CCM: Kamati Kuu Kukaa Chini Dar

Mkulu FMES, bado hakuna nyeti iliyopenyeza toka kwenye kamati ya maadili? walikuwa wanamjadili nani kule? ndugu yangu Dkt.Harisson Mwakyembe au Rostam Aziz?? najua hawawezi kumgusa Rostam Aziz kama chama lakini wanaweza kumgusa Mwakyembe kwasababu si mfadhili(kwa mtindo wa kifisadi) wa chama wala si fisadi.

- Hawa hawajaguswa kwanza alikuwa anasubiriwa Muungwana, kwa hiyo za betweeen za leo usiku na kesho, kutakuwa na habari zao hawa maana jana Muungwana kwenye sherehe za Malecela, alimsifia sana Mama K na kuwatesa mafisadi, na akasema hajui uchaguzi ujao mafisadi watapita wapi.

- Alipomaliza aliacha nyuma ming'ono mingi sana, kama kweli yuko serious na aliyoyasema au ni zile zake za kawaida, maana alisema mengi sana mazito jana na kuwaacha viongozi wengi wamepigwa na mshangao!

Respect.

FMES!
 
Hiyo style ya Mkulu always huwa inanishangaza sana....yaani ukimsikiliza utafikiri sasa....mafisadi watakoma.......dah kumbe wapi bana.........

...........Unajua mpaka sasa mafisadi wameshaondoa ile sense of fearing the President........

Kwa ma-President waliopita angalau kulikuwa na fear......
 
... maneno yako yote the 60s, kama ...gullibe gullibe ambayo yanaku-describe mwenyewe tena in a very serious way kuliko unavyofikiri, uanajribu kujifanya unajua kumbe hujui kitu mkuu...

Si maneno ya the '60s. "Gullible" linatumika mpaka leo, nilimaanisha si wote ni gullible, yani wanaoamini na kubugia kila unachokisema kwa vile tu wanahofia pedigree.

Kikwete hakwenda moja kwa moja kujumuika shereheni alipotoka safari. Alienda Chalinze Jumamosi asubuhi. Kikao cha Jumapili angekiwahi. Check your facts, and, or, your lies.

Tarehe za maadhimisho kwamba ni Jumamosi ni wewe ndio umezileta hapa, naenda na maneno yako mwenyewe. Au hukutumiwa taarifa vizuri toka Tanzania?

Hayo ya Makamba kumsakama Mengi kwenye vikao yeye Makamba akiwa kama Kaimu Mwenyekiti wa vikao nyoosha kauli zako kwa sababu Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM na wakuu wengine wa nchi hawawezi kuacha kwenda kwenye vikao vya CCM Taifa eti kwa udhuru wa kuhudhuria birthday. Get a clue. Peace, out.

i363_CCMDiversion.JPG
 
- Dilunga haya ya dataz huyawezi mkuu, sasa achia njia nikipata dataz zaidi nizimwage hapa, umejaribu kurudia rudia maneno yangu na ya bwana William ukajaribu sana kuyachanganya ili nionekane mtu mmoja lakini unakosea tena mbali sana, sina muda wa kuendelea kubishana maana huna dataz, mara vikao, mara hakusema siasa, sasa alienda Chalinze kama iko Ikulu kweli, sasa nakuomba utafute hotuba aliyoitoa Rais kwenye sherehe uiweke hapa maana hiyo haikuwa dataz na wala sio nyeti, otherwise pole sana mkuu. Na nikukumbushe tena ni Halisi peke yake ndio anaweza kupangua dataz zangu, yeye akisema ni za uongo ujue kumekucha!

- Anyways, nikipata more dataz nitazimwaga hapa anytime, bado ninazifuatilia!

Respect na later!.

FMES
 
Nakumbuka enzi zile... ukisikia kamati kuu ya harmashauri kuu ya taifa imekaa kikao chake, kiwe cha kawaida au cha dharura, basi kila mtu anatega sikio kusikia kilichojiri. Sasa hivi mhmmm.
 
[quote
i363_CCMDiversion.JPG
[/quote]
Najaribu kujiuliza hizi hawa wazee wetu hapa wanawaza nini? Hata kwenye picha hawaangalii yaani kama wamelazimishwa kukaa pamoja na kupiga picha, Mhe Pinda ndio kabisaa!! Afadhali mama aliyekaa pembeni ya Warioba hata ana-smile na wengine waliosimama nyuma ila wa mbele! Mhmm!!
Anyways I wish ningekuwa na kitu cha kupima mawazo kwenye picha hii. LOL!!
 
- Dilunga haya ya dataz huyawezi mkuu, sasa achia njia nikipata dataz zaidi nizimwage hapa, umejaribu kurudia rudia maneno yangu na ya bwana William ukajaribu sana kuyachanganya ili nionekane mtu mmoja lakini unakosea tena mbali sana, sina muda wa kuendelea kubishana maana huna dataz, mara vikao, mara hakusema siasa, sasa alienda Chalinze kama iko Ikulu kweli, sasa nakuomba utafute hotuba aliyoitoa Rais kwenye sherehe uiweke hapa maana hiyo haikuwa dataz na wala sio nyeti, otherwise pole sana mkuu. Na nikukumbushe tena ni Halisi peke yake ndio anaweza kupangua dataz zangu, yeye akisema ni za uongo ujue kumekucha!

- Anyways, nikipata more dataz nitazimwaga hapa anytime, bado ninazifuatilia!

Respect na later!.

FMES

..Kumekucha mkuu
lete data kaka
 
Nampongeza Mzee JSM kwa kufikisha hiyo miaka 75 pamoja na makandokando yake mengi. Linalotia moyo zaidi ni jinsi alivyobadilika (nadhani kwa msaada wa malezi mapya ya Mama Kilango!) na sasa anapiga vita ufisadi!
Nakumbuka jinsi alivyomshambulia Jenerali Ulimwengu enzi zile za awamu ya pili, Jenerali alipoongelea rushwa Bungeni.
 
Siyaamini sana maneno ya JK. Nitaamini tu pale ambapo anatekeleza kero ambazo kwa sasa ni glaring mno. Namaanisha atakapozungumzia mapapa ya mafisadi na si vidagaa kama ambavyo ndiyo taswira tulio nayo. Anyway, Mkuu wangu Field Marshal ES naamini utatujuza yatakayojiri. I repsect your sources of information, well informed! Congrats.
 
Ninapata tatizo sana kila ninapoona wazi wazi CCM kama chama nachelea kusema CCM kama chama kwasababu viongozi wanawakilisha mawazo ya chama na si ya kwao binafsi,wanapoamua kumshambulia waziwazi mtu/kiongozi ambaye anaonekana kuweka mbele maslahi ya taifa letu.

Naamini kiongozi yoyote wa chama hawezi kukurupuka kuongea maneno yake binafsi bila kuwashirikisha viongozi wenzake na kama anatoa mawazo yake lazima aweke bayana kwamba anachokiongea muda huo ni mawazo yake binafsi wala hayawakilishi msimamo wa chama.

Mengi na wapiga vita ufisadi wengine wanaweka mbele maslahi ya taifa katika hoja zao wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi,na ni ukweli usiopingika kwamba Makamba njaa ndiyo inayomsumbua.

Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.

Nawasilisha
 
Nasikitika kusema kwamba yote haya bosi wake anayajua ila amemwachia kamanda mwenzake ajikusanyie pensheni yake kiulaiiin.
 
Tatu, "Mkulu" hakuleta, asingeweza kuleta, siasa za ufisadi kwenye birthday ya Malecela wakati Malecela mwenyewe ameshasema ya ufisadi na yatokanayo, yapelekwe kwenye ma sekretarieti huko. Hii ilikuwa ni fursa ya kuwakutanisha sworn enermies wa CCM kujumuika kucheka (japo kinafiki, na Capo Mkapa, jirani kaikwepa) kabla ya uchaguzi. Haikuwa food evening kuwateta mafisadi, ina kazi yake hii Birthday made in Sicily View.
i363_CCMDiversion.JPG

Dilunga, umekosea sana bwana , FMES is right you are wrong. Mkulu alitupa dongo kwa mbali kwa kusema "waswahili wanasema penye udhia penyeza rupia, lakini mimi nasema penye udhia penyeza Malecela", nafikiri mafisadi waliokuwepo walimwelewa vizuri.
Hii ni baada ya mzee Ruksa kusema Mzee Malecela ni kiboko , ni kama msumeno unao kata ukienda juu na chini!Watu walicheka sana.
Dilunga sikukuona lakini wana JF tulikuwepo pale!
 
- More datazz za CC, jana usiku na leo asubuhi:-

1. CC imempitisha Mama Bukwimba kuwa mgombea wa CCM jimbo laBusanda....

2. Kamati kuu imempa Mzee Malecela mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo, akishirikiana na Mkuchika.

3. CC imemkataa Makamba kwenda Busanda na kumtaka abaki HQ.

4. Sasa hivi CC inajadili agenda ya makundi ndani ya CCM, ambapo Rostam na Mwakyembe, wataguswa ikiwa ni pamoja na ishu ya Mengi.

Respect na later!

FMES
 
Kamati kuu imempa Mzee Malecela mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo,

Wamuache mzee apumzike jamani, ukizingatia hana jipya! of all the pipo CCM wamekosa wa kumsaidia mzee Tinga Tinga?
 
Hii ndiyo hali halisi ndani ya CCM inayoonyesha hawana jipya halafu hiyo picha hapo juu mpiganaji dhdi ya mafisadi Mama Kilango alikubali fisadi Lowassa naye awe mualikwa? au tinga lilitia kifua? Hakuna jipya kwenye hivi vikao ni USANII MTUPU!!!.
 
kama anna kilango yuko serious na ufisadi basi aanze na mumewe ambaye amekula pesa za konoike kuliko nalaila kiula. sherehe imejaa mafisadi watupu kuanzia mwinyi,na msuya.
 
halafu hiyo picha hapo juu mpiganaji dhdi ya mafisadi Mama Kilango alikubali fisadi Lowassa naye awe mualikwa? au tinga lilitia kifua?[/B]

Heshima yako mkuu,

- Msipandikize mbegu za chuki na uadui katika jamii, Lowassa bado ni mbunge na hata kujiuzulu kwake legally bado ni debatable kama ilikuwa ni sawa, au alionewa!, ingawa ?JF kwa sababu ya kuwa na dataz tulishamuhukumu guilty, longtime ago

- Hoja ingekuwa makini kama Upinzani wangegoma kuingia bungeni na wabunge wa CCM, kina Lowassa, Chenge, na Rostam, Tanzania tuna demokrasia ya kukubali kutokubaliana.

- Sherehe ilitayarishwa na vijana wa mzee, na ndio waliokuwa na the last say nani aaalikwe na nani asialikwe, mama na mzee hawakuhusika kabisaa na ualikaji!

Respect.

FMES!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom