Elections 2010 CCM Karagwe Wins

rendezvous

Member
Nov 23, 2009
18
0
Nimepigiwa simu na mdogo wangu, amenitaarifu baada ya kuchakachua as ussual CCm wameshinda jimbo la karagwe.

UNFAIR.
 
imeandikwa, mtu akikupiga kofi la kushoto mgeuzie na la kulia pia.= mtu akianzisha vita na wewe beba siraha zako.
 
nimepigiwa simu na mdogo wangu, amenitaarifu baada ya kuchakachua as ussual ccm wameshinda jimbo la karagwe.

Unfair.
im now tired of kila mtu kuimba wimbo wa kucahkachuliwa bila kuleta figures kupingana na zile za wasimamizi wa uchaguzi na tume. Jimbo la ubungo tulikuwa na figures zetu alfajiri saa tisa usiku o1 nov 2010 kutokana na uchungu wa kuporwa ushindi wetu 2005.
 
Back
Top Bottom