CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa

Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha , tumeshawazoea Chadema kwa maneno ya uongo,uzushi,matusi na uchonganishi ! Ndugu watanzania kuna watu wanalipwa posho kwa kazi hiyo pale makao makuu ya chadema wana IDs tofauti totafauti kwa ajili ya kudanganya na kupotosha umma wa watanzania juu ya ukweli wowote wa CCM na serikali yake lengo kuu kuijenga chadema kisiasa hapa nchini ,Watu makini fanyeni tafiti ndogo tu humu humu jamvini mtagundua watoa maada wa chadema na wachangiaji wao posts zao hazina ukweli ni za kisiasa,wachangiaji wao wengi wao huchangia kwa lugha chafu za matusi na kejeli ,hawa ndiyo tuwape nchi haiwezekani ata kidogo ndugu mtanzania mpenda Amani,Umoja na Mshikamano popote ulipo jitahidi kuwaelimisha watanzania wenzako juu ya chadema na wafusi wake kama hawafahi kupewa madaraka ni watu waongo sana,wafitina,ni watu wa kejeli na matusi,wana jazba sana,wadini,wakabila,waroho wa madaraka wako tayari taifa limwage damu wao waingie madarakani,wachochezi wa migomo na fujo zote uzisikiazo hapa nchini kwetu !ndugu mtanzania tusiwakubali hawa Chadema ata kidogo hawafahi kutuongoza,Ni chama cha kidini na kikabila wewe kama mtanzania mzalendo fanya tafiti ndogo mtaani ulipo utagundua asilimia 99.99% ya wachaga wote hapa nchini ni Chadema alafu pia pale makao makuu kuanzia uongozi wa juu wa chama yani Mwenyekiti wao mpaka viongozi wa ngazi ya chini na wafanyakazi wa kawaida yani masekretari,wafagiaji mpaka walinzi kwenye ofisini za chadema asilimia 99.99% ni wachaga na wakiristo! Amkeni watanzania wazalendo popote mlipo elimisheni na wengine kutokuichagua chadema ili kulinda Amani,Umoja Na Mshikamano tulionao watanzania ,Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika! Asanteni
kaka udini na ukabila + ukanda mnaopandikiza hautawasaidia na ipo siku mtahukumiwa kwa hili, na ndio maana watu hawawasapoti kwasababu badala ya kujibu kwa hoja nyie huwa mnakimbilia kujibu kwa matusi na na kuujadili udini na ukabila, M4C ni kwa wote bwana na CDM inakubalika kwa wote, we huoni toka kusini mbaka kaskazini, mashariki mbaka magharibi wote ni peoples pawaaaaaaaaaaaa!
 
CCM inakodisha magari na pikipiki, nyie mmeuziwa mafuso mtumba mawili kwa million mia tatu hamsini (350,000,000).

Halafu kila mkutano mnachangishwa kila mkutano bila kuoneshwa matumizi ya fedha yenu. Hamuoneshwi fedha ya ruzuku inayotoka Serikalini inavyotumika, hamuoneshwi fedha za msaada wa kutoka chama cha kikristo cha siasa cha ujerumani zinavyotumika.

Wakati huohuo tunajionea Katibu Mkuu akijenga jumba la kifahari, Dar ambapo sio kwao, (jumba lake, sio la chama, lakini linajengwa na chama). Wakati huohuo tunaona mpaka hausi geli wa geli frendi wake akilipwa perdiem zaidi ya laki kwa siku (kuliko Mbunge), akilazwa hoteli ya nyota 5 kwa zaidi ya laki tatu kwa siku, wote hausi geli na gelifrendi, kwa fedha ya chama. Dahhh.

Badala ya nyinyi kuhoji yote hayo, mnakaa kutazama CCM wanakodisha nini. Ni watu wa ajabu sana.
 
Mkutano wenyewe wamefanyia sokoni magamba bhana asasi kagawa ela kwa vijana wamitaani
 
Kazi ipoo bado wenye njaaa ni wengi tz ndo maana wanauzaga shahada zao za kura
 
Ndiyo maana deni latifa lina zidi kuongezeka..hizo pesa ndiyo hizi zinazo tumika kulipa watu ili wahudhulie mikutano ya CCM....

Acheni tabia ya kike ya kusema ovyo, Cdm wanazalisha nini hapa Tz hata wanapata fedha za
kufanyia kampeni na mikutano?
Tuonyesheni kiwanda japo kimoja tu kinachowazalishia mali mnazoziuza na kupata pesa za kampeni
na kuwalipa wabunge wenu. Si ni bora viongozi wenu wakaanzisha viwanda wakaajiri watoto wetu
kwa fedha hizo wanazofanyia mikutano.

Na nyie mnaoshabikia mikutano, mnapata nini ktk hiyo mikutano, si vyema mkakaa ktk sehemu zenu
za uzalishaji na kuongeza pato la taifa. Waulizeni wenzenu wa Misri na Libya waliokuwa wakila bure
leo wana hali gani? Chama/mtu anayekuchota akili uichukie serikali mwogope sana. Muulize mpaka
hapo alipo anawasaidiaje vijana? au Je, nini kifanyike kuongeza ajira? Hana jibu. Kama ni mzuri kwako
mbona hatoi ushauri kwa serikali? Yeye ni kulia lia tuuu. Mwombeni awaonyeshe njia ya kujiajiri, mkifanikiwa
mfuateni. Zaidi ya hapo VIJANA mnamtafutia mtu njia ya kuingia Ikulu na nyie mtakuwa kama Chiruba na
wazambia.

Karabagao.
 
Mkutano wenyewe wamefanyia sokoni magamba bhana asasi kagawa ela kwa vijana wamitaani

Tumeshawazoea kwa uongo,uzushi,uchochezi,majungu,mipasho,matusi,kejeli,lalama, mnakula posho kwa kazi hiyo mtu mmoja ana IDs tofauti tofauti kwa ajili ya kazi ya kudanganya na kupotosha umma wa watanzania ili kuijenga Chadema kisiasa,watanzania wanawaelewa sasa hivi huwa wanakuja kwenye mikutano kuwashangaa jinsi mnavyokosa hekima na busara kwa kusema uwongo na kutoa uchochezi kwa watanzania dhidi ya viongozi wa taifa hili ambao waliwachagua wenyewe!
 
Habari wakuu, ile tabia ya ccm inaendelea, ili kuhakikisha kuwa watu wanajaa kwenye mkutano wao wa iringa leo, wameamua kukodi magari na pikipiki, ninayaandika haya nikiwa na ushahidi coz nina bodaboda yangu pia imekodiwa pamoja na dereva wake.ninachoona ni kuwa ccm haina uhakika na mambo yake ndo maana inawalazimu wabembeleze watu yaani ccm inawahitaji watu wakati watu hawaihitaji ccm.mkakati huu wa kutafuta watu wa kujaza mkutano umepamba moto hasa ukizingatia jana CHADEMA watu walifurika mno kwenye mkutano wao.
ushauri wangu.ccm jitafakarini kinachowafanya mpoteze mvuto kiasi hiki, najua mnajua ila mmeuchuna tu, hii tabia ya kuoneana haya na kulindana ndo inazidi kuwachimbia kaburi.vijijini ndo ilikuwa ngome yenu kuu lakini hata huko siku hizi hawawataki kabisa hata kuwaona, viongozi wenu wa matawi na mashina hawakotayari kufanya kazi coz hamuwajali kwa chochote.siku hizi ni fedheha kuvaa manguo yenu maana ukivaa unaonekana msaliti mbele ya jamii na mbele ya nchi yako.
CCM MKAE MKIJUA KUWA WATU WAMECHOSHWA NA UTAWALA WENU WA KIDHALIMU USIOKIDHI HAJA NA MATAKWA YA WALIOWAPA LIDHAA YA KUONGOZA.

unataka watembee kwa miguu ? tuache ushambaa wa kijima,chama kikiandaa mikutano lazima kiwajali wanachama wake kwa kuwapa usafiri kwa wale walioko tayari
 
Tumeshawazoea kwa uongo,uzushi,uchochezi,majungu,mipasho,matusi,kejeli,lalama, mnakula posho kwa kazi hiyo mtu mmoja ana IDs tofauti tofauti kwa ajili ya kazi ya kudanganya na kupotosha umma wa watanzania ili kuijenga Chadema kisiasa,watanzania wanawaelewa sasa hivi huwa wanakuja kwenye mikutano kuwashangaa jinsi mnavyokosa hekima na busara kwa kusema uwongo na kutoa uchochezi kwa watanzania dhidi ya viongozi wa taifa hili ambao waliwachagua wenyewe!
Mbona umekuwa mkali hivyo k.i.m.a wee! Magamba hamna mvuto. SHUT UP!
 
Mkuu operation jaza uwanja ni Kati operation zinazotumia hela kuliko hata kujenga barabara kwasababu kupata watu wa kujaza sq meter mbili si chini ya milioni moja hayo ndio mahesabu wanayotumia ccm

Hatukushangahi kusema uwongo,matusi,kejeli,majigambo,udini,ukabila,fitina,siasa chafu,kudanganya na kupotosha umma wa watanzania ndiyo sera yenu chadema,wenyewe hapo ndiyo mnaijenga chadema kisiasa ata takwimu na kumbukumbu ya muyasemayo majukwaani mnakuwaga hamna ahadi zenu ni za kufikirika kama vile mtapima na kugawa viwanja bure kupitia wizara ya ardhi na makazi,mfuko wa cement utauzwa Tsh 5000 ,mtatoa matibabu ya afya bure kwa watanzania wote,Elimu kuanzia chekechea mpaka chuo itakuwa bure alafu wanafunzi wa chuo watapewa pesa za kutosha za kujikimu ! Tunaomba mtuambie yale yaliyohahidiwa na wabunge wenu wakati wa kampeni uchaguzi wa 2010 yametekelezwa kwa kiasi gani? Vinginevyo mnatwanga maji kwenye kinu watanzania hawadanganyiki kihivyo huwa wanakuja kwenye mikutano kuwashangaa jinsi mlivyokosa hekima na busara dhidi ya viongozi wa serikali,Enzi zile ulikuwa unanyongwa sasa wanawashangaa nyie mnafikiri mnapendwa!
 
Mbona umekuwa mkali hivyo k.i.m.a wee! Magamba hamna mvuto. SHUT UP!

Hatuwashangahi matusi,majungu,uchochezi,ubishi,ukorofi,udini,ukabila, maneno yasiyo na hekima na busara ndiyo sera zenu kama magwanda papa wanatukana na kubwabwaja iwe wewe gwanda dagaa,pole sana kijana mdogo kama wewe ukiwa muongo na mpika majungu mwisho wa siku utakuwa mchawi!
 
Kumbe CHADEMA ni moto wa mabua. Mkutano wa nape hapa iringa ni aibu kwa CHADEMA, umati wa watu na hisia za watu baada ya kubaini undani wa CHADEMA kukosa usingizi na kuanza kampeni maoema ninini?? Kwa wale wapenda jamii forum ambao wamekuwa wakidanganywa na CHADEMA kuhusu maendeleo yao hapa Tanzania.

Kwa hili chdamea wameumbuka. Walidhani watafanikiwa kuwatumia watanzania wa kusini na sehemu nyingine ili dili zao zitimie. Tunajua waliowengi wanaishi huko ughaibuni wakiosha vyoo vya wazungu na kutudanganya sisi eti movement for change. Maana yake wanaijua hao wazungu ambao waliileta hii ajenda pale Jangwani.

Lakini sasa watu wa iringa wamewaumbua. Baada ya kuanza kampeni kinyemela wakidhani vyama vingine vitakaa kimya kusikiliza pumba zao, nape ameamua kula nao sahani moja kupita huko walikopita. Cha kushangaza kila sehemu alizopita nape hapa iringa ni kama chadema waliwasha moto wa makaratasi ambao hata mlevi akiukanyaga unazimika.

Basi licha ya CHADEMA kuacha bunge na kukimbilia iringa kuwashawishi watu wairinga wasimsikilize nape jana tu aliweza kuwakabidhi wanachama wapya elfu sita kadi zaa CCM na akakabidhiwa manendera ya muingereza ambayo chadema wanayatumia iliwaendelee kupewa misaada na conservatite. Kila chadema wanapolialia na kuandika uongo nape anazidi kupasua anga.

Sasa operation sangara ilikwishaingiwa na funza. Operation movement for change inawaendea vizuri lakini movement backward kwa kubadilisha upepo. Watu wanazidi kuifahamu CHADEMA. Shibuda ametufungua macho. Zitto naye alisema waziwazi eti renamo ni chama rafiki wa CHADEMA.

Duuu ili tutaenda kumwambia Nyerere na samora macheli huko waliko
 
Habari wakuu, ile tabia ya ccm inaendelea, ili kuhakikisha kuwa watu wanajaa kwenye mkutano wao wa iringa leo, wameamua kukodi magari na pikipiki, ninayaandika haya nikiwa na ushahidi coz nina bodaboda yangu pia imekodiwa pamoja na dereva wake.ninachoona ni kuwa ccm haina uhakika na mambo yake ndo maana inawalazimu wabembeleze watu yaani ccm inawahitaji watu wakati watu hawaihitaji ccm.mkakati huu wa kutafuta watu wa kujaza mkutano umepamba moto hasa ukizingatia jana CHADEMA watu walifurika mno kwenye mkutano wao.
ushauri wangu.ccm jitafakarini kinachowafanya mpoteze mvuto kiasi hiki, najua mnajua ila mmeuchuna tu, hii tabia ya kuoneana haya na kulindana ndo inazidi kuwachimbia kaburi.vijijini ndo ilikuwa ngome yenu kuu lakini hata huko siku hizi hawawataki kabisa hata kuwaona, viongozi wenu wa matawi na mashina hawakotayari kufanya kazi coz hamuwajali kwa chochote.siku hizi ni fedheha kuvaa manguo yenu maana ukivaa unaonekana msaliti mbele ya jamii na mbele ya nchi yako.
CCM MKAE MKIJUA KUWA WATU WAMECHOSHWA NA UTAWALA WENU WA KIDHALIMU USIOKIDHI HAJA NA MATAKWA YA WALIOWAPA LIDHAA YA KUONGOZA.

Pole sana kijana,posho itawaua kwa kutumwa kudanganya na kupotosha umma wa watanzania ili waichukie CCM na serikali yake!
 
Waacheni wajiridhishe wakati wanasubiria maziko yao 2015.

Umesahau kauli ya Wassira?hamfiki 2015,miongoni mwa wanachama wenu na viongozi wenu wamechoshwa na tabia ya chama kuongozwa kiukoo mtu yeye,dada yake na mtoto wake wanapeana ubunge wa viti maalum wapiganaji wengine walaji wengine,wewe ni young politician vuta subira utayaona!
 
CCM inakodisha magari na pikipiki, nyie mmeuziwa mafuso mtumba mawili kwa million mia tatu hamsini (350,000,000).

Halafu kila mkutano mnachangishwa kila mkutano bila kuoneshwa matumizi ya fedha yenu. Hamuoneshwi fedha ya ruzuku inayotoka Serikalini inavyotumika, hamuoneshwi fedha za msaada wa kutoka chama cha kikristo cha siasa cha ujerumani zinavyotumika.

Wakati huohuo tunajionea Katibu Mkuu akijenga jumba la kifahari, Dar ambapo sio kwao, (jumba lake, sio la chama, lakini linajengwa na chama). Wakati huohuo tunaona mpaka hausi geli wa geli frendi wake akilipwa perdiem zaidi ya laki kwa siku (kuliko Mbunge), akilazwa hoteli ya nyota 5 kwa zaidi ya laki tatu kwa siku, wote hausi geli na gelifrendi, kwa fedha ya chama. Dahhh.

Badala ya nyinyi kuhoji yote hayo, mnakaa kutazama CCM wanakodisha nini. Ni watu wa ajabu sana.

Hatuna haja ya kuhoji matumizi ya fedha zetu wenyewe,wakati tunaona wazi jinsi zinavyotumika vizuri kuiua ccm na kusambaza elimu ya uraia kwa wengi walioikosa!kuliko nyie mnaotumia kodi zetu kukodi magari ya kukusanyia watu ili kuwadanganya,mauti na iwe juu yenu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom