Ccm kimesahau kuwashugurikia mafisadi kinakuja kwa wananchi; ok!!!!. Ngoja tuandae vuvuzela!!!

Mlalila

Member
Nov 19, 2011
35
17

IMENISIKITISHA SANA JANA KUONA VIONGOZ NDANI YA CCM WANATANGAZA KUANDAMANA KUPINGA KAULI YA NASARI AMBAYO mBOWE ALIIFUTA RIGHT THERE!!!!!!!.

BAADA YA KUTAFAKARI SANA NIMEGUNDUA WANAMPANGO WA KUTUPOTOSHA BAADA YA AIBU YA SERIKALI YA CCM KUWA NA EXCELLENT KWA KUTAFUNA HELA ZETU NA WATANZANIA KOTE WANAJUA. KWA KUWA IMEKUWA AIBU MBAYA WANATAFUTA JAPO WAONEKAE NI WEMA KWA WANANCHI KUMBE WEZI WAKUBWA, FUKUZA KABISA, TUPA CHINI, FUKIA 2015 KWISHNEY!!!!!.

TUNGEONA WANA AKILI KAMA WANGEUNGANA NA CDM KUTETEA MALI YA WATZ KWA MAANDAMANO NCHI NZIMA DHIDI YA MAFISADI. SASA NAONA WAMEKUMBATIA MAFISADI AMBAO LEO MIMI NINAKOSA UGALI JAPO NA DAGAA KISA CCM NA VIONGOZI WAKE.

POPOTE WAKIANDAA MIKUTANO WAULIZENI: EP?. RICHMOND JE?. DOWANS?.ETC. NA WALIOKWAPUWA KIFUNGO CHAO NI MIAKA MINGAPI??????. WAKITOA JIBU WAPE MAJI WANYWE KWNDA ZAO.
 
wataandamana kutoka wapi kwenda wapi mkuu? Magogoni hadi kivukoni au?


kutokana na tamko la shigela la jana, eti nchi nzima!!!, yaani tz!!!!!. Ambayo wameiibia tangu bukoba mpaka namtumbo, kigoma mpaka tanga, kila mahali wamewaibia watanzania. Sasa kazi yetu ni moja, kuandaa vuvuzela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom