CCM: Kamati Kuu Kulikoni Tena?

Nasi tuwe wajanja.Tujiunge kwa wingi kupitia matandao uliozinduliwa hivi majuzi. Tuma MSG 'CHADEMA' kwenda 15710.
 
Wakuu wote JF heshima mbele sana,

- According to the dataz nilizozipata sasa hivi ni kwamba Kamati Kuu ya CCM itakutana kwa kikao cha dharura kuanzia tarehe 11, September 2009. Ni hivi majuzi tu kamati hiyo na NEC yake walikutana na kuleta kizaa zaa ambacho mpaka leo bado wananchi hatujamaliza kutafakari yaliyojiri, baadaye yakaja ya Chadema na sasa CCM kukutana tena, kuna nini hasa? Na je kuna uhusiano wowote wa hivi vikao?

- Anyways, sasa naomba kuwaomba wakulu wangu kumradhi, maana niko safarini na mpiganaji mmoja kati ya wapiganaji 11, hata hizi dataz nimezinasa kwa bahati na haraka sana, nimekwua out of access yoyote toka majuzi ni leo tu kwa bahati hapa nimeomba mtandao wa msamaria mwema, hata hivyo baada ya kumaliza hii post sitakuwa na access tena ya mtandao wala dataz mpaka nitakaporudi mjini tena, na itachukua muda sana maana huku kuna shughuli nzito sana za masilahi ya taifa.

Salaam kwa wote!

Respect and Out!

Field Marshall Es! ni Wazee wa Sauti ya Umeme!
Shukrani Kamanda kwa taarifa hii muhimu!
 
Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!

wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM!

Mkuu
ni kweli ni wapiginaji,si wanapigana kurudi bungeni kutega mikono kwa hilo li posho kubwa kinoma ambalo ni mshahara wa polisi wa miezi miwili.Wewe huoni wanapigana??

Mkuu wangu mimi binafsi ningewaita wapiganaji kama wangeanza na vitu vidogovidogo kama vile posho la Mbunge lisizidi elfu 30 kwa siku.

Wameshindwa kuwa waaminifu kwa vitu vidogo wanataka tuwaamini kwa mambo makubwa wapi bwana.?
Mengi naye ndani ya nyumba Kimaro naye alikuwepo teh teh teh teh teh
 
Nilipata tetesi kuwa Mh Lowassa alisachiwa juzi,sikujua hasa nini lengo la kumsachi lkn inasemekana kabambwa na pesa nyingi sana.. mamilioni ya pesa. Sasa hofu yangu ni ktk agenda hizo za kina Lowassa ambao wanaonekena tishio kwa Jk 2010. Mungu ijaalie ccm ianguke kwa kishindo
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u you
 
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.

Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.

Hivi kazi au sifa ya mbunge mzuri ni misaada???

Nafikiri kama ndiyo hivyo then Mafisadi ndiyo wanaongoza!!!!
 
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u you

this is very pathetic,wretched,desolate and dumb!
 
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u you

umesimamia nini hadi uthubutu kuconclude kihivyo?
 
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.

Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.

- Tupo pamoja sana mkuu FP, na on masilahi ya taifa ni kwamba:-

1. Tupo kwenye matayarisho ya kumalizia na kuufungua rasmi mradi wa Special Clinic mpya ya kinamama wajawazito ambayo itafunguliwa rasmi na Rais Mwinyi in the next four weeks huko jimboni ambayo single handed imejengwa na huyu mpiganaji kwa misaada ya wafadhili.

- Itakuwa ni Clinic ya aina yake kwa mazingara ya majimbo, hasa ya vijijini yaani kuacha mijini, itasaidia kinamama wa mikoa yote ya jirani na jimbo.

2. Baaada tu ya kufunguliwa kwa Clinic hiyo, katika jimbo hilo hilo Rais Kikwete ataongoza Harambee kubwa sana ya kuwezesha kuwekwa kwa jiwe la msingi la Kiwanda kipya nchini cha Tangawizi, ambacho kinategemewa kuanza kazi rasmi mwisho wa mwakani na hizi pia ni juhudi nzito sana za mbunge huyu mpiganaji kwa jimbo lake, and I am glad and proud to be part of it yaani kwenye kuwa-line up wafadhili wa hii miradi.

3. Pia kutakuwa na uwekaji wa jiwe la msingi wa mradi wa pili wa maji kwa jimbo hilo, ambao pia yote yanayohusu yatawekwa sawa na safari yangu hii na huyu mpiganaji.

- Nilitaka tu kuweka sawa hii la masilahi ya taifa na hii safari ya mpiganaji. Nimeona maswali mengi sana kuhusu maana ya huu upiganaji, ninasema hivi kuna habari njema mpya, kwamba wapiganaji wote wameamua kuungana pamoja na kuwa one thing, kufuatia mashambulizi ya karibuni kule NEC kwangu hii ni habari njema sana kwa masilahi ya taifa na ninawaombea wapiganaji wote 11 Mungu awape nguvu na uzima na busara zaidi kuliko waliyonayo sasa, kuna wananchi kama mimi ambao bado tupo pamoja nao sana pamoja na mengi yanayojiri ya kukatisha tamaa, lakini ni A luta Continua!, mapambano bado kabisa ndio kwanza yameanza!

- Wapiganaji wa nini? Kwani JF tunapigania nini hasa? Si unajua viongozi wetu ni reflection yetu wananchi, au!

Wasalaam ndugu zangu, na Mungu Aibariki Tanzania.

Respect and Out!

Field Marshall Es!

Mkulu Halisi check pm, ujumbe ulifika.
 
Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!

wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM!

- Mkuu, vipi siku ile uliponialika kwako na kunikutanisha na master minder wa Meremeta, tena ukanitambulisha kwake kwa furaha sana kwamba ni baba yako mdogo vipi hiki kuchefu chefu kilikuondoka kwa muda au huwa kinaangalia sura na undungu kwanza? Bwa! ha! Ha! maana ningetegemea utapike kabisa kuwa karibu na yule fisadi namba one! kumbe kinakukuta kusikia niko na wapiganaji wanaolala macho kwa ajili ya wananchi? Halafu ukaniomba saa sita za usiku kuja kupiga picha na mpiganaji anayekutia kichefu chefu!! that is wasup!

- Mkuu ndio maana huwa ninasema hivi viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe, yaani sisi wananchi mimi na wewe na kichefu chefu cha makengeza Bwa! ha! ha! kichefu chefu na kiroho papo au?

Respect.

FMEs!
 
Ningependa hawa 'wapiganaji' wavuliwe uanachama kwenye kikao kijacho ili tujue true colors zao.
 
Tusubiri tu..... mwaka huu mchele kwake, pumba kwake. Ila kula mapishi ya mchele will take tym.
 
- Mkuu, vipi siku ile uliponialika kwako na kunikutanisha na master minder wa Meremeta, tena ukanitambulisha kwake kwa furaha sana kwamba ni baba yako mdogo vipi hiki kuchefu chefu kilikuondoka kwa muda au huwa kinaangalia sura na undungu kwanza? Bwa! ha! Ha! maana ningetegemea utapike kabisa kuwa karibu na yule fisadi namba one! kumbe kinakukuta kusikia niko na wapiganaji wanaolala macho kwa ajili ya wananchi? Halafu ukaniomba saa sita za usiku kuja kupiga picha na mpiganaji anayekutia kichefu chefu!! that is wasup!

- Mkuu ndio maana huwa ninasema hivi viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe, yaani sisi wananchi mimi na wewe na kichefu chefu cha makengeza Bwa! ha! ha! kichefu chefu na kiroho papo au?

Respect.

FMEs!
Baelezee mkuu sisi tuna note book
 
Baelezee mkuu sisi tuna note book
Shalom,

Mbona wawekezaji hawaji? Tumeambiwa huji tena kwasababu mama kakunyima nauli. Eti ukipewa pesa unaoa Kyela mpaka ziishe.

Mtoto wa watu uliyemwacha na mimba huku kajifungua, njoo utoe pesa za matunzo. Huyo msichana alikuwa na mchumba wake, ukamdanganya kwamba utampeleka USA, wewe mkulu kwa usanii umenishinda.

Niko na kakako Malafyale hapa. Ni mzee wa heshima, sio kama wewe msanii na kibaka wa wake za watu. Wewe inabidi uwe unashinda na Kinanasi tu maana mambo yenu yanafanana.
 
Majungu umbeya kila sehemu! wenzako huko wajadili mustakabali wa taifa....unaleta upupu wako! kweli huna akili wewe
 
asante kwa taarifa mkuu, leo niko huku mtera tunapanga mikakati ya kugombea Ubunge kwenye hili jimbo kupitia CCM... naamini hicho kikao kitakua kinafanyikia Kule Ikulu Dar es salaam maana huku kuko shwari hakuna heka heka
kupitia CCM? Hujui ina wenyewe?
 
Ni kikao cha dharula au kipo kwenye kalenda yao?

Nahisi kuna kitu kikubwa kinakuja katika siasa za nji hii. Tuombe tu mwisho uwe mwema, maana tumeshasikia wana CCM wameuana.

wamekutana baada ya kuona kuwa mtego wao waliokuwa wameutega ndani ya chadema wakati wa uchaguzi kukwaama hivyo wanataka kuunda mkakati mwingine.
ukizingatia na ile style ya electronic recruitment ya wanachama nayo imewashitua
 
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.

Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.

Excellently said, keep it up!!!
 
Back
Top Bottom