CCM itashinda uchaguzi mkuu wa 2010 kwa asilimia 67

You are very right...asilimia 67% ya mlizopata 2005 ambazo ni 80%....mathematically 67%X80%=53.6%....still dreaming
 
Yes kwakua kidongo mmeanza ku simama dede hizo 53% mtagawana ila nyie mtapata 22% ngangari 12%
zilizo baki watagawana hao wengine
 
Yes kwakua kidongo mmeanza ku simama dede hizo 53% mtagawana ila nyie mtapata 22% ngangari 12%
zilizo baki watagawana hao wengine

Halafu ngangari wanashinda Zenji...wanajitoa URT uchaguzi unarudiwa na JK hawezi kugombea mara ya 3....mtatoana mimacho nani asimame sisi tuanchukua nchi
 
zanzibar wanashinda CUF na huku URT inashinda CHADEMA mambo kama vile TARIME CCM zama zao zinahesabika
 
Back
Top Bottom