CCM kufa Kibudu kabla ya 2015

hizo ni ndoto tu kufikiria kifo cha CCM
subiri matokeo ya leo uambiwe % za nchi nzima
ukishuhudia wanaruka kidedea
walianza NCCR ya Mrema, wakaja CUF ya jino kwa jino, sasa CDM ya saccos ya chagadema

Don'T ConfusE Me If You Can'T ConvicE
Me!! CCM ni kichaka cha WezI Tu
:msela:

Una roho ngumu Sana wewe ..yaani jahazi linazama wewe unaendeleaje kupiga zeze tu..
unanikumbusha movie ya titanic ilivyo kuwa inazama huku wapiga zeze wakiendelea kutumbuiza.
 
Una roho ngumu Sana wewe ..yaani jahazi linazama wewe unaendeleaje kupiga zeze tu..
unanikumbusha movie ya titanic ilivyo kuwa inazama huku wapiga zeze wakiendelea kutumbuiza.
mwanamume ni kupigana mpaka mwisho
kwani hapa kwa uzoefu hakuna Jike lolote (CHADENA, CUF, NCCR wala TLP) kuambulia 20% ya wenyeviti wote Tanzania
Mabadiliko ni bado sana
SUBIRINI MATOKEO LEO YA KURA HIZO
 
Back
Top Bottom