CCM kata ya Tabata hoi kwa Chadema.

Aug 5, 2013
83
17
Hatimaye CCM kata ya Tabata wapigwa bao na Chadema baada ya Chadema sasa kuanza maandalizi ya kuchukua dola kuanzia ngazi za chini mpaka juu baada ya kuanza kujenga ngazi ya misingi na matawi kwa kasi ya ajabu na kuwafanya makada na wanachama wa CCM kuhaha usiku na mchana kuhakiki wanachama wao ambao waliowengi wamerudisha kadi za CCM na kuchukua za CHADEMA jambo ambalo linaleta taswira ya Chadema kushinda ktk chaguzi zote zitakazofanyika ktk Kata hiyo.
 
Back
Top Bottom