Ccm jimbo la mtera 2015

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
557563_340161536039986_100001384265835_933958_1380310853_n.jpg


Jasho linawatoka CCM hawajui kama watalibakiza Mikononi Mwao 2015

Wananchi Wameichoka, Maneno Mengi Shughuli Chache, fitina Nyingi

Uwajibikaji Mdogo
 
Aisee uko sawa. Wana Mtera wamekosea sana kumchagua mtu kama huyu. Ni heri wangebaki na mzee wa kazi mzee Malechela. Walakini kwa huyu wanaona hata aibu kujitambulisha kuwa wanatoka Mtera.
 
Yaani mbavu zangu lazima zimepata mtafaruku kwa kicheko!ngoja nikapige X-ray tehe!tehe!
 
Hii ni kali, Wagogo wanapenda sana kutumia fisi kama ndio usafiri wao kwenye kuwanga. nadhani ushindi ni lazima.
 
CDM acheni uwongo, wenyewe CCM tunamfagilia Lusinde kwa kuwapa vidonge; Mtera CDM haina ofisi, mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi walifungua ofisi ya muda Muda Misheni, baada ya kwisha uchaguzi wakafunga ofisi
 
Nahisi kama haya ni matusi tafadhali kama kunasababu ya kuwa chagua chadema basi isiwe kuwatukana ccm hatakama wao wana tutukana
hata hivyo wabunge wasio wajibika
waondolewe hataikiweze kana kwa nguvu
ya uma kama chadema wanavyo sema
 
Mh! kibajaj pga chini,mpaka leo najiuliza kbajaji matusi anayasikia kwa mke wake,mwanae,au nikawaida yawapingili kuropoka matusi ovyo mbele yawatoto? jimbo la mtera nikama mwembe wa uani.
 
557563_340161536039986_100001384265835_933958_1380310853_n.jpg


Jasho linawatoka CCM hawajui kama watalibakiza Mikononi Mwao 2015

Wananchi Wameichoka, Maneno Mengi Shughuli Chache, fitina Nyingi

Uwajibikaji Mdogo

huyu lusinde.huenda ana mkono wa sweta.iringa wanaprogramme ya kuhakikisha mikono ya sweta inaisha.wote waliopitia hatua za makuzi katika jamii zetu.hawangethubutu kuporomosha mitusi kama limewehuka.anyway ndio mavijana yanayopikwa ya magamba.
 
hiyo maana yake hata km CDM wataamua kumcmamisha huyo fisi agombee 2015 wanauhakika watashinda kutokana na kinachotokea ss kazi ma2c 2 kwenye kampen wakati jimbon wananchi wanalia shida
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom