CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

Ndugu Willy,

Nina maswali kidogo tu na pengine ni ya kijinga,

CCM ijivue magamba ili iweje ?

Kama ni taifa kwanza do we real need CCM hii ya leo ?

Are we not wasting "more" time na hiki chama kinachotupeleka kuzimu ?

Kwanini tupoteze muda na nguvu adhimu "kuhuisha" hiki chama ?

Again, CCM ijivue magamba ili iweje?

Mimi naamini kwa dhati kabisa kama chakula kikioza hukili, unakitupa na kutafuta kingine.

kwanini tupoteze muda kupodoa chakula kilichooza kwa kutia masala kwa wiiingi ?

Sii tutafute kingine ?

What is more importanmt to us Tanzanians ? CCM or our livelihood and progress?

Again, CCM ijivue magamba ili iweje?

Thanks kaka.
 
Maswali mazuri sana na yanayoibua fikra na majadiliano na uelewa ila kwa majibu yao yatakuw amepesi dhidi ya hoja nzito
 
William,

..katika suala la ufisadi wana CCM mmekuwa so reactive wakati mlitakiwa kuwa proactive.

..CCM ya sasa hivi ni tofauti sana na ile iliyokuwa ikiwashughulikia wakina Aboud Jumbe, Maalim Seif Sharrif na kundi lake.

..wakati ule, Mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Jamhuri, had nothing to do na kashfa/tuhuma zilizokuwa zikiwakabili Jumbe na Maalim Seif.

..tatizo ninaloliona mimi ni kwamba kuna kila dalili/indication kwamba Mwenyekiti wa CCM ni zao la ufisadi na amehusika kwa kiasi kikubwa na ufisadi unaoendelea ndani ya CCM na in the circles of power.

..kwa mtizamo wangu Makongoro Nyerere[kwa kauli zake ktk mkutano wa ccm-nec] came very close to do what is supposed to be done ili kukinusuru chama chenu na taifa kwa ujumla.

..juu ya ufisadi unaokitafuna chama chenu, kuna tatizo kubwa zaidi, nalo ni uwezo mdogo wa JK ktk ku-meet the challenges za Uraisi wa nchi hii na ku-deliver on CCM campaign promises.

..kwa kweli CCM mnamhitaji your own "BARRY GOLDWATER"[rejea kashfa ya watergate] atakayewasaidia ktk kujivua gamba ktk namna itakayoleta matumaini mapya kwa chama chenu na taifa hili.
 
Wewe Mwenyewe gamba kwa sababu upo kwenye CHAMA cha wenye MAGAMBA.Wapenda mabadiliko wote wanasupport CHADEMA, KWA HIYO NAKUOMBA UVUE GAMBA KWA KUJIUNGA NA CHADEMA KWA MANUFAA YA TAIFA.
 
Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

- Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

- Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hilo neno mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.

Willy
Nafikiri kunahitajika falsafa mpya na nzuri kuliko hii ya kuvua gamba maana haina mvuto na haieleweki wala hakuna badiliko lolote linaloonekana baada ya kujivua gamba kwa chama chako maana inaonekana kama ilikuwa ni kujiuzulu kw asekretarieti na kuchaguliwa kwa nyingine mpya ila dhana na maana ya chama kubadilika haijaonekana bado ni ile ile. Chama hakijawa na msimamo thabiti wa kupambana ufisadi na wala hakina nia hiyo ya kupambana na ufisadi kwa vitendo.
Kinachoonekana ni maneno ambayo hata kwa mtot mdogo anaona kuwa haya ni maneno ya kupita hayana ukweli na wala hayatafanyiwa kazi
Msimamo ungeanzia ngazi za mwenyekiti wa chama na kwa vitendo sio maneno maana kuwapa mafisadi siku kadhaa za kujirekebisha sio dhana ya uwajibikaji ila ni kukimbia jukumu maana walipaswa wawe kwenye vyombo vya sheria
Willy uthubutu wa kufanya unayoyasema kwa kweli haupo ni kupoteza muda tuu na baada ya siku kadhaa agenda inawekwa kapuni mambo mengine yanaendelea
 
Ndugu Willy,

Nina maswali kidogo tu na pengine ni ya kijinga,

CCM ijivue magamba ili iweje ?

Kama ni taifa kwanza do we real need CCM hii ya leo ?

Are we not wasting "more" time na hiki chama kinachotupeleka kuzimu ?

Kwanini tupoteze muda na nguvu adhimu "kuhuisha" hiki chama ?

Again, CCM ijivue magamba ili iweje?

Mimi naamini kwa dhati kabisa kama chakula kikioza hukili, unakitupa na kutafuta kingine.

kwanini tupoteze muda kupodoa chakula kilichooza kwa kutia masala kwa wiiingi ?

Sii tutafute kingine ?

What is more importanmt to us Tanzanians ? CCM or our livelihood and progress?

Again, CCM ijivue magamba ili iweje?

Thanks kaka.

- Ili tuweze kurudisha imani ya wanachi kwa chama chetu ambacho sio siri kwamba wananchi wanakiamini sana, isipokuwa ni sisi tu tunaowaangusha! Sasa some of us hatuwezi kukaa pembeni na kukiona kinajfia kifo cha mende, we are going to say somethings na ndio tumeanza!

- Wote hatuwezi kuwa Chadema, wengine wawe Chadema na wengine tuwe CCM, lakini at heart Taifa Kwanza!

William @ NYC, USA.
 
Watu wanahitaji maisha bora wanahitaji huduma bora wanahitaji waone uwajibikaji wa viongozi na wanavyowatumikia wananchi katika kuhakikisha maisha bora na sio habari za kuvuana magamba hazina mvuto wala haziwashibishi. aende na falsafa kuwa kupitia rasilimali zilizopo katika wilaya/mkoa wenu ;kiasi kadhaa kitatumika kuwajengea huduma bora za kijamii na wakione sio ahadi lukuki ambazo kutimizwa kwake ni ndoto
 
William,

..katika suala la ufisadi wana CCM mmekuwa so reactive wakati mlitakiwa kuwa proactive.

..CCM ya sasa hivi ni tofauti sana na ile iliyokuwa ikiwashughulikia wakina Aboud Jumbe, Maalim Seif Sharrif na kundi lake.

..wakati ule, Mwenyekiti wa CCM na Raisi wa Jamhuri, had nothing to do na kashfa/tuhuma zilizokuwa zikiwakabili Jumbe na Maalim Seif.

..tatizo ninaloliona mimi ni kwamba kuna kila dalili/indication kwamba Mwenyekiti wa CCM ni zao la ufisadi na amehusika kwa kiasi kikubwa na ufisadi unaoendelea ndani ya CCM na in the circles of power.

..kwa mtizamo wangu Makongoro Nyerere[kwa kauli zake ktk mkutano wa ccm-nec] came very close to do what is supposed to be done ili kukinusuru chama chenu na taifa kwa ujumla.

..juu ya ufisadi unaokitafuna chama chenu, kuna tatizo kubwa zaidi, nalo ni uwezo mdogo wa JK ktk ku-meet the challenges za Uraisi wa nchi hii na ku-deliver on CCM campaign promises.

..kwa kweli CCM mnamhitaji your own "BARRY GOLDWATER"[rejea kashfa ya watergate] atakayewasaidia ktk kujivua gamba ktk namna itakayoleta matumaini mapya kwa chama chenu na taifa hili.

- Well, I am not an apologist wa anybody ndani ya CCM, lakini pia I am a political realist always, kwanza to this day hatujawahi kujua kina Seif Hamadi na Jumbe makosa yao yalikuwa ni nini hasa? Halafu times has changed na si kweli kwamba Mwenyekiti anatakiwa kujua kila kitu, ndio maana anahitaji sana wasaidizi!

- Na pia sio rahisi sana kumtupa nje kiongozi aliyechaguliwa na wananchi kwenye kura, Seif na Jumbe hawakuchaguliwa kwa kura za wananchi, walipendekezwa na Rais wa Jamhuri ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, sasa unaona ilivyokuwa rahisi kwa Mwenyekiti yule yule kushinikiza kuwaondoa alipoona wanaenda kinyume na aliyoyategemea toka kwao as leaders!

- Ndio maana ninaelewa ni kwa nini inakua sio rahisi kuwaondoa, lakini ninaheshimu dhamira ya Mwenyekiti wa sasa wa CCM, kwamba kwanza ameweza kuwatoa NEC na CC, ninaamini kwamba ataishia kuwaondoa kabisa, lakini ni lazima kuwa na uangalifu wa kuhakikisha wananchi wa majimbo yao ya uchaguzi wanaelewa makosa ya hawa mafisadi, ama sivyo tunaweza kufanya makosa makubwa ya kuwa-dis-frenchize wananchi hao na CCM, ikawa faida kwa Chadema!

- Halafu katika siasa unatakiwa kuwa muangalifu sana unapomuhukumu Rais aliyechaguliwa na wananchi kuwaongoza kwa miaka 10, mfululizo, kumbuka hata Obama sio wote wanaofikiri ni Rais mzuri, kama wewe unayoonekana kuamini kwamba Rais wetu wa sasa hafai, ni sawa tu katika Demokrasia kama tuliyonayo, maana ni mawazo yako tu, against wanachi Millioni 45 wa Tanzania!

William @ NYC, USA.
 
magamba hayo ni magumu sana kaka! ila hoja ya dingi yako kula sehemu ya EPA umeikwepa
 
- Vigumu sana kuongea hoja isiyokuwa na facts, maana EPAs wote sahihi zao zipo BOT na juzi wengine wameanza kutangulia kifungoni hivi unamjua bina-adam ambaye anaweza kukubali kwenda jela ya Tanzania bila kuwataja waliomtuma ili kujiokoa?

William @ NYC, USA.
 
W.J.Malecela said:
- Well, I am not an apologist wa anybody ndani ya CCM, lakini pia I am a political realist always, kwanza to this day hatujawahi kujua kina Seif Hamadi na Jumbe makosa yao yalikuwa ni nini hasa? Halafu times has changed na si kweli kwamba Mwenyekiti anatakiwa kujua kila kitu, ndio maana anahitaji sana wasaidizi!

- Na pia sio rahisi sana kumtupa nje kiongozi aliyechaguliwa na wananchi kwenye kura, Seif na Jumbe hawakuchaguliwa kwa kura za wananchi, walipendekezwa na Rais wa Jamhuri ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, sasa unaona ilivyokuwa rahisi kwa Mwenyekiti yule yule kushinikiza kuwaondoa alipoona wanaenda kinyume na aliyoyategemea toka kwao as leaders!

- Ndio maana ninaelewa ni kwa nini inakua sio rahisi kuwaondoa, lakini ninaheshimu dhamira ya Mwenyekiti wa sasa wa CCM, kwamba kwanza ameweza kuwatoa NEC na CC, ninaamini kwamba ataishia kuwaondoa kabisa, lakini ni lazima kuwa na uangalifu wa kuhakikisha wananchi wa majimbo yao ya uchaguzi wanaelewa makosa ya hawa mafisadi, ama sivyo tunaweza kufanya makosa makubwa ya kuwa-dis-frenchize wananchi hao na CCM, ikawa faida kwa Chadema!

- Halafu katika siasa unatakiwa kuwa muangalifu sana unapomuhukumu Rais aliyechaguliwa na wananchi kuwaongoza kwa miaka 10, mfululizo, kumbuka hata Obama sio wote wanaofikiri ni Rais mzuri, kama wewe unayoonekana kuamini kwamba Rais wetu wa sasa hafai, ni sawa tu katika Demokrasia kama tuliyonayo, maana ni mawazo yako tu, against wanachi Millioni 45 wa Tanzania!

William @ NYC, USA.

William,

..JK ni mdau ktk ufisadi wa Lowassa na Rostam ndiyo maana inakuwa vigumu[no courage or moral authority] kwake kuwashughulikia.

..Mwalimu hakuwa mshirika wa Jumbe au Maalim Seif ktk mambo yaliyosababisha wanasiasa hao wakafukuzwa ndani ya CCM. Hii ndicho kilichomsaidia Mwalimu na CCM kuwa decisive ktk maamuzi yale magumu.

..lakini mkishamalizana kuhusu ufisadi kuna hili la serikali ya JK kukosa uwezo wa ku-deliver on campaign promises za CCM. tatizo hilo naliona kama ni kubwa kuliko vita vya ufisadi.

..rai yangu kwa wana ccm ni kwamba safisheni mmafisadi wote ndani ya chama chenu. sidhani kama wa-tanzania watawaelewa ikiwa mtawashughulikia baadhi ya mafisadi na kuwakwepa wengine kwa kuogopa nafasi zao.

NB:

..Jumbe na Seif nao walikuwa wamechaguliwa na wananchi. they were not just wateule wa Raisi wa Jamhuri au Mwenyekiti wa CCM.
 
Hivi wewe Dr. Jumanne Baba yako mbona hukumuweka (Import Support Scheme) (Circa 1992)? Au uko kwenye payroll ya Uncle Jeetu Patel? Continue kubeba Box NYC au huko Mt. Vernon au rudi kwenye ubaharia (SI_HASA) HUWEZI utapigwa pipe mjini kwa ushabiki wa kitoto. Au tukuletee dozi nyingine ya (Chholoquine) sp>. umeze naona umenyimwa urithi
 
- Well hayo ni maneno mazito sana mkuu, ninakubali sana!

William @ NYC, USA.
 
Hivi wewe Dr. Jumanne Baba yako mbona hukumuweka (Import Support Scheme) (Circa 1992)? Au uko kwenye payroll ya Uncle Jeetu Patel? Continue kubeba Box NYC au huko Mt. Vernon au rudi kwenye ubaharia (SI_HASA) HUWEZI utapigwa pipe mjini kwa ushabiki wa kitoto. Au tukuletee dozi nyingine ya (Chholoquine) sp>. umeze naona umenyimwa urithi

- Ha! ha! mkuu basi ungejaribu kujifunza matusi ya kisasa maana hayab yamepitwa na wakati sana, tupo kwenye wakati mwingine sana mkuu! ha! ha! ha! ha!,

- TAIFA KWANZA!

William @ NYC, USA
 
Bingwa!

Nimeisoma hii thread upya, ninashawishika CCM huijui inavyofanya kazi. Sophia Simba ananguvu mno, hakuna anayeweza mgusa, she's simply above the law. Hii thread imekuongezea maadui kwenye Chama chako, kama unampango wa kuomba ridhaa ya CCM ninakuhakikishia itakula kwako. Rafiki yako Nnape hatofika 2015 Mark my words bro!
 
- Well, mwezi ujao nitakuwa bungeni kwenye kikao cha bajeti, So! na hawa wote nitakutana nao uso kwa uso,vipi Mchungaji tunaongea taifa hapa wewe una-preach fear tena?

Hahahahaha

All the best Bro....nitakucheck ukiwa Dodoma...nilikuwa nakupa angalizo tu.

Pamoja
 
- Ha! ha! ha! ha! Na Bashe pia tutaonana uso kwa uso! ha! ha!, sawa sawa Mchungaji, MUCH RESPECT!

WILLIAM @ NYC, USA.

Ukionana nao waambie waje na tamko jingine jipya hili la magamba halina mvuto maana nyoka akivua magamba haishi kuwa nyoka ila ndo anakuwa na sumu kali zaidi
 
Back
Top Bottom