Elections 2010 CCM kushinda tena arusha mjini?

Kamaka

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
563
33
WAKUU,Kutokana na mapokezi makubwa aliyoyapata Dk W.Slaa Arusha Mjini kwenye ngome ya CCM unafikiri itawezekana kwa chama hicho kutetea jimbo lake??????????????.mpaka sasa Dr.Batilda ameanza cheche zake ,kwa kuwashawishi wapiga kura hususan wakina mama waweze kumpa kura ya ndio.Naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom