CCM Kumshauri JK akutane na Vyama vyote!

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
17,353
32,990
Nape Nauye na CCM yake wanasema wamemshauri JK akutane na vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni.... je watawaomba vyama hivyo waandike barua ya kuomba vyama hivyo vikutane na JK au watafanyaje? Je kama vyama hivyo havina cha kuongea nae? CCM bana....
 
Mbona wanataka kuvilazimisha vyama? TLP na CUF hawana hoja tofauti hivyo wakutane na Rais ili wamwambie nini?
 
Nape Nauye na CCM yake wanasema wamemshauri JK akutane na vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni.... je watawaomba vyama hivyo waandike barua ya kuomba vyama hivyo vikutane na JK au watafanyaje? Je kama vyama hivyo havina cha kuongea nae? CCM bana....

siasa mkuu!! mpaka utakapojua siasa ndio utakuwa umekuwa
 
Back
Top Bottom