Wanalazimisha kwani kafumu kasema hataki kabisa siasa anarudia kazi yake ya zamani kwani walimtelekeza. nafikiri hii ni njia ya kuchelewesha tu ili CHADEMA wasilichukue jimbo
chama cha mapinduzi wakata rufaa kupinga hukumu ya kutengua ubunge wa dr Kafumu
hawajaridhishwa na hukumu ya jana.
je tutafika?
source michuzi
What is michuzi by the way?
Michuzi is one of the CCM's residual tails
HILI HALIPINGIKI!... Nilijua lazima wakate rufaa.. MOTO wa CDM unatisha!... kwao ni heri jimbo likae wazi hadi mwaka 2015 kuliko kuumbuliwa na MAKAMANDA wa CDM!....inashangaza kama jana dr kafumu alisema hana nia ya rufaaleo wanatoa kauli nyingine.