Ccm itatoka kweli 2015

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Nimefanya utafiti kwa watu 500 kwa siku 20.

Katika kila vijana 10. 9 Chadema 1 Ccm
Katika kila wazee 10. 7 Chadema 3 ccm

Kingine

Habari yeyote iandikwayo kwenye ukurasa wa mbele katika magazeti ya kila siku.
Kama inahusu CCM, mauzo ya siku upungua kati ya asilimia 15 mpaka 25

Ambayo inausu Chadema, mauzo uongezeka kati ya asilimia 7 mpkaka 10

Utafiti huu, nimeufanya katika wilaya ya Temeke ambapo ina wabunge wa CCM tu.
 
huo ndio ukweli wa mambo
 
|Mh nyie ndio mnakuja kupata pressure majibu yakitoka, yaani hivi nani kawaambia chadema inapendwa kote? ! maana yani mnajishaua kweli kweli ! ngoja 2015 ufike kwanini uandikie mate?
 
CCM itatoka ikulu na kuwa chama cha upinzani!!!
Dalili zipo wazi na hata JK ameshaanza kupigia chapuo uchaguzi wa rais uhojiwe mahakamani;hii ni hofu dhahiri ya kushindwa 2015!!
CCM wasithubutu kuiba kura 2015 kwani mwamko sasa ni mkubwa na wataishia kuharibu hata historia yao na historia kuwakumbuka vibaya!
 
Ilo liko wazi Chadema itashinda kwa kura ila ccm itaendelea kukaa ikulu kwa fitna...simple and clear
 
Watu 500 uliwapata wapi ndugu? kwenye ma BAR? Mashuleni? Vituo vya mabasi? Hospitali?

Uliwapa Questionaire wakajaza kwa siri au uliuliza wakati rafiki zao wanasikiliza?
 
Nimefanya utafiti kwa watu 500 kwa siku 20.

Katika kila vijana 10. 9 Chadema 1 Ccm
Katika kila wazee 10. 7 Chadema 3 ccm

Kingine

Habari yeyote iandikwayo kwenye ukurasa wa mbele katika magazeti ya kila siku.
Kama inahusu CCM, mauzo ya siku upungua kati ya asilimia 15 mpaka 25

Ambayo inausu Chadema, mauzo uongezeka kati ya asilimia 7 mpkaka 10

Utafiti huu, nimeufanya katika wilaya ya Temeke ambapo ina wabunge wa CCM tu.

Sasa ungetaka kuthibitisha hayo matokeo yako ni ya kweli, ungeleta hizo asilimia vis versa, Yani CCM iwe inangoza ungeona moto wake hapa JF! Na hiyo ingekuthibitishia wazi hayo matokeo yamepikwa. Ila kwa sababu umeleta ya kweli haa, we tarajia likes nyingi tu shehe wangu. Naomba ukafanye Vijijini ila mikoa ya kusini halafu tuone nako wanasemaje.
 
Watu 500 uliwapata wapi ndugu? kwenye ma BAR? Mashuleni? Vituo vya mabasi? Hospitali?

Uliwapa Questionaire wakajaza kwa siri au uliuliza wakati rafiki zao wanasikiliza?

Sehemu za viwandani - Wafanyakazi, Biashara pamoja na majobless pia katika mazingira ninayoishi
 
kama ilivyokuwa arumeru na ile chupuchupu ya igunga baada ya kugawa mahindi ya kutosha

Jamaa utafiti wake sio,Iam sure tuna miongo zaidi ya 3 ya kuendelea kushika madaraka,Kwa mjini its ok kwamba chadema wanawatu kiasi japo hawajatufikia,jaman uchaguzi uliopita its 2years tu tuna wabunge karibu 75%, hii inaonnyesha ni jinsi gani wananchi bado wana iman na ccm,kwa utafiti wenu hasa usiotumia busara na kutojua utafiti ni nini,huwezi kuchukua research ya wilaya moja ikawasemea wengine zaidi ya wilaya 130.
Rudi shulen kasome vizuri
 
Jameni...mkishangaa ya Musa mtaona ya Firauni, mkishangaa ya CCM, CDMinawaumbua....viva CDM viva, and "Aluta Continua"
 
Back
Top Bottom