CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

William,
Hii ni moja ya thread chache ambazo zimesema wazi upo ugumu wa kujivua gamba kama matatizo yaliyosababisha hayo magamba hayajashughulikiwa kwanza.
Lakini bado najiuliza ni kwanini unafikiri uliowataja ndio haswa wenye kubeba dhamana ya kuotesha magamba ndani ya ngozi ya chama tawala? pengine ungeenda mbali zaidi kwa kutaja wazi wazi magamba waliyoyaotesha as individuals ili tupambanue vizuri zaidi.....na mwisho kabisa nakubaliana na wewe kwamba hapa tulipo hatuwezi kuthubutu kufanya yale tunayofikiri tunataka kufanya. Kwahiyo pengine njia mbadala ni kubadili jina hata kama ni kwa muda mpaka pale tutakapokuwa tayari kutekeleza kwa dhati na kweli dhana nzima ya mapinduzi katika maendeleo ya jamii inayotuzunguka.
 
"- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,"

Hapa umetumia kigezo gani kamanda.....uache wale wengine walionufaika na pesa za Jeetu Patel?
Ha ha ha ha
 
Ujumbe huu Mhusika Mkuu ni Kikwete kwani yeye ndie Mwenye Kisu.. Tatizo Jamaa Hucheka Cheka Sidhani kama Ataelewa Pole Yako Willy Umetumia Nguvu Nyingi. Ungekuwa na Jembe la Mkono Ungekuwa Umelima Eka 3 Shambani. Subili Maumivu 2015.. Nimeamini Cement haiuzwi Super market. Na Chura Hupenda Maji Lakini Sio Ya Moto..!
 
Nimefurahi kuona huu "uzi"
Hatimaye Willy, umeona ambacho naweza kusema wengi walikiona zamani sana.
Japo unakubali kidogokidogo, ni vizuri kwa kuanzia kama umeamua kuukabili ukweli,
Kuna mawili, kwanza tunachoambiwa "kujivua gamba" ni kiini macho tu, sababu uvuaji wa hilo gamba haujakuwa dhahiri pia hamna uhusiano uliojengwa kati ya kujivua gamba na kuondoa umasikini uliokithiri kwa watu wetu (hivyo dhana ya kujivua gamba inakosa uhalali mbele ya masiki ambao ndio wengi kwa nchi hii yetu pendwa)
Pili gharama ya "kujivua gamba" (kwa manna halisi kama ulivyoainisha kung'oka kwa hao vigogo na wengine ambao hujawataja) ni kubwa mno kiasi kwamba hamna mwana-ccm yeyote hata wewe mwenyewe mwenye uwezo wa kuibeba hiyo gharama/kuiingia.​
 
Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

- Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

- Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hila jina mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.

Mkuu that will be difficult. Pamoja na kujivua gamba still hakuna changes. Angalia kama jamaa yetu hapa jamvini badala ya kudeal na isssue nyeti za kujenga tarrifa anatumia muda wake kwa haya: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-doctarate-yake-ni-ya-kupewa-kigwangala.html
 
Ushauri CCM inatakiwa ife ndipo tufikirie maisha bora.
Aliyeingizwa kwa mbinu chafu madarakani, waliomwingiza na waliounga mchakato huo wanatakiwa watoswe ndani ya CCM, kama ni hivyo CCM itabaki na nani. Itakuwa utupu.
 
"- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,"

Hapa umetumia kigezo gani kamanda.....uache wale wengine walionufaika na pesa za Jeetu Patel?

- Mchungaji let me touch this ishu pamoja na kwamba ni nje ya mada yangu, Sophia Simba alikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya Malecela na Mama kilango, alipokea mchango wa harusi toka kwa waalikwa wengi wa harusi Jeetu Patel akiwa ni mmojawapo sasa does that makes maharusi kuwa mafisadi, ninasema no way!

- Unless tunaweza kupitia harudi zote za wananchi wa kawaida na viongozi wetu wa pande zote mbili kuona kuwa hakuna harusi hata moja iliyowahi kuchngiwa na wale wanauthumiwa kwa ufisadi, naomba kusema hivi mchango wa Jeetu Patel kwa harusi ya Malecela, haukukiathiri chama cha CCM, halafu Sophia Simba kama Mkusanyaji wa michango ya harusi alikuwa na haki zote za kurudisha hela alizoziona kuwa chafu!

- Unless yuo know something esle I dont, sema hapa hadharani!

William @ NYC, USA
 
William,
Hii ni moja ya thread chache ambazo zimesema wazi upo ugumu wa kujivua gamba kama matatizo yaliyosababisha hayo magamba hayajashughulikiwa kwanza.
Lakini bado najiuliza ni kwanini unafikiri uliowataja ndio haswa wenye kubeba dhamana ya kuotesha magamba ndani ya ngozi ya chama tawala? pengine ungeenda mbali zaidi kwa kutaja wazi wazi magamba waliyoyaotesha as individuals ili tupambanue vizuri zaidi.....na mwisho kabisa nakubaliana na wewe kwamba hapa tulipo hatuwezi kuthubutu kufanya yale tunayofikiri tunataka kufanya. Kwahiyo pengine njia mbadala ni kubadili jina hata kama ni kwa muda mpaka pale tutakapokuwa tayari kutekeleza kwa dhati na kweli dhana nzima ya mapinduzi katika maendeleo ya jamii inayotuzunguka.

- Mkuu kama umeisoma vizuri siasa yetu ya taifa ni under Mkapa, ndipo wafanyabiashara wengi na walipoanza kukimbilia uongozi wa juu kwa kutumia pesa zao chafu, matokeo kina Rostam wakashika nafasi, mbunge anaenda kumuajiri Spika kuwa Director wa Vodacom, now ulitegemea nini kutokana na huu usiano wa mbunge kumuajiri Spika nje ya siasa na uongozi wa taifa?

- Mkuu I can go and on, lakini hii ndio mifano hai ambayo imetufanya CCM kufikia hapa tulipo, yaani kwenye life support, I mean my friend Nape mpaka atakapogundua haya atacheza ngoma ya hawa mafisadi wanaotakwia kuondoak chama, mwisho watamfukuza yeye!

- Unafikiri nani wamewatuma Porokwa na Mpendazoe? Kwa nini wanafikiri sisi wananchi wote ni wajinga sana?

William @ NYC, USA.
 
William,
Mbona list fupi sana? Sijamwona kikwete, Malecela, Pinda, Mwinyi, January, Nape, Ngereja, Mkullo wala msuka deal za ccm Ndulu? Inaonekana unachagua watu usiowapenda na usioelewana nao kifamilia. Hii ndio inasababisha kuona ccm nyie kweli ni kama wehu tu.

Kuna tofauti gani kati ya ccm na NDP cha Mubarak?

Kwa harakaharaka inaonekana ameanza na WANAMTANDAO walio muweka KIKWETE madarakani 2005.
 
- CCM ilianza kuvaa magamba ya ajabu kuanzia uchaguzi wa mwaka 2005, na hao niliowataja ndio hasa tumewasikia kwa nyakati mbali mbali wakishiriki kwenye kutoa maamuzi au kutoa kauli mbali mbali zisizo na tija kwa taifa wala chama, na matokeo yake yamekua kujivalisha magamba ambayo sasa yanatupa taabu sana, CCM hatuwezi kujivua magamba ambayo hatuwezi kutafaklari mbele ya wananchi jinsi tulivyoyavaa!

- Sasa mwananchi you have a right ya kujadili hoja, au kunijadili mimi the messenger ambayo ni kawaida yetu wa-Tanzania, lakini bado ninansimamia hoja yangu ya msingi kwamba we have to sart somewhere na nimetoa changamoto ya where to start maana naona tunaogopana sana hili taifa, I am revolutionary sio kupiga maneno maneno bila vitendo, wananchi wamechoshwa na upuuuzi usioisha na viini macho huku wanauona ukweli, waliotupoteza sana CCM ni wale wote ambao wamekuwa wakiwapinga wapiganaji wetu ndani ya CCM, kwa sababu sasa hivi Chadema wanaimba wimbo ule ule hawa magamba waliokuwa wakiukataa kutoka kwa wapiganaji,

- Sasa either we get rid of them all au tuendelee kudanganyana na wimbo wa mapachaa watatu, are we supposed to be blind? hivi hatukuwaona hawa wakijaribu kutumia kila njia kuizuia ripoti ya Mwakyembe? Hatukuwaona hawa wakitumia kila mbinu chafu kuwaondoa wabunge wenye nia njema na taifa letu? Hatukuwaona hawa wakitumia ma-billioni ya pesa kuwashindisha wagombea wao kwenye chaguzi ndogo za CCM? Hivi hatukuwaona hawa wakitumia mapesa yao kuwatumia wagombea wa upinzani kuwashinda wagombea wetu wa CCM? Sio hawa waliotaka kumfukuza Sitta bunge? Hatukuwaona hawa wakiiharibu UV-CCM kwa kulazimisha wagombea wao tu na sasa kuigeuza UV-CCM kuwa chama ndani ya chama? Remember mabillioni waliyoyatumia kwenye uchaguzi wa kina mama? hivi kwa nini wananchi wa taifa hili ni wepesi sana kusahau?

- I mean what revolution are we talking about tunaposema Chama Cha Mapinduzi, Mapinduzi gani tunaongelea? Unataka kujifunza elimu ya Mapinduzi nenda Ghana, uliza what Rawlings had to do kufanya mapinduzi ya kweli na mpaka leo Ghana inaheshimika dunia nzima na kuongozeka kwa misingi ya sheria ambayo sisi hapa Tanzania inatushinda, tumekalia maneno maneno tu, Rawlings had to get rid of all his friends by the firing squad! Ebooo! ndio maana ya Mapinduzi eti!

- Mapinduzi sio lelemama! Uliza China Mao aliua wananchi wangapi? Tizama sasa China!, wanaweza kuikopesha hata USA sasa! I mean either tufanye mapinduzi ya kweli au tuendelee kudanganyana!

William @ NYC, USA.
Mkuu uliyoyasema ni mazuri kwa watu wenye ufahamu wa juujuu, ila naona kama unauma maneno, ukweli ni kwamba nilivyo kuelewa ni kuwa CCM ivunjwe kwani hao uliowataja ndio CCM wenyewe, waliobaki ni hohehahe bendera fuata upepo hawawezi hata kujielekeza kidole vipi watawaelekezea hao?
Hivi kweli ni hao tu? au unajaribu kupima oil. Kama ilivyo thibiti ni kuanzia juu hadi chini ni MAGAMBA, kwa hiyo usiwe umelewa dhana ya kujivua gamba inayozungumzwa na Sekretariet ati ukitaka kuoga unaanzia kichwani, hii ni kwa ninyi wenye mabomba ya mvua(shower) je kwa wale walio wengi wanaooga ktk madimbwi na mito wakigombana na mamba waanze wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndugu William malecela,nianze kwa kukushukuru kwa kulamba nusu ya List of Shame ya dr Slaa,naona umemkubali dr kiaina. Wewe ni muhimu ukijisalimisha kwa daktari wa ukweli,achana na yule dokuta,anawapoteza. Pili,nakuhakikishia kuwa iyo list ikifanikiwa kufutwa ccm,utakuwa umeifuta ccm na kubakiza ccm b tu,ccm b ni (cuf+ccj). Ndugu kwa kuwa ujamuweka kiranja mkuu,amiri jeshi wa ufisadi,nadhani ujumbe wako haujakamilika, ni kama ulikuwa unataja list sasa ulipokuwa unanakili mwandko wa nukuu ukawa umefutika,jaza upya ndugu. Ndugu ccm kila mtu amekuwa spika,najua ukiwa @NYK huwezi elewa mambo yanavokwenda,siku ukifika dar utaona aibu kujiita ccm. Siku njema.
 
- Mkuu kama umeisoma vizuri siasa yetu ya taifa ni under Mkapa, ndipo wafanyabiashara wengi na walipoanza kukimbilia uongozi wa juu kwa kutumia pesa zao chafu, matokeo kina Rostam wakashika nafasi, mbunge anaenda kumuajiri Spika kuwa Director wa Vodacom, now ulitegemea nini kutokana na huu usiano wa mbunge kumuajiri Spika nje ya siasa na uongozi wa taifa?

- Mkuu I can go and on, lakini hii ndio mifano hai ambayo imetufanya CCM kufikia hapa tulipo, yaani kwenye life support, I mean my friend Nape mpaka atakapogundua haya atacheza ngoma ya hawa mafisadi wanaotakwia kuondoak chama, mwisho watamfukuza yeye!

- Unafikiri nani wamewatuma Porokwa na Mpendazoe? Kwa nini wanafikiri sisi wananchi wote ni wajinga sana?

William @ NYC, USA.

Bora umegundua naomba umuambie maana watu wana mshahuri sana humu Jf lakini yeye anafikiri watu wana wivu au chuki juu yake, Sasa hivi kabakia peke yake si Mukama wala Chiligati au Makamba anayeongelea MAGAMBA.

Ulishawahi kusema ni Rafiki yako Tafadhali tunampenda sana na bado tuna muhitaji mshahuri kuwa NGOMA ANAYOICHEZA SIO YAKE, ILA ANATUMIKA TU NA MWISHO WA SIKU HATA KIKWETE HATO MSAIDIA.
 
Mkuu uliyoyasema ni mazuri kwa watu wenye ufahamu wa juujuu, ila naona kama unauma maneno, ukweli ni kwamba nilivyo kuelewa ni kuwa CCM ivunjwe kwani hao uliowataja ndio CCM wenyewe, waliobaki ni hohehahe bendera fuata upepo hawawezi hata kujielekeza kidole vipi watawaelekezea hao?
Hivi kweli ni hao tu? au unajaribu kupima oil. Kama ilivyo thibiti ni kuanzia juu hadi chini ni MAGAMBA, kwa hiyo usiwe umelewa dhana ya kujivua gamba inayozungumzwa na Sekretariet ati ukitaka kuoga unaanzia kichwani, hii ni kwa ninyi wenye mabomba ya mvua(shower) je kwa wale walio wengi wanaooga ktk madimbwi na mito wakigombana na mamba waanze wapi?

- Well, kama unaona kuna niliyobakisha na uchungu na taifa lako basi na wewe kuongezea niliposimama au kukwama, CCM ni kubwa kuliko wote hao, isipokuwa kama kweli tunataka kujivua magamba basi tuwe wakweli, nina wasi wasi sana na safari ya Dr. Slaa Tabora maana ilikuja wakati ambao unaweza kuwa very suspect, na hasa pale aliposema hata Mangula ni fisadi nina wasi wasi sana kamba hakukuwa na mkono wa mafisadi kwenye ile message!

- HOWEVER: I am not ignorant na mbinu za mafisadi katika ku-undermine the system ni wao ndio wamemtuma Porokwa, na hao hao ndio wamemtuma Mpendazoe, ninaamini kwamba wana mkono huko Tarime, now CCM inahitaji kuamua sasa what is what, one thing hawawezi kuja kulia ni kwamba hawakuambiwa, tunaaawambia sasa kama kweli wako serious na kujivua, basi waanza na hao niliowataja tayari!

William @ NYC, USA.
 
Kama ccm wanataka kujirudi basi sehemu ya kuanzia ni 'kupunguza' power ya mwenyekiti wa chama. Bila hilo William sidhani kama kuna kitu cha maana kitatokea. Hii mijeledi inayoendelea CCM ilipandikizwa 1995 pale umri ulipokuwa mdogo. Nasikia watu wakisema mapacha watatu, lakini kwangu mimi nadhani wapo mapacha wanne - watatu wako mtaani na mmoja yuko magogoni.

Na haya maigizo ya magamba has nothing to do with the party but has evertything to do with 2015. Magogoni anaonekana kusahau majukumu ya kaya na amejikita kwenye jambo moja tu kwa sasa- preparing ground for 2015. At the same time mapacha watatu wanaandaa ground for 2015. Cha kusikitisha woooote wanatumia ccm kutimiza azma zao and all are powerful. Hii list uliyotaja William ni matokeo ya 1995.

As a nation, we have paid dearly for this power-hungery lot and still we are paying god for how long and at what cost?
 
- Well, kama unaona kuna niliyobakisha na uchungu na taifa lako basi na wewe kuongezea niliposimama au kukwama, CCM ni kubwa kuliko wote hao, isipokuwa kama kweli tunataka kujivua magamba basi tuwe wakweli, nina wasi wasi sana na safari ya Dr. Slaa Tabora maana ilikuja wakati ambao unaweza kuwa very suspect, na hasa pale aliposema hata Mangula ni fisadi nina wasi wasi sana kamba hakukuwa na mkono wa mafisadi kwenye ile message!

- HOWEVER: I am not ignorant na mbinu za mafisadi katika ku-undermine the system ni wao ndio wamemtuma Porokwa, na hao hao ndio wamemtuma Mpendazoe, ninaamini kwamba wana mkono huko Tarime, now CCM inahitaji kuamua sasa what is what, one thing hawawezi kuja kulia ni kwamba hawakuambiwa, tunaaawambia sasa kama kweli wako serious na kujivua, basi waanza na hao niliowataja tayari!

William @ NYC, USA.

Kaka fafanua kidogo hapa!
 
- Sawa sawa mkuu, muhimu ni kuambiana bila kuogopana, sasa ni uamuzi wa CCM either kusikiliza na kufanyia kazi ushauri au kusubiri aibu ya 2015, I hope somebody ndani ya hiki chama is reading very carefully kinachoendelea na hili taifa sasa hivi, as far as mwamko wa wananchi kuhusu taifa lao, I mean Chadema is the best alternative sasa kwa sababu ya makosa yetu wenyewe tena mengine ya kupuuuzi sana ndio tunaishia kuwapa Chadema umaarufu wa bure, sasa hivi hawa wanaotakiwa kufukuzwa wanajaribu kila mbinu kujokoa na infact wapo kila mahali na kila ishu, hata ukienda huko Tarime utagundua walikuwepo, ku-confuse tu kila kitu!

- Well, CCM ni uamuzi wetu kufanya kweli au kujiletea aibu, I mean tunashindwa hata ku-set the National agenda, tumebakia kulia lia tu nyuma ya agenda za Chadema, I mean ishus ndogo ndogo tunatumia nguvu nyingi mno mpaka inatia aibu wakati solution ilitakiwa kuwa a very slow and smart political moves, mpaka leo bado hatujajua what are the smart politics, sasa wakati umefika we need to do it au kukubali kuburuzwa na Chadema, CCM tulitakiwa kuongea record, I mean tizama ujenzi na ufunguzi wa Chuo Kikuu Dodoma, I mean price less, lakini tumefunikwa na mengi mabovu yasiyo na msingi tunashindwa hata kujivunia makubwa yetu!

- Chuo kikuuu Dodoma, kilitakiwa kuwa the main symbol ya mafanikio ya Awamu ya nne, lakini so many mistakes na uzembe mpaka huwezi kusimama na kuhesabiwa, CCM must act now! or else!

William @ NYC, USA.

Pole sana Willie ila nyie mnatabia ya kuambiana ni zamu ya sisi wa pwani kula sasa kwani ni vibaya ka mtawapa hiyo zamu wananchi na CHADEMA? Maana ninyi sasa pumzi yenu ya kuvimbiwa dhidi ya kula kwa kukosa kipimo inachafua hali ya hewa ya nchi yetu. Its the time for us wananchi to rule our country!
 
Huna habari kwamba hiyo CCM ilishaondoka zamani....sasa hivi ni CCW AKA Chama Cha Wezi!!! ila kaka nakupongeza kwa hii post yako ila kama Nape akiisoma basi kadi na tawi ulilofungua hapo NY litafungwa within 24hrs. Kaka r u serious?
 
- Tawi nitalifungua kama nilivyopanga, very soon tutaanza na Shina, na baadaye ndio tutaingia kwenye Tawi na nimefanya mazungumzo sana na Tawi letu kule Houston, kwa lengo la kuunganisha nguvu, so tupo sawa sawa na ufunguzi wa Tawi, Mh. Nape anahitaji sasa kuisoma political reality kwa makini sana ama sivyo hawa mafisadi watammaliza sasa hivi!

- So far he is doing a hell of a job, ninamuamini kwa 100%, kwamba yuko on the right track, lakini nina wasi wasi sana na the speed ya kujivua, ninataka kuona inaongezeaka na ukweli unasemwa, unajua Wa-Tanzania tuna tatizo moja kubwa sana huwa hatupendi kujiuliza maswali magumu, CCM tunatakiwa kujiuliza hivi tulifikaje huku kwenye kuwa na magamba mazito hivi?

William @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom