CCM Kuishitaki CHADEMA

ZEE BABA

Senior Member
Jan 19, 2011
169
59
magamba yamepanga kuishitaki cdm kwa kitendo cha kupaka wanja na kuchora alama ya helen kwenye picha ya mgombea wao ,
 
hizo ni propaganda za siasa tu,mbona yanayofanyika nizaidi ya hayo na wa2 hawaendi mahakamani!!!dalili za kuchemka hizo
 
Leo Magamba yanafikia kutaka kuishitaki Chadema kweli wamebanwa sana sio kidogo,ni hatari hii naona 2015 kutakuwa na vitu vingine na wengine lazima waame nchi hii....
 
kwani lipi linauma zaidi kulisha mbwa wa wazungu au kupakwa vipodozi feki na kuning'inizwa heleni, lakini si ametoga satelite dish zake
 
hizo ni propaganda za siasa tu,mbona yanayofanyika nizaidi ya hayo na wa2 hawaendi mahakamani!!!dalili za kuchemka hizo
Lakini ni kinyume na sheria za uchaguzi. Tatizo Chadema bwana wanawasikiliza sana wapambe badala ya kufuata sheria zinazoongoza vyama vya siasa na hususani sheria za uchaguzi.Ngoja sasa wapambane na mkono wa sheria kama wapambe watakuwepo.
 
Enyi MAFISADI wote pamoja na chama CCM eleweni hili vema na kwa uwazi wake wote, ukweli wote ni kwamba;

... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.

Je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

hizo ni propaganda za siasa tu,mbona yanayofanyika nizaidi ya hayo na wa2 hawaendi mahakamani!!!dalili za kuchemka hizo
 
Lakini ni kinyume na sheria za uchaguzi. Tatizo Chadema bwana wanawasikiliza sana wapambe badala ya kufuata sheria zinazoongoza vyama vya siasa na hususani sheria za uchaguzi.Ngoja sasa wapambane na mkono wa sheria kama wapambe watakuwepo.

If you can't stand the heat, get out of the kitchen!
 
how can you conclude that the one who has done so is cdm's member au kuna clear evidence?
 
Waende mapena sana ikiwezekana kesho asubuhi. Wasingoje uchaguzi uishe halafu wakapinge mahakamani baada ya kushindwa.
 
Wana uhakika gani kuwa aliyepaka ni mwanachama wa cdm, na huyo aliyepaka amepaka kwa madhumuni ya siasa au binafsi, ni ngumu kuthibitisha hilo.
 
how can you conclude that the one who has done so is cdm's member au kuna clear evidence?
Labda kulikuwa na kakaratasi kaliko andikwa chadema kama kale kalikokutwa kwa yule mwana ccm aliyechomewa mabanda yake kule Igunga..CCM bana...!
 
Lakini ni kinyume na sheria za uchaguzi. Tatizo Chadema bwana wanawasikiliza sana wapambe badala ya kufuata sheria zinazoongoza vyama vya siasa na hususani sheria za uchaguzi.Ngoja sasa wapambane na mkono wa sheria kama wapambe watakuwepo.

wewe, jingalao mko sawa
 
Back
Top Bottom