CCM kuiba kura Igunga?

kwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia Rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri CCM wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
kweli kama watu waliweza kuzirai kwa kusikia tu MWANAGAMBA mwenzao amekiacha chama sidhani kwa fikra hizi kama cha GAMBA kitahitaji nguvu ya ziada katika hili.
 
Anayedhani kuna kura ziliibiwa ni mwendawazimu tu na hana kumbukumbu, tazama CCM ilikuwa na sababu gani ya kuiba wakati hata sehemu ilikopoteza waliopiga kura ni wana CCM. Acheni utetezi kabla hata mchezo kuanza. Tafuteni kingine IGUNGA ni ya CCM.

Anayedhani kuwa CCM siyo wezi wa kura ni taahira, CCM ilikuwa na kila sababu za kuiba na kuchakachua kura kwa vile iligundua kuwa watanzania wameichoka, kama nalo hilo unakataa basi wahi majalalani ukapate msosi.
 
Back
Top Bottom