CCM: Jembe na Nyundo ni alama sahihi kwa nyakati?

jembe la kuwachimbia wananchi kaburi, nyundo ni kwa ajili ya kupigilia misumari
 
maana yake ni mkulima na mfanyakazi hawaruhusiwi kuingia huko na ndiyo maana jembe (mkulima) na nyundo (mfanyakazi) vimewekwa kwa style ya X!!!!............ are you there??

Huu ni ukweli mtupu. Kikwete mwenywe alikataa kura za wafanyakazi.
 
NYUNDO ni ya kupiga kichwani, ukidondoka unafukiwa na JEMBE...
 
Kutokana na nembo ya CCM ya jembe na nyundo kukosa uhalisia pamoja na kutosadifu matendo ya chama hiki kikongwe nchini Tanzania,napendekeza badala ya Jembe na nyundo naomba tuweke Kijiko na Uma ili nembo hii isadifu matendo ya chama hiki.Wanachama naomba mniunge mkono vilevile mnaweza kutoa mapendekezo yenu juu ya hili.Naomba kuwasilisha.
A%20S%20embarassed.gif
:lol:
 
Kutokana na nembo ya CCM ya jembe na nyundo kukosa uhalisia pamoja na kutosadifu matendo ya chama hiki kikongwe nchini Tanzania,napendekeza badala ya Jembe na nyundo naomba tuweke Kijiko na Uma ili nembo hii isadifu matendo ya chama hiki.Wanachama naomba mniunge mkono vilevile mnaweza kutoa mapendekezo yenu juu ya hili.Naomba kuwasilisha.:A S embarassed::lol:
Teh teh teh........tuongeze na paja la kuku katikati kuonyesha jinsi tulivyoboresha maisha ya watanzania! Sasa maisha ni bora kwelikweli haswa katika hii awamu wenyewe wanayoiita ya nne au ya "Maisha Bora" maana walipoingia kilo ya mchele iliyokuwa ikiuzwa Sh. 200/= sasa wameiboresha na kuwa 2,000/=, sukari toka Sh. 400/= hadi sasa 3,000/=, Bia chupa iliyokuwa eti sh. 600/= sasa bei imeboreshwa na kuwa 1,500/= ...OOOh nimesahau imeboreshwa zaidi wiki hii ambapo sasa inauzwa kwa bei bora zaidi ya 2,000/= kwa chupa na nasikia hadi ifikapo 2015 itafikia Sh. 5,000/= kwa chupa. CCM Hoyeeeeeeee!
 
Kutokana na nembo ya CCM ya jembe na nyundo kukosa uhalisia pamoja na kutosadifu matendo ya chama hiki kikongwe nchini Tanzania,napendekeza badala ya Jembe na nyundo naomba tuweke Kijiko na Uma ili nembo hii isadifu matendo ya chama hiki.Wanachama naomba mniunge mkono vilevile mnaweza kutoa mapendekezo yenu juu ya hili.Naomba kuwasilisha.
A%20S%20embarassed.gif
:lol:
Ni vema wakaongeza na picha ya noti ili iwe jembe,nyundo na noti,
 
mi napendekeza iwepo bunduki SMG na kibunda cha noti itasadifu ujambazi,kuua na ukandamizaji kisa pesa
 
kaka umeona mbali sana, mada yako imenigusa sana. ukweli ndio kama ulivyoandika, CCM inatakiwa ijiandae kubadilisha nembo huu ndio wakati muafaka. sasa hivi kile chama kimetawaliwa na wajasiliamali kwa idadi kubwa! ni chama cha wadundundulizaji ambao wanataka madaraka ili kulinda maslahi ya biashara zao.
kama wanabisha tuanzishe tread ya kuandika wabunge na kazi zao wanazozifanya kama sio biashara tupu na sio WAJASILIAMALI NA MA EX... FISADIS.
 
Back
Top Bottom