "Tembe"?

Ha ha haaaaaa ni Dr. wa kupora wake za watu bana. Jamaa wanawake wote hawa wamejaa anamfuata mke wa mtu halafu eti Padri, kweli siku ya hukumu adhabu yao wataiona.

We mtoto kama huna hoja ya maana ya kuchangia bora ukae kimya.

unadhani huyu bwana wako aliekutuma ni msafi??? au kwa sababu yeye anapiga kimyakimya hana mpango wa kuoa?? Hivi ikijitokeza wakajitokeza wa Dom pale au yule binti wa Mwanza aliejengewa na kanyumba na jeuri kibao au yule ambae amezaa nae mtoto wa kike kule Mbeya mjini wakijitokeza na wengine utauficha wapi UPUMBAVU WAKO??? TALK ISSUE BANA KAMA VIPI TIMKA TU JF tusijevunjiana heshima.
 
Back
Top Bottom