CCM kumpitisha Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki le

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Kuna tetesi kuwa leo Mabalozi na Wanachama wa CCM, Arumeru Mashariki watampitisha mgombea atakaye wania nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chama hicho. Mchakato huo utafanyika kwa kupiga kura zitakazo mpitisha mgobea mmoja atakaye wakilisha chama hicho katika mchuano mkali kati ya vyama pinzania kikiwamo CHADEMA.

ANGALIZO:
Chama cha CCM kinatakiwa kutumia hekima na maarifa ili kumpata mtu sahii atakaye kiwawakilisha. Kutokufanya hivyo wanaweza kupoteza jimbo na kulisahau kabisa katika historia ya kuliongoza.
 
Ccm wameshampata Sioi Sumari ambaye anamrithi babayake kiti hicho.kwa sasa ni company secretary wa stanbic bank tz na kwa upande mwingine amemuoa binti wa lowassa aitwaye pamela na wamejaaliwa watoto watatu.nawakilisha
 
tayari wameshampitisha kwani ?
 
Mungu anafanya makusudi, mshindwe kujinasua tu wenyewe kutoka mikononi mwa Magamba, ole wenu Arumeru
 
Kuna tetesi kuwa leo Mabalozi na Wanachama wa CCM, Arumeru Mashariki watampitisha mgombea atakaye wania nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chama hicho. Mchakato huo utafanyika kwa kupiga kura zitakazo mpitisha mgobea mmoja atakaye wakilisha chama hicho katika mchuano mkali kati ya vyama pinzania kikiwamo CHADEMA.

ANGALIZO:
Chama cha CCM kinatakiwa kutumia hekima na maarifa ili kumpata mtu sahii atakaye kiwawakilisha. Kutokufanya hivyo wanaweza kupoteza jimbo na kulisahau kabisa katika historia ya kuliongoza.

Yani na wewe bado unaendelea kutoa ushauri kwa CCM? Hili ni sikio la kufa mkuu alisikii dawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom