CCM Kumuangukia Rostam?

Kama anachosema Said ni kweli basi chama hakina watendaji kina wababaishaji. Mtu hawezi kutoka kwa kuwatukana viongozi tena walioteuliwa na Mwenyekiti halafu mrudi kwa yule yule kumlamba miguu. Hii sasa si siasa ni uhuni na itamfanya Baba wa Taifa ageuke huko Butiama na kuuliza kwanini tunamsumbua sumbua wakati yeye kapumzika na anasubiri kuwekwa wakfu kama Mwenye Heri. Mungu amrehemu.

Rostam usikubali wamekuzalilisha sana, wamekuletea dili na kukupaka matope umechukua kumbe ni wao, wamegundua chama sasa hivi hakina thinkers kama wewe, hakina watu wenye pesa tena, wanatapatapa. Nasema usikubali, achia chama kwa wachwara! tuone kama mwaka kesho kwenye Halmashauri kuu hapata chimbika.
 
Hofu ya makada na viongozi wa CCM inatokana na ukweli kwamba Rostam aliwashtukiza, kwani walipokuwa wakimtaka aondoke kwenye NEC, hawakutarajia kwamba angejiondoa kwenye ubunge.

Hahahahahahahahaaaaaaaaaaaa! Mwarabu amewaweza sana magamba,wao walitarajia nini? Ishakula kwao.
 
Ina maana Rais ana meno? amekuwa wa kubweka tu? Mbona sizioni nguvu, mamlaka na enzi za Urais katika awamu hii kila mtu ndani ya CCM anamtunishia kifua, haya yote ni makosa ya kushiriki wizi na watu wa chini yako unakosa heshima kabisa na kila mtu ana kudharau maana maneno wanayoongea wakina Bashe na Nchimbi inaonyesha dhahiri M/kiti wa CCM ameshindwa kusimamia hicho chama kama alivyoshindwa kusimamia Serikali.

Serikali inaenda kwa kupitia watumishia na system iliopo ingawa hakuna mamlaka ya maamuzi iliopo wala inayofanya kazi.
 
Huyu Bashe hajarudi tu Somalia? Yaani kawa maarufu mpaka anategemewa Igunga? Tz imekwisha, yaani Msomali Bashe atetee watanganyika wa Igunga ili CCM ishinde? Hatuta kubali hata kidogo, IGUNGA LAZIMA IRUDI MIKONONI MWA WAZALENDO TU; BORA TUPIGANE, JIMBO LILIKUWA IRANI SASA LINAHAMIA SOMALIA ALL-SHABABU BASHE ANATAKA KUPELEKA PESA ZA KIHARAMIA IGUNGA ILI MSHINDE. MUNGU TUNUSURU.
 
igunga inkabidhiwa somalia! Yaani kutoka iran kwenda somalia? Inamaana igunga sio tanzania? Bashe leo anataka kuwakilisha wasomali bungeni, maharamia. Ule uongo kwamba yeye wazazi wake walitoka laela rukwa leo umekuwa ukweli? Mungu tunusuru!
 
<SPAN style="COLOR: #0000ff"><STRONG>IGUNGA INKABIDHIWA SOMALIA! YAANI KUTOKA IRAN KWENDA SOMALIA? INAMAANA IGUNGA SIO TANZANIA? BASHE LEO ANATAKA KUWAKILISHA WASOMALI BUNGENI, MAHARAMIA. ULE UONGO KWAMBA YEYE WAZAZI WAKE WALITOKA LAELA RUKWA LEO UMEKUWA UKWELI? MUNGU TUNUSURU!</STRONG></SPAN>
 
Back
Top Bottom