CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

Well kwa kuanzia amumuwezi EL na kundi lake these guys are calculative, manipulative and are a very smart bunch. What you need to understand these people don't take chances and they do their best to insure their evil deeds.

CCM is not bigger as you seem to think, its all about controlling those who matter and the triplets are good at that game. If they can choose your president what makes you think, they haven't taken the measures to control him. Tazama malalamiko ya JF na Ridhwani then you know he also needs to cover his a@re.

Actually I think JK wants them out but he is tied and dont know what to do with them, with my little knowledge about bongo politics I dont think those people r gonna go down without a fuss.

Trouble is can you actually handle this mess, or have you got a sensible plan maana usikurupuke without one (a plan).

Usiku Mwema, time tena zimewadia ya kwenda kulamba yale maji yangu niyapendayo.

- Kama ni kweli wasingetoka NEC na CC, infact unasahau kwamba Lowassa alikuwa Waziri Mkuu sasa nani aliyemtoa? Nani aliyemnyima umakamu wa CCM? Na nani aliyemtoa NEC na CC? Well ninaamini ni mahesabu tu ya siasa na wao wenyewe wanajua kwamba it is coming ndio maana sasa hivi wanahaha sana!

- I mean one thing ni kwamba tutaikomboa tu CCM no matter what!

William @ NYC, USA.
 
Ndugu W. Malecela, najua una orodha ndefu sana moyoni mwako, umetupa hii orodha fupi ili sisi wasomaji tuweze "ku-connect dots". Hongera sana kwa kuthubutu kutaja majina hayo.

Tukirudi kwenye uhalisia, naamin hata wewe unajua kwamba hili la kuwatosa wanaCCM wote hao ni gumu sana na haliwezekani. Nani wa kumvisha paka kengele? Ni Mwenyekiti? Ni wanachama wanaogombea kanga na kofia kutoka kwa wagombea uongozi CCM? Ni wanachama haohao waliowachagua RA, EL, AC kwenye majimbo yao? Hakuna wa kuwaondoa mapacha watatu, achilia mbali walioko ktk hii orodha yako. Ni rahisi kwa Nape kuvuliwa uanachama kuliko mapacha 3, kuondolewa kundini.
 
- Mh. Nape ni mjumbe wa NEC na CC na pia ni Katibu Mwenenzi wa CCM Taifa, hao mapacha ni wanachama tu wa CCM, kuondoka kwa kawaida unaaniza kuamka kwenye kiti, unasogea mlangoni na mwisho kutoka nje, sasa in our case unaanza kwanza kutolewa NEC, baadaye CC then unaonyeshwa Mlango!

- CCM ni Chama Cha Mapinduzi a Revolutionary Party, ninataka tuanze kuishi kwa hili jina letu na it is coming!, kwa sababu imeshaanza tayari!

William @ NYC, USA.
 
- Mchungaji let me touch this ishu pamoja na kwamba ni nje ya mada yangu, Sophia Simba alikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya Malecela na Mama kilango, alipokea mchango wa harusi toka kwa waalikwa wengi wa harusi Jeetu Patel akiwa ni mmojawapo sasa does that makes maharusi kuwa mafisadi, ninasema no way!

- Unless tunaweza kupitia harudi zote za wananchi wa kawaida na viongozi wetu wa pande zote mbili kuona kuwa hakuna harusi hata moja iliyowahi kuchngiwa na wale wanauthumiwa kwa ufisadi, naomba kusema hivi mchango wa Jeetu Patel kwa harusi ya Malecela, haukukiathiri chama cha CCM, halafu Sophia Simba kama Mkusanyaji wa michango ya harusi alikuwa na haki zote za kurudisha hela alizoziona kuwa chafu!

- Unless yuo know something esle I dont, sema hapa hadharani!

William @ NYC, USA

Very interesting. Unapendekeza Sophia Simba aondolewe kwenye chama lakini Mzee Malecela na Anna Kilango aliowasaidia kukusanya michango ya shughuli yao huwataji. Ukweli ni kuwa hii approach ya kuwataja watu wachache na kuwafanya ndio tatizo la CCM haitafanikiwa.kinachotakiwa ni kutibu chanzo cha mmomonyoko wa maadili na ubinafsi uliokithiri ndani ya chama na serikali yake. Kwa mtazamo wangu yote haya yalianzia kwenye Azimio bubu la Zanzibar la mwaka 1992 kama sijakosea.
 
- Sawa sawa mkuu, muhimu ni kuambiana bila kuogopana, sasa ni uamuzi wa CCM either kusikiliza na kufanyia kazi ushauri au kusubiri aibu ya 2015, I hope somebody ndani ya hiki chama is reading very carefully kinachoendelea na hili taifa sasa hivi, as far as mwamko wa wananchi kuhusu taifa lao, I mean Chadema is the best alternative sasa kwa sababu ya makosa yetu wenyewe tena mengine ya kupuuuzi sana ndio tunaishia kuwapa Chadema umaarufu wa bure, sasa hivi hawa wanaotakiwa kufukuzwa wanajaribu kila mbinu kujokoa na infact wapo kila mahali na kila ishu, hata ukienda huko Tarime utagundua walikuwepo, ku-confuse tu kila kitu!

- Well, CCM ni uamuzi wetu kufanya kweli au kujiletea aibu, I mean tunashindwa hata ku-set the National agenda, tumebakia kulia lia tu nyuma ya agenda za Chadema, I mean ishus ndogo ndogo tunatumia nguvu nyingi mno mpaka inatia aibu wakati solution ilitakiwa kuwa a very slow and smart political moves, mpaka leo bado hatujajua what are the smart politics, sasa wakati umefika we need to do it au kukubali kuburuzwa na Chadema, CCM tulitakiwa kuongea record, I mean tizama ujenzi na ufunguzi wa Chuo Kikuu Dodoma, I mean price less, lakini tumefunikwa na mengi mabovu yasiyo na msingi tunashindwa hata kujivunia makubwa yetu!

- Chuo kikuuu Dodoma, kilitakiwa kuwa the main symbol ya mafanikio ya Awamu ya nne, lakini so many mistakes na uzembe mpaka huwezi kusimama na kuhesabiwa, CCM must act now! or else!

William @ NYC, USA.

Thank you for your courage William. I wish people knew how much it takes to say what you are saying openly. Many of us will argue that you are one of the beneficiaries of the system and it's probably true, but at least you are serious about changing your party and in my books, you are the kind of people CCM needs. If CCM had more people with your courage, there would hope for its survival, but with what the likes of Nnauye et al have shown so far, one can almost guarantee that the party is finished.
 
- Mh. Nape ni mjumbe wa NEC na CC na pia ni Katibu Mwenenzi wa CCM Taifa, hao mapacha ni wanachama tu wa CCM, kuondoka kwa kawaida unaaniza kuamka kwenye kiti, unasogea mlangoni na mwisho kutoka nje, sasa in our case unaanza kwanza kutolewa NEC, baadaye CC then unaonyeshwa Mlango!

- CCM ni Chama Cha Mapinduzi a Revolutionary Party, ninataka tuanze kuishi kwa hili jina letu na it is coming!, kwa sababu imeshaanza tayari!

William @ NYC, USA.

Nimefurahi na dhamira yako. Lakini katibu wenu mkuu keshasema hakuna orodha kama hiyo ndani ya ccm na nec haikujadili majina yeyote na hata hizo siku 90 zilizokuwa zinatajwa na Nape nec hawakujadili!! Unaonaje hii au naye ndie mmoja wa hao wapindisha maneno? Nadhani mna kazi nzito sana kutimiza hii azma yenu.
 
Very interesting. Unapendekeza Sophia Simba aondolewe kwenye chama lakini Mzee Malecela na Anna Kilango aliowasaidia kukusanya michango ya shughuli yao huwataji. Ukweli ni kuwa hii approach ya kuwataja watu wachache na kuwafanya ndio tatizo la CCM haitafanikiwa.kinachotakiwa ni kutibu chanzo cha mmomonyoko wa maadili na ubinafsi uliokithiri ndani ya chama na serikali yake. Kwa mtazamo wangu yote haya yalianzia kwenye Azimio bubu la Zanzibar la mwaka 1992 kama sijakosea.

- Mkuu sana Tanzania hatuna sheria zinazosimamia michango ya harusi kwa wananchi au viongozi, lakini for sure tuna sheria zinakataa rushwa zilizotumika na Sophia Simba kwenye uchaguzi wa Umoja Wa wanawake, Mama Kahama ndiye aliyekuwa chaguo la wanawake wengi wanyonge, lakini kwa kutumia Mabillioni yaliyotoka kwa mapaacha watatu, katiba yetu ya CCM ikapindishwa na Sophia akaishia kushinda, guess what ndio baadhi ya magamba tuliyojipachika sasa yanatushinda kuyatoa, maana hatutaki kukubali tuliyavaaje!

- CCM hatukujivalaisha magamba kwa wanacham wetu na viongozi wetu kupokea michango ya harusi, hapana ni kwa sababu ya kutoa na kupokea rushwa zaidi!

William @ NYC, USA.
 
Nimefurahi na dhamira yako. Lakini katibu wenu mkuu keshasema hakuna orodha kama hiyo ndani ya ccm na nec haikujadili majina yeyote na hata hizo siku 90 zilizokuwa zinatajwa na Nape nec hawakujadili!! Unaonaje hii au naye ndie mmoja wa hao wapindisha maneno? Nadhani mna kazi nzito sana kutimiza hii azma yenu.

- Mwenyekiti wa CCM, Rais wa sasa wa Jamhuri alishasema kwamba kila neno analolisema Nape lina support yake kwa 100%, that is all what matters kwenye siasa za Taifa, lolote Duniani!

William @ NYC, USA.
 
Thank you for your courage William. I wish people knew how much it takes to say what you are saying openly. Many of us will argue that you are one of the beneficiaries of the system and it's probably true, but at least you are serious about changing your party and in my books, you are the kind of people CCM needs. If CCM had more people with your courage, there would hope for its survival, but with what the likes of Nnauye et al have shown so far, one can almost guarantee that the party is finished.

- I guess you are not a beneficiary of the system, meaning that you did not get educated in this country, yes I was educated under Mwalimu's regime and it was free of charge for all Tanzanians, do I need to apologize for that? I mean being one of the all the Wananchis who received free education under Mwalimu! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA.
 
- Mwenyekiti wa CCM, Rais wa sasa wa Jamhuri alishasema kwamba kila neno analolisema Nape lina support yake kwa 100%, that is all what matters kwenye siasa za Taifa, lolote Duniani!

William @ NYC, USA.

Mkuu William sina haja ya kusema mengi wadau wameshachangia mengi yenye mwelekeo wengine wametoa pumba kwa hasira ya maisha yalivyo lakini ukweli CCM haipo kwenye life support IPO MIKONONI MWA MUNGU ni miujiza tu ndiyo yanayoweza kuinusuru. DR. (wananchi) wameshakata tamaa.

Umesema maneno mazito sana nimefurahi umeona ukweli zile 90 ni ndoto za Alinacha, UONGOZI WA JUU hiyo ikiwa ni pamoja na NEC na CC ni wasanii watupu hawawakilishi maoni ya wanachama wa kawaida. Wanaccm kuanzia matawi ya chini ndiyo pekee wenye uwezo wa kuinusuru CCM, nadhani kama unakumbuka wakati wa uchaguzi tuliijadili CCM lakini kwasababu bado ulikuwa unahadaika na uwongo wao ulipinga hoja nyingi. Mh. Kikwete hawezi kuinusuru CCM kwani hata yeye binafsi ana wingu zito limemfunika na hilo ndiyo tatizo kubwa, KUMBUKA HAO VIONGOZI WAMEFORM INNER CIRCLE NA WOTE WANAJUANA KWA UCHAFU WAO.

CCM haipo madarakani kwa RIDHAA ya WANANCHI itaendelea kutawala kwa msaada wa VYOMBO VYA DOLA JESHI, POLISI na MAHAKAMA. Wananchi wengi walirubuniwa na hadaa za mh. KIKWETE leo wanajuta cha kufanya hawana yapo mambo mengi ya kimsingi ambayo wananchi hawayajui, TUMIA HII FORUM KUWAELEMISHA, SI KEBEHI MTU LAKINI SHULE ZA KATA WENGI SANA NDANI YA HII FORUM HAWAELEWI WANACHOKISEMA ANZA NA WANACCM kazi ni kubwa lakini huna budi kuianza.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
- Yaaani hata ukibadili rangi bado mawazo ni yale yale tu! duh!kila upande upo, ndio mnaotuletea matatizo hili taifa yaani UNAFIKI WA HALI YA JUU SANA! kwenye mitandao unakwua Chadema in the real life kujikomba komba kwa viongozi wa CCM! phew! nasikia kichefu chefu kukusoma!
- Danganya hawa wengine wasio kujua!

Es!

With all these years without visible symptoms, nilifikiri kuwa sasa umepona ule ugonjwa wako wa kumjua kila mtu hapa JF. Kumbe bado?
Karibu Loliondo upate kikombe cha babu utakapokuja bungeni.
Kama unasikia kichefuchefu, tapika! It is good for your health.
 
CCM Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

With all these years without visible symptoms, nilifikiri kuwa sasa umepona ule ugonjwa wako wa kumjua kila mtu hapa JF. Kumbe bado?
Karibu Loliondo upate kikombe cha babu utakapokuja bungeni.
Kama unasikia kichefuchefu, tapika! It is good for your health.

- Hoja muhimu kwa taifa mkuu watu wamechoka sana hapa na upupu wako, kwani wewe humjui pa kumpata Mkulu william ukamueleza matatizo yako badala ya kutuharibia threads hapa kila wakati na mapumba yako!

- Huna hoja kwa taifa kaa pembeni, hapa tunaongea taifa sio matatizo yako, pelekea huko!

Es!
 
hawa vijana wawili mchambuzi na William...........sina iman nao
 
- Mwenyekiti wa CCM, Rais wa sasa wa Jamhuri alishasema kwamba kila neno analolisema Nape lina support yake kwa 100%, that is all what matters kwenye siasa za Taifa, lolote Duniani!

William @ NYC, USA.

Ndugu, hii statement yako binafsi siwezi kuiamini kwa sababu ni mwenyekiti huyu huyu, during elections, alituambia Rostam ni safi na kaenea kama timu ya mpira. Na akamsifu Lowasa, Chenge, Mramba nk. Leo hii anawaita magamba mbona wamebadilika mda mfupi sana?

On the other hand, we can not ignore Mukama statement kirahisi namna hiyo. Nape alisema categorically, kwamba "kuwang'oa mafisadi ni moja kati ya maazimio ya kamati kuu". Leo mwingine anasema hawakuamua hivyo, WHICH IS WHICH ? How can two top officials from the party come up with two conflicting statements? Then wewe unatwambia habari za m/kiti, which means kati ya Mukama ni muongo!!
 
- Mkuu sana Tanzania hatuna sheria zinazosimamia michango ya harusi kwa wananchi au viongozi, lakini for sure tuna sheria zinakataa rushwa zilizotumika na Sophia Simba kwenye uchaguzi wa Umoja Wa wanawake, Mama Kahama ndiye aliyekuwa chaguo la wanawake wengi wanyonge, lakini kwa kutumia Mabillioni yaliyotoka kwa mapaacha watatu, katiba yetu ya CCM ikapindishwa na Sophia akaishia kushinda, guess what ndio baadhi ya magamba tuliyojipachika sasa yanatushinda kuyatoa, maana hatutaki kukubali tuliyavaaje!"
William umenena. Hivi kuwa na akina ss ndani ya cc na nec tutarajie nini? Huyu ni pandikizi la rachel. Ni waziri. Hata kura za maoni ndani ya ccm ziligubikwa na rushwa. Huku akina makamba wakiipa nguvu. Ccm kisipojiondokana na vitendo vya rushwa kitakufa haraka. Viongozi waliongia kwa rushwa hawawezi kuleta maendeleo. Siku zote wataendelea kutuibia na kujilimbikizia mali. Ndiyo ya kina waziri ss. Tumeliwa! Mweeee
 
wiliam mimi sio CCM na siwezi kuwa CCM, ila naona unauchungu na nchi yako kama sio hasira ya baba yako kufanyiwa fitina 2005. Kama kweli una uchungu wewe ni iron man umethubutu kufanya maamuzi magumu mno kwenye siasa za Tanzania, nakupaka hongera. Ni kweli magamba yana hisyoria na historia hujengwa na watu na watu ni hao uliowataja, hongera na kuwa tayari kupokea mishale ya magamba na wafuasi wao.
 
Ndugu, hii statement yako binafsi siwezi kuiamini kwa sababu ni mwenyekiti huyu huyu, during elections, alituambia Rostam ni safi na kaenea kama timu ya mpira. Na akamsifu Lowasa, Chenge, Mramba nk. Leo hii anawaita magamba mbona wamebadilika mda mfupi sana?

On the other hand, we can not ignore Mukama statement kirahisi namna hiyo. Nape alisema categorically, kwamba "kuwang'oa mafisadi ni moja kati ya maazimio ya kamati kuu". Leo mwingine anasema hawakuamua hivyo, WHICH IS WHICH ? How can two top officials from the party come up with two conflicting statements? Then wewe unatwambia habari za m/kiti, which means kati ya Mukama ni muongo!!

- Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri wa sasa alisema wazi kwamba anayosema Nape ni yake pia, FULL STOP!

William @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom