CCM: Kujivua gamba haitoshi we are on a life support!

Tumesoma katiba ya CCM kama vile wachina wanavyosoma fikra za mwenyekiti Mao!,apa Tanzania kuna watu walijito kwa kila kitu ata mali zao,laiti leo mzee Mwinjuma(Mwananyamala)Mzee Tambaza (ambae aligawa most of his land to TANU-muhimbili,Tambaza school etc)VITUKUU VYAO ATA CCM AIWAJUI na wengineo Wangefufuka leo wangekuwa wakwanza kushika mpini wa AK 47 kupambana na mafisadi
 
- CCM ilianza kuvaa magamba ya ajabu kuanzia uchaguzi wa mwaka 2005, na hao niliowataja ndio hasa tumewasikia kwa nyakati mbali mbali wakishiriki kwenye kutoa maamuzi au kutoa kauli mbali mbali zisizo na tija kwa taifa wala chama, na matokeo yake yamekua kujivalisha magamba ambayo sasa yanatupa taabu sana, CCM hatuwezi kujivua magamba ambayo hatuwezi kutafaklari mbele ya wananchi jinsi tulivyoyavaa!

- Sasa mwananchi you have a right ya kujadili hoja, au kunijadili mimi the messenger ambayo ni kawaida yetu wa-Tanzania, lakini bado ninansimamia hoja yangu ya msingi kwamba we have to sart somewhere na nimetoa changamoto ya where to start maana naona tunaogopana sana hili taifa, I am revolutionary sio kupiga maneno maneno bila vitendo, wananchi wamechoshwa na upuuuzi usioisha na viini macho huku wanauona ukweli, waliotupoteza sana CCM ni wale wote ambao wamekuwa wakiwapinga wapiganaji wetu ndani ya CCM, kwa sababu sasa hivi Chadema wanaimba wimbo ule ule hawa magamba waliokuwa wakiukataa kutoka kwa wapiganaji,

- Sasa either we get rid of them all au tuendelee kudanganyana na wimbo wa mapachaa watatu, are we supposed to be blind? hivi hatukuwaona hawa wakijaribu kutumia kila njia kuizuia ripoti ya Mwakyembe? Hatukuwaona hawa wakitumia kila mbinu chafu kuwaondoa wabunge wenye nia njema na taifa letu? Hatukuwaona hawa wakitumia ma-billioni ya pesa kuwashindisha wagombea wao kwenye chaguzi ndogo za CCM? Hivi hatukuwaona hawa wakitumia mapesa yao kuwatumia wagombea wa upinzani kuwashinda wagombea wetu wa CCM? Sio hawa waliotaka kumfukuza Sitta bunge? Hatukuwaona hawa wakiiharibu UV-CCM kwa kulazimisha wagombea wao tu na sasa kuigeuza UV-CCM kuwa chama ndani ya chama? Remember mabillioni waliyoyatumia kwenye uchaguzi wa kina mama? hivi kwa nini wananchi wa taifa hili ni wepesi sana kusahau?

- I mean what revolution are we talking about tunaposema Chama Cha Mapinduzi, Mapinduzi gani tunaongelea? Unataka kujifunza elimu ya Mapinduzi nenda Ghana, uliza what Rawlings had to do kufanya mapinduzi ya kweli na mpaka leo Ghana inaheshimika dunia nzima na kuongozeka kwa misingi ya sheria ambayo sisi hapa Tanzania inatushinda, tumekalia maneno maneno tu, Rawlings had to get rid of all his friends by the firing squad! Ebooo! ndio maana ya Mapinduzi eti!

- Mapinduzi sio lelemama! Uliza China Mao aliua wananchi wangapi? Tizama sasa China!, wanaweza kuikopesha hata USA sasa! I mean either tufanye mapinduzi ya kweli au tuendelee kudanganyana!

William @ NYC, USA.

One of the bulshitiest song kuimbwa na CCM kwa sasa ni ule kwamba kuna watu, vyombo vya habari na wanasiasa maarufu eti wanawatetea the so called mapacha watatu. Yaani hiki ni kichekesho cha miaka sio mwaka. Ina maana CCM inashindwa kuwaadhibu hao eti kwa sababu wanatetewa? Sikuwahi kufikiri mkulu anaweza kucheza this low!!!!!!!!!
 
hahaha!

ondoa majina ya waislamu kwanza kwenye iyo orodha.

halafu na wewe uje huku bongo uongee hayo unayoongea 'watu' wakusikie.

- Mkuu hao unaowaogopa na wao wana mitandao kama wewe, wanajua nilieandika hapa ni nani, mwezi ujao nitakuwepo bungeni kwenye bajeti kama ninavyofanya kila mwaka, sasa wewe na hao unaowaogppa njooni tukutane uso kwa uso, wananchi wamechoshwa na mauza uza!

- Either Mapinduzi au blah! blah! blah!, halafu guess what most of this people na watoto wao ni marafiki zangu wa karibu sana, lakini hapa tupo kwenye taifa kwanza!

William @ NYC, USA.
 
Reading within and between the lines you have written I have come to an understanding that CCM need a COMPLETE CHANGE IN ITS LEADERSHIP RANKS. The reason IS simple they have put the party in the position of rejection by those who embraced it...I mean Wakulima na Wafanyakazi.
 
Mkuu tupe vigezo ulivyotumia kuwaita hao uliowataja kwa majina kuwa ni magamba na wanastahili kuondolewa kwenye chama chenu.Vipi baba yako Malecela yeye siyo gamba?Manake hujamtaja hapo kwenye list yako

Huhitaji vigezo vyovyote kama kweli unafuatilia siasa za Tanzania. Wote waliotajwa na William na wengine wanafuata ni miongoni mwa wale ambao wapo kuchumia tumbo zaidi kwa kujipendekeza au kutumia mgongo chama chao.

Willy huo ujasiri wanao wachache kwenye chama chenu cha CCM.
 
- Mkuu hao unaowaogopa na wao wana mitandao kama wewe, wanajua nilieandika hapa ni nani, mwezi ujao nitakuwepo bungeni kwenye bajeti kama ninavyofanya kila mwaka, sasa wewe na hao unaowaogppa njooni tukutane uso kwa uso, wananchi wamechoshwa na mauza uza!

- Either Mapinduzi au blah! blah! blah!, halafu guess what most of this people na watoto wao ni marafiki zangu wa karibu sana, lakini hapa tupo kwenye taifa kwanza!

William @ NYC, USA.

Pole sana Mkuu Wiliam

Tuwape Muda Maana waliahidi baada ya SIKU TISINI tusinaze kuwalaumu tuvute SIBRA
 
- CCM
lakini bado ninansimamia hoja yangu ya msingi kwamba we have to sart somewhere na nimetoa changamoto ya where to start maana naona tunaogopana sana hili taifa, I am revolutionary sio kupiga maneno maneno bila vitendo, wananchi wamechoshwa na upuuuzi usioisha na viini macho huku wanauona ukweli, waliotupoteza sana CCM ni wale wote ambao wamekuwa wakiwapinga wapiganaji wetu ndani ya CCM, kwa sababu sasa hivi Chadema wanaimba wimbo ule ule hawa magamba waliokuwa wakiukataa kutoka kwa wapiganaji,

- Sasa either we get rid of them all au tuendelee kudanganyana na wimbo wa mapachaa watatu, are we supposed to be blind? hivi hatukuwaona hawa wakijaribu kutumia kila njia kuizuia ripoti ya Mwakyembe? Hatukuwaona hawa wakitumia kila mbinu chafu kuwaondoa wabunge wenye nia njema na taifa letu? Hatukuwaona hawa wakitumia ma-billioni ya pesa kuwashindisha wagombea wao kwenye chaguzi ndogo za CCM? Hivi hatukuwaona hawa wakitumia mapesa yao kuwatumia wagombea wa upinzani kuwashinda wagombea wetu wa CCM? Sio hawa waliotaka kumfukuza Sitta bunge? Hatukuwaona hawa wakiiharibu UV-CCM kwa kulazimisha wagombea wao tu na sasa kuigeuza UV-CCM kuwa chama ndani ya chama? Remember mabillioni waliyoyatumia kwenye uchaguzi wa kina mama? hivi kwa nini wananchi wa taifa hili ni wepesi sana kusahau?

- I mean what revolution are we talking about tunaposema Chama Cha Mapinduzi, Mapinduzi gani tunaongelea? Unataka kujifunza elimu ya Mapinduzi nenda Ghana, uliza what Rawlings had to do kufanya mapinduzi ya kweli na mpaka leo Ghana inaheshimika dunia nzima na kuongozeka kwa misingi ya sheria ambayo sisi hapa Tanzania inatushinda, tumekalia maneno maneno tu, Rawlings had to get rid of all his friends by the firing squad! Ebooo! ndio maana ya Mapinduzi eti!

- Mapinduzi sio lelemama! Uliza China Mao aliua wananchi wangapi? Tizama sasa China!, wanaweza kuikopesha hata USA sasa! I mean either tufanye mapinduzi ya kweli au tuendelee kudanganyana!

William @ NYC, USA.

sasa kaka tuanzie hapo uliposema tuanzie ''somewhere'' hapo somewhere ndo kutatuletea matatizo tumeanzia wrong place. Huwezi kuwa na shoti ya umeme kwenye socket ukataka kubadilisha socket bila kuangalia system nzima ya umeme kama ni nzima hapa kuna altenative mbili tu. Ya kwanza wanachama wenyewe tuchukue hatua ya kutaka mabadiliko kwa sababu viongozi wanatuchezea shere, sisi wenyewe ndo tuchukue hatua ya kuwakataa hao viongozi kumbuka ''hawajukatana barabaran'' wanajuana na kamwe hawawezi kuwajibishana tukubali kutumia nguvu ikibidi hata nguvu ya maandamano tuwakatae wote tnaufanye uchaguzi wa ndani ya chama upya ikibidi hata jinsi ya upatikanaji wa viongozi ndani ya chama ubadilishwe. Halafu tuwaache kuwatetea viongozi wetu ka si waadilifu tuwachane live hii tabia tulioanza kuwa nayo wanachama wa CCM ya unafiki wa kutetea watu simply tu ni wanachama wenzetu ingawa na mabaradhuli si nzuri hata kidogo kwa mustakabali wa chama chetu.
Njia ya pili ni kwa wajumbe wa NEC kumlazimisha mwenyekiti kuyafanyia kazi mambo wanayokubaliana sio mijadala ya NEC inakuwa moto ya kizalendo afu mwenyekiti ananeutralize, ikibidi hata m/kiti tumtolee kofia moja ya kuongoza chama achaguliwe m/kiti mmoja stiff kutoka wenyeviti wa mikoa afanye hiyo kazi ya kusafisha chama hata Makongoro hiyo kazi anaiweza otherwise ni porojo tu na watz washazisoma siku hizi mijini ukisema habari ya kujivua gamba hata mtoto wa primary anakutania anasema na sumu jee? sasa ka na watoto wamejua huu ni usanii hii ni hatari. Mi naona kuwaondoa baadhi ya watu haitasaidia sana kwani wataona wameonewa na watalipiza kisasi wakijua wanawakomoa waliowaondoa kumbe wanauwa chama cha msingi ni sisi wanachama wenyewe tuwaadhibu ili wasiseme kuna maslahi ya kisiasa.
Kuhusu la UV-CCM kaka hilo ni tatizo lingine ila linsababishwa na njaa! mtu huna kazi huyu anakuja anakupa buku ten ya bure kazomee sema humtaki fulani utaacha kwenda? Kama kwa swala la Arusha hata hawa kina Ali Babu na wenzao wanaosema mafisadi waondolewe nao pia wamepewa pesa kuattack, sababu toka mwanzo walijua m/kiti UV CCM ni zao la ufisadi, Catherine Maggige naye hivo lakn walikubali sasa katokea mwingine kawapa kitu kidogo wamegeuka tena wengine fun enough siku ya kumkataa mary chatanda walikuwepo na siku ya kumkataa Millya na kudenounce mafisadi walikuwepo unafiki gani mwingine. Sasa kuna swali ambalo najiuliza na sijapata jibu kwa nini watu walipwe au wapangwe ktk kutetea kujivua gamba? Je tumefikia sehemu hata mtu kusema ukweli analipwa? ni kweli tuna viongozi mafisadi ila kwa nini vijana wawe motivated kwa pesa na ahadi kusema ukweli? hilo pia ni tatizo TAFAKARINI
 
Mkuu unapoteza muda wako bure, kuendelea kuisupport ccm ni kujitafutia vidonda vya tumbo tu bure. ccm ina kansa haiwezi kupona kwa sasa ni lazima ife kwa maslahi ya Watanzania.

Kuna kansa zenye tiba, CCM ina Virusi Vya Ukimwi, inaishi kwa dawa za kutuliza makali ya virusi, siku si nyingi zitashindwa kufanya kazi na itakuwa ndio kifo chake.
 
Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

- Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

- Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hila jina mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.

William,
Mbona list fupi sana? Sijamwona kikwete, Malecela, Pinda, Mwinyi, January, Nape, Ngereja, Mkullo wala msuka deal za ccm Ndulu? Inaonekana unachagua watu usiowapenda na usioelewana nao kifamilia. Hii ndio inasababisha kuona ccm nyie kweli ni kama wehu tu.

Unafikiri hao uliowataja hapo juu wataondoka kirahisi hivyo? Good luck William na wishful thinking yako. Wananchi tuliowengi si wanachama wa magamba lakini tuonyesheni ushahidi wa hao uliowataja na wao wapewe nafasi ya kujitetea au kutoa ushahidi wao. Kwani justice system si inakwenda sambamba na evidences? (kweli mnahitaji muanzishe utaratibu wa mahakama za "sheria" ndani ya ccm).

ccm wote wanaonekana ni kama chama cha Mubarak (National Democratic Party), kama huna taarifa za hiki chama kimefungiwa Egypt baada ya Mubarak kuondolewa madarakani. Jiulize kwanini, wananchi wa Egypt waliona hiki ni chanzo cha matatizo ya Egypt na sisi Tanzania ccm kifungiwe kabisa (pamoja na mali za chama) na all watakao kutwa na mali za serikali wafikishwe Mahakamani kuface justice system, lipo hili kundi William hataukikataa leo tutawakamata tu.
Egypt Court Breaks Up Mubarak's Political Party | Middle East | English

ap_egypt_mubarak_party_building_480_15Feb11.jpg

Army soldiers march in front of the burned down building of former President Hosni Mubarak's National Democratic Party in Cairo, Egypt, February 15, 2011

Kuna tofauti gani kati ya ccm na NDP cha Mubarak?
 
..............
Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hila jina mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.

Nakubaliana na wewe ila kwenye kundi hilo ulitakiwa kuongezza Kundi la watu amabao waombwe wakae pembeni kwa lugha ya kidplomasia wakubali kujistaafisha . Kwenye Chama mmojawao ni J Malechela. Huyu hata mimi ningekuwa wewe conlict of interest nisingemtaja . So namuweka kwenye kundi hili kwa lengo zuri tu teh teh teh

Kuhusu Mkapa nadhani unamuonea. Japo nakubali anatakiwa kukaa pembeni ni kwamba aliamua kujiweka pembeni toka alivyoachia madaraka ya Urais. Ndio maana kwa hiari yake akajivua hata Uenyekiti wa Chama. Nadhani hata hivi sasa wanamsumbua tu . Sitashanga kusikia wanambembeleza ahudhurie hivyo vikao vya kisanii.......

Kwa kweli Kwa sanaa anazofanya Kikwete Mkapa sasa anaonekana ni kama malaika . I hated mkapa lakini siku zinavyokewa ndivyo naona may be CCM wamrudishe tena 2015. teh teh teh .

Ila juzi nimeona comnet ya kizaizi kipya cha CCM( Specificaaly ni Nnnauye) anasema moja ya faida ya Nationa ID itasaidia Ukusanyaji wa Kodi.Hapa nilichoka kabisa nikaona inawezekana wanaovua magambga na wenzao na wanaovuliwa hawana tofauti.
 
sasa kaka tuanzie hapo uliposema tuanzie ''somewhere'' hapo somewhere ndo kutatuletea matatizo tumeanzia wrong place. Huwezi kuwa na shoti ya umeme kwenye socket ukataka kubadilisha socket bila kuangalia system nzima ya umeme kama ni nzima hapa kuna altenative mbili tu. Ya kwanza wanachama wenyewe tuchukue hatua ya kutaka mabadiliko kwa sababu viongozi wanatuchezea shere, sisi wenyewe ndo tuchukue hatua ya kuwakataa hao viongozi kumbuka ''hawajukatana barabaran'' wanajuana na kamwe hawawezi kuwajibishana tukubali kutumia nguvu ikibidi hata nguvu ya maandamano tuwakatae wote tnaufanye uchaguzi wa ndani ya chama upya ikibidi hata jinsi ya upatikanaji wa viongozi ndani ya chama ubadilishwe. Halafu tuwaache kuwatetea viongozi wetu ka si waadilifu tuwachane live hii tabia tulioanza kuwa nayo wanachama wa CCM ya unafiki wa kutetea watu simply tu ni wanachama wenzetu ingawa na mabaradhuli si nzuri hata kidogo kwa mustakabali wa chama chetu.
Njia ya pili ni kwa wajumbe wa NEC kumlazimisha mwenyekiti kuyafanyia kazi mambo wanayokubaliana sio mijadala ya NEC inakuwa moto ya kizalendo afu mwenyekiti ananeutralize, ikibidi hata m/kiti tumtolee kofia moja ya kuongoza chama achaguliwe m/kiti mmoja stiff kutoka wenyeviti wa mikoa afanye hiyo kazi ya kusafisha chama hata Makongoro hiyo kazi anaiweza otherwise ni porojo tu na watz washazisoma siku hizi mijini ukisema habari ya kujivua gamba hata mtoto wa primary anakutania anasema na sumu jee? sasa ka na watoto wamejua huu ni usanii hii ni hatari. Mi naona kuwaondoa baadhi ya watu haitasaidia sana kwani wataona wameonewa na watalipiza kisasi wakijua wanawakomoa waliowaondoa kumbe wanauwa chama cha msingi ni sisi wanachama wenyewe tuwaadhibu ili wasiseme kuna maslahi ya kisiasa.
Kuhusu la UV-CCM kaka hilo ni tatizo lingine ila linsababishwa na njaa! mtu huna kazi huyu anakuja anakupa buku ten ya bure kazomee sema humtaki fulani utaacha kwenda? Kama kwa swala la Arusha hata hawa kina Ali Babu na wenzao wanaosema mafisadi waondolewe nao pia wamepewa pesa kuattack, sababu toka mwanzo walijua m/kiti UV CCM ni zao la ufisadi, Catherine Maggige naye hivo lakn walikubali sasa katokea mwingine kawapa kitu kidogo wamegeuka tena wengine fun enough siku ya kumkataa mary chatanda walikuwepo na siku ya kumkataa Millya na kudenounce mafisadi walikuwepo unafiki gani mwingine. Sasa kuna swali ambalo najiuliza na sijapata jibu kwa nini watu walipwe au wapangwe ktk kutetea kujivua gamba? Je tumefikia sehemu hata mtu kusema ukweli analipwa? ni kweli tuna viongozi mafisadi ila kwa nini vijana wawe motivated kwa pesa na ahadi kusema ukweli? hilo pia ni tatizo TAFAKARINI

- Sawa sawa mkuu, muhimu ni kuambiana bila kuogopana, sasa ni uamuzi wa CCM either kusikiliza na kufanyia kazi ushauri au kusubiri aibu ya 2015, I hope somebody ndani ya hiki chama is reading very carefully kinachoendelea na hili taifa sasa hivi, as far as mwamko wa wananchi kuhusu taifa lao, I mean Chadema is the best alternative sasa kwa sababu ya makosa yetu wenyewe tena mengine ya kupuuuzi sana ndio tunaishia kuwapa Chadema umaarufu wa bure, sasa hivi hawa wanaotakiwa kufukuzwa wanajaribu kila mbinu kujokoa na infact wapo kila mahali na kila ishu, hata ukienda huko Tarime utagundua walikuwepo, ku-confuse tu kila kitu!

- Well, CCM ni uamuzi wetu kufanya kweli au kujiletea aibu, I mean tunashindwa hata ku-set the National agenda, tumebakia kulia lia tu nyuma ya agenda za Chadema, I mean ishus ndogo ndogo tunatumia nguvu nyingi mno mpaka inatia aibu wakati solution ilitakiwa kuwa a very slow and smart political moves, mpaka leo bado hatujajua what are the smart politics, sasa wakati umefika we need to do it au kukubali kuburuzwa na Chadema, CCM tulitakiwa kuongea record, I mean tizama ujenzi na ufunguzi wa Chuo Kikuu Dodoma, I mean price less, lakini tumefunikwa na mengi mabovu yasiyo na msingi tunashindwa hata kujivunia makubwa yetu!

- Chuo kikuuu Dodoma, kilitakiwa kuwa the main symbol ya mafanikio ya Awamu ya nne, lakini so many mistakes na uzembe mpaka huwezi kusimama na kuhesabiwa, CCM must act now! or else!

William @ NYC, USA.
 
mkuu nakupongeza sana kwamba umeweza wengine wasivyoweza, viongozi wa ccm kila siku wanasema wanaokiharibu chama waondoke, lakini hao wanaokiharibu ni kina nani, umewasaidia sana, tunasubiri maendelezo
Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

- Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

- Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hila jina mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.
 
"- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,"

Hapa umetumia kigezo gani kamanda.....uache wale wengine walionufaika na pesa za Jeetu Patel?
 
Hongera sana william kwa kuthubutu hata kuwataja hao. Nimeisoma thread na kuelewa muelekeo wako ni wa kweli ikibidi chukua hatua ya kuihama ccm, karibu chadema tunakuhitaji uje na hayo majina hongera... Fanya hima kufungua tawi la chadema huko usa thanx:a s 103:
 
Mkuu Magmba ya CCM si Watu bali ni Watendaji ndani ya Chama na Serikali

1. Wameua watu Arusha halamu wanataka wapenndwe na Wananchi wa Arusha
2. Kwa kumtumia Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi wanakwamisha Mpango wa CHADEMA wa Elimu bure halafu wanataka wapendwe na wananchi
3: Wameua ndugu zangu kule Tarime, wakapora maiti zao wakaenda kuzitupa Porini na Barabarani halafu wanatak wakurwa wawapende
4. Wameeenda Mahakamani kule Musoma Mjini eti wanadai madwawati waliyoyatengeza kipindi cha Uongozi wao Ili Watoto wa Maskini wakae Chini halafu wanataka Wananchi wawapende
 
- CCM ilianza kuvaa magamba ya ajabu kuanzia uchaguzi wa mwaka 2005, na hao niliowataja ndio hasa tumewasikia kwa nyakati mbali mbali wakishiriki kwenye kutoa maamuzi au kutoa kauli mbali mbali zisizo na tija kwa taifa wala chama, na matokeo yake yamekua kujivalisha magamba ambayo sasa yanatupa taabu sana, CCM hatuwezi kujivua magamba ambayo hatuwezi kutafaklari mbele ya wananchi jinsi tulivyoyavaa!

- Sasa mwananchi you have a right ya kujadili hoja, au kunijadili mimi the messenger ambayo ni kawaida yetu wa-Tanzania, lakini bado ninansimamia hoja yangu ya msingi kwamba we have to sart somewhere na nimetoa changamoto ya where to start maana naona tunaogopana sana hili taifa, I am revolutionary sio kupiga maneno maneno bila vitendo, wananchi wamechoshwa na upuuuzi usioisha na viini macho huku wanauona ukweli, waliotupoteza sana CCM ni wale wote ambao wamekuwa wakiwapinga wapiganaji wetu ndani ya CCM, kwa sababu sasa hivi Chadema wanaimba wimbo ule ule hawa magamba waliokuwa wakiukataa kutoka kwa wapiganaji,

- Sasa either we get rid of them all au tuendelee kudanganyana na wimbo wa mapachaa watatu, are we supposed to be blind? hivi hatukuwaona hawa wakijaribu kutumia kila njia kuizuia ripoti ya Mwakyembe? Hatukuwaona hawa wakitumia kila mbinu chafu kuwaondoa wabunge wenye nia njema na taifa letu? Hatukuwaona hawa wakitumia ma-billioni ya pesa kuwashindisha wagombea wao kwenye chaguzi ndogo za CCM? Hivi hatukuwaona hawa wakitumia mapesa yao kuwatumia wagombea wa upinzani kuwashinda wagombea wetu wa CCM? Sio hawa waliotaka kumfukuza Sitta bunge? Hatukuwaona hawa wakiiharibu UV-CCM kwa kulazimisha wagombea wao tu na sasa kuigeuza UV-CCM kuwa chama ndani ya chama? Remember mabillioni waliyoyatumia kwenye uchaguzi wa kina mama? hivi kwa nini wananchi wa taifa hili ni wepesi sana kusahau?

- I mean what revolution are we talking about tunaposema Chama Cha Mapinduzi, Mapinduzi gani tunaongelea? Unataka kujifunza elimu ya Mapinduzi nenda Ghana, uliza what Rawlings had to do kufanya mapinduzi ya kweli na mpaka leo Ghana inaheshimika dunia nzima na kuongozeka kwa misingi ya sheria ambayo sisi hapa Tanzania inatushinda, tumekalia maneno maneno tu, Rawlings had to get rid of all his friends by the firing squad! Ebooo! ndio maana ya Mapinduzi eti!

- Mapinduzi sio lelemama! Uliza China Mao aliua wananchi wangapi? Tizama sasa China!, wanaweza kuikopesha hata USA sasa! I mean either tufanye mapinduzi ya kweli au tuendelee kudanganyana!

William @ NYC, USA.

Nafikiri watanzania sasa turudi kwa kiongozi mkuu wa nchi ambaye ni Rais, tumtake afanye kazi tuliyompa kufanya ambayo ni kuiongoza nchi yetu na kulinda rasili mali zetu, hazina yetu, na katiba yetu. Mambo haya kama hawezi kutatekeleza ni wazi kuwa ameshindwa majukumu yake. Kwa hivi sasa hana jinsi anavyoweza kujitetea kuhusu urafiki unaoendelea ktk kuteua viongozi kwenye serikali na mashirika ya umma.

Chama cha mapinduzi hakiwezi kujivua gamba unless mkuu huyo athubutu jambo ambalo linatupa wasiwasi ni pale anaposhindwa kutekeleza hayo"kwa nini awe na kigugumizi" kama alijua hana uwezo wa kuongoza hakuwa na sababu ya kugombea.
Hivyo basi hebu tuache kutafuta hivi visamaki vidogovidogo(pelege) sasa tuanze kushambulia masangara yanayo wameza samaki wadogo.
 
sasa kaka tuanzie hapo uliposema tuanzie ''somewhere'' hapo somewhere ndo kutatuletea matatizo tumeanzia wrong place. Huwezi kuwa na shoti ya umeme kwenye socket ukataka kubadilisha socket bila kuangalia system nzima ya umeme kama ni nzima hapa kuna altenative mbili tu. Ya kwanza wanachama wenyewe tuchukue hatua ya kutaka mabadiliko kwa sababu viongozi wanatuchezea shere, sisi wenyewe ndo tuchukue hatua ya kuwakataa hao viongozi kumbuka ''hawajukatana barabaran'' wanajuana na kamwe hawawezi kuwajibishana tukubali kutumia nguvu ikibidi hata nguvu ya maandamano tuwakatae wote tnaufanye uchaguzi wa ndani ya chama upya ikibidi hata jinsi ya upatikanaji wa viongozi ndani ya chama ubadilishwe. Halafu tuwaache kuwatetea viongozi wetu ka si waadilifu tuwachane live hii tabia tulioanza kuwa nayo wanachama wa CCM ya unafiki wa kutetea watu simply tu ni wanachama wenzetu ingawa na mabaradhuli si nzuri hata kidogo kwa mustakabali wa chama chetu.
Njia ya pili ni kwa wajumbe wa NEC kumlazimisha mwenyekiti kuyafanyia kazi mambo wanayokubaliana sio mijadala ya NEC inakuwa moto ya kizalendo afu mwenyekiti ananeutralize, ikibidi hata m/kiti tumtolee kofia moja ya kuongoza chama achaguliwe m/kiti mmoja stiff kutoka wenyeviti wa mikoa afanye hiyo kazi ya kusafisha chama hata Makongoro hiyo kazi anaiweza otherwise ni porojo tu na watz washazisoma siku hizi mijini ukisema habari ya kujivua gamba hata mtoto wa primary anakutania anasema na sumu jee? sasa ka na watoto wamejua huu ni usanii hii ni hatari. Mi naona kuwaondoa baadhi ya watu haitasaidia sana kwani wataona wameonewa na watalipiza kisasi wakijua wanawakomoa waliowaondoa kumbe wanauwa chama cha msingi ni sisi wanachama wenyewe tuwaadhibu ili wasiseme kuna maslahi ya kisiasa.
Kuhusu la UV-CCM kaka hilo ni tatizo lingine ila linsababishwa na njaa! mtu huna kazi huyu anakuja anakupa buku ten ya bure kazomee sema humtaki fulani utaacha kwenda? Kama kwa swala la Arusha hata hawa kina Ali Babu na wenzao wanaosema mafisadi waondolewe nao pia wamepewa pesa kuattack, sababu toka mwanzo walijua m/kiti UV CCM ni zao la ufisadi, Catherine Maggige naye hivo lakn walikubali sasa katokea mwingine kawapa kitu kidogo wamegeuka tena wengine fun enough siku ya kumkataa mary chatanda walikuwepo na siku ya kumkataa Millya na kudenounce mafisadi walikuwepo unafiki gani mwingine. Sasa kuna swali ambalo najiuliza na sijapata jibu kwa nini watu walipwe au wapangwe ktk kutetea kujivua gamba? Je tumefikia sehemu hata mtu kusema ukweli analipwa? ni kweli tuna viongozi mafisadi ila kwa nini vijana wawe motivated kwa pesa na ahadi kusema ukweli? hilo pia ni tatizo TAFAKARINI

Na bado unaona kuna umuhimu wa hiki chama kuendelea kuwepo kwenye politics za Tanzania?
I know is just a wish, but I would like to see CCM dies a sudden death very soon.
 
- Mkuu hao unaowaogopa na wao wana mitandao kama wewe, wanajua nilieandika hapa ni nani, mwezi ujao nitakuwepo bungeni kwenye bajeti kama ninavyofanya kila mwaka, sasa wewe na hao unaowaogppa njooni tukutane uso kwa uso, wananchi wamechoshwa na mauza uza!

- Either Mapinduzi au blah! blah! blah!, halafu guess what most of this people na watoto wao ni marafiki zangu wa karibu sana, lakini hapa tupo kwenye taifa kwanza!
William @ NYC, USA.

If you look like a duck, walk like a duck and talk like a duck - guess what!
 
Ujumbe wangu kwa chama changu CCM:-

- Kijivua gamba is supposed to a black and white thing, so lets do it now badala ya kusubiri siku 90, I mean what are waiting for? Ninasema hivi hawa mapacha watatu wafukuzwe chama now na vibaraka wao wote, tukianza na hawa hapa;-

- Mkapa, Sophia Simba, Msekwa, Anna Abadallah, Kingunge, Shemuhuna, Khatibu, Serukamba, Mzindakaya, Rita Mlaki, David Msuya, Mahanga, Chiligati, Makamba, Guninita, Nchimbi, Kigoda, Ndejembi, Kusila, na wengine tutaendelea kuwataja hapa pole pole,

- Well, TAIFA KWANZA kama kweli CCM tunataka kujivua gamba then tuanze na hawa sasa hivi, ukItaka kumpiga nyani usimuangalie usoni, just do it and now, kama CCM we are serious ni lazima tuanze na hawa, wafukuzwe chama, tuanze upya, hawa ndio wametuvalisha magamba hiki chama.

Tufike mahali tusioneane haya, tuambiane ukweli now lets do it! And yes I said it! CCM ni chama cha Mapinduzi sio kuoneana huruma na aibu! au kubebana! Kama hatuwezi mapinduzi tuondoe hila jina mwishoni!, iwe CC tu!

William Malecela @ NYC, USA.

Duh!! I dont believe that this is coming from William!! Vipi wamekuibia password au ni dhati toka moyoni mwako? kama ni kweli basi ni KUDOS kwako. Hongera sana mkuu kwa kuita jembe ni jembe na sio kijiko kikubwa!!
 
Back
Top Bottom