CCM Itateua Mgombea wake wa Urais kutoka Zanzibar

Moses Kyando

Member
Mar 4, 2010
48
7
Inawezekana kabisa kwa sasa kila mtu akaona haya si mawazo sahihi kwa sababu ya kusikika kwa akina Magufuli, Lowasa na Mwandosya. Suala la Muungano wa nchi yetu ni tete sana kwa sasa na litaendelea kuwa tete kadiri tunavyousogelea mwaka 2015.

CCM kwa sababu ya kuwaondoa hawa wanaotajwa tajwa kama walivyomfanyia Sitta katika ngazi ya Uspika kwa kudai kwamba ilikuwa zamu ya wanawake licha ya kuwa si jambo la kikatiba, basi hata katika urais watatengeneza zamu ya Zanzibar bila kujali katiba bali vikao vya chama. Lengo la kufanya hivyo itakuwa kuwakata kilimilimi hawa wabara wanaoutamani urais lakini pia kujaribu kuuimarisha Muungano ambao miongoni mwa sababu za kuteteleka ni Wazanzibari kutopata Urais wa Muungano.

UVCCM yalifanyika kwa kumtoa Nape na kumpa Masauni na mifano mingine ipo. Bisheni leo lakini unabii huu utatimia
 
Sidhani kama mzanzibari ana nafasi tena ya kugombea huku bara,kama ikitokea hilo basi itakuwa vigumu sana kupata kura.
Wenyewe wanataka muungano uvunjike!
 
Inawezekana kabisa kwa sasa kila mtu akaona haya si mawazo sahihi kwa sababu ya kusikika kwa akina Magufuli, Lowasa na Mwandosya. Suala la Muungano wa nchi yetu ni tete sana kwa sasa na litaendelea kuwa tete kadiri otunavyousogelea mwaka 2015. CCM kwa sababu ya kuwaondoa hawa wanaotajwa tajwa kama walivyomfanyia Sitta katika ngazi ya Uspika kwa kudai kwamba ilikuwa zamu ya wanawake licha ya kuwa si jambo la kikatiba, basi hata katika urais watatengeneza zamu ya Zanzibar bila kujali katiba bali vikao vya chama. Lengo la kufanya hivyo itakuwa kuwakata kilimilimi hawa wabara wanaoutamani urais na Kuimarisha Muungano. UVCCM yalifanyika kwa kumtoa Nape na kumpa Masauni na mifano mingine ipo. Bisheni leo lakini unabii huu utatimia
Yakifanyika hayo hata magamba wenyewe watamnyima huyo mzanzibari kura
 
Tulimteua Mwinyi kuwa mgombea baada ya Nyerere kustaafu. Alifanya nini kusaidia kuimarisha mwungano? Nduhu!
 
itakuwa jambo jema sana wakimchagua Mzenj kuwa mgombea urais. Na mimi napendekeza kati ya hawa wafuatao. Salmin Amour (Dr), Shein (Dr) au Nohaza Vuai last but least Babu msaidizi wa kikwete.

Tuwapambanishe na Dr wa Ukweli.
 
Sababu ya Wazanzibari kutopenda Muungano au tuseme wananchi kutopenda Muungano ndiyo itakayosababisha CCM kuamua kuwapooza kwa kufanya rais wa nchi atoke Zanzibar.
 
Inawezekana kabisa kwa sasa kila mtu akaona haya si mawazo sahihi kwa sababu ya kusikika kwa akina Magufuli, Lowasa na Mwandosya. Suala la Muungano wa nchi yetu ni tete sana kwa sasa na litaendelea kuwa tete kadiri tunavyousogelea mwaka 2015. CCM kwa sababu ya kuwaondoa hawa wanaotajwa tajwa kama walivyomfanyia Sitta katika ngazi ya Uspika kwa kudai kwamba ilikuwa zamu ya wanawake licha ya kuwa si jambo la kikatiba, basi hata katika urais watatengeneza zamu ya Zanzibar bila kujali katiba bali vikao vya chama. Lengo la kufanya hivyo itakuwa kuwakata kilimilimi hawa wabara wanaoutamani urais lakini pia kujaribu kuuimarisha Muungano ambao miongoni mwa sababu za kuteteleka ni Wazanzibari kutopata Urais wa Muungano. UVCCM yalifanyika kwa kumtoa Nape na kumpa Masauni na mifano mingine ipo. Bisheni leo lakini unabii huu utatimia

Kiu ya wazanzibari sio uraisi bali ni usawa wa nchi mbili zilizoungana na zilizokua huru kabla ya muungano.

Kwa akili za ccm wanaweza kufikiria hivyo ila hilo nikosa kubwa kwa wabara ambao ndio wengi na itakua ndio kifo cha ccm hicho.

Ingawa hapa ndio tunapougundua unafik wa watu wa bara(kina Lema), wanapoitaka zanzibar iwekwenye muungano husema hile ni nchi moja (Tanzania) lakini mgombea urais akichaguliwa kutoka Zanzibar watasema haiwezekani nchi yenye watu idadi sawa na wilaya ya kinondoni hawawezi kutoa Rais badala yake rais atoke bara.
 
Sitampigia kura mgombea yeyote wa Urais Tanzania kutokea Zanzibar.Akiwekwa na kivuli,nitachagua kivuli!
 
Ni kwanini Wanzanzibar watake kupendelewa si wagombee kama wengine. Vilevile Zanzibar is wana raisi wao!!! au kuna mtu kutoka bara anaweza kugombea uraisi wa Zanzibar hivyo Zanzibar hawaitaji uraisi kudumisha muungano ni sababu tu ambayo haina msingi. Demokrasia ya zamu ni democrasia ya umasikini.
 
Dr. Hussein ally mwinyi the best vp edo lowasa pm mark mwandosya
 
Ikitokea akagombea mzanzibar next gen. election, itakuwa ni ujasiri pekee atakaouonesha JK hadharani tangu azaliwe.
 
Inawezekana kabisa kwa sasa kila mtu akaona haya si mawazo sahihi kwa sababu ya kusikika kwa akina Magufuli, Lowasa na Mwandosya. Suala la Muungano wa nchi yetu ni tete sana kwa sasa na litaendelea kuwa tete kadiri tunavyousogelea mwaka 2015.

CCM kwa sababu ya kuwaondoa hawa wanaotajwa tajwa kama walivyomfanyia Sitta katika ngazi ya Uspika kwa kudai kwamba ilikuwa zamu ya wanawake licha ya kuwa si jambo la kikatiba, basi hata katika urais watatengeneza zamu ya Zanzibar bila kujali katiba bali vikao vya chama. Lengo la kufanya hivyo itakuwa kuwakata kilimilimi hawa wabara wanaoutamani urais lakini pia kujaribu kuuimarisha Muungano ambao miongoni mwa sababu za kuteteleka ni Wazanzibari kutopata Urais wa Muungano.

UVCCM yalifanyika kwa kumtoa Nape na kumpa Masauni na mifano mingine ipo. Bisheni leo lakini unabii huu utatimia

Kwani inasemaje kwa hili??/
 
Back
Top Bottom