CCM kufutwa

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa ameamua kukifuta chama cha mapinduzi kutokana na chama hicho kukumbwa na mgogoro wa ndani uliosababisha amani kutoweka ndani ya chama hicho.Haya wapenzi na wanachama wa CCM tafuteni chama cha kuamia baada ya chama chenu kufutwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom