CCM ingemtuma Rizwan kuiwakilisha kwenye mdahalo

Huyo kijana ni moja ya vijana wa UVCCM ambao uwezo wao uko katika kufanya kampeni za kuchafua wazalendo na wale ambao kwa mtazamo wao uvccm wanawaperceive kama potential enemies.Ridhiwani hana ubavu wa kujenga hoja mbele ya wasomi wa mlimani, angeshikwa na kigugumizi na angeishiwa kuzomewa pale mbele.Wenye ubavu huo ni Samuel Sitta, Pius Msekwa, Dr Mwakiyembe.Ninauhakika makada hao, hususani Msekwa hawawezi kwenda pale kujiharibia CVs zao kwa vile tayari wanajua CCM is in a melting pot.Napendekeza next time wamtume YUSUPH MAKAMBA naamini atatetea vyema, kwa njia ya lugha chafu, kejeli na udhalilishaji of course, mtazamo na msimamo wa chama chake ambacho is heading in its moribund.
 
Aisee wangemleta huyu kilaza ingekuwa safi sana! kuna umuhimu CDM tuendelee kuwasifu hawa ili wafanye makosa kama haya. Huyu dogo yaani angeingia pale angetaka msafara wa kumpeleka jukwaani na mtu wa kumshikia Mike, kaazi ingeanzia hapo maana angeishia kusema CCM oyee wakati hata katiba hakuwahi hatawahi kuwa na fikra nayo
 
Ridhimu za hawa ccm sasa zimeshamchosha kila mtu kuwatetea ni sawa na kubeba zigo la kinyesi kwani hata angeshuka nani kwa kuitetea ccm lazima uzomewe mbele ya kadamnasi.50 yrs inatosha kwani ukishafika juu kinachofuata ni kudondoka tuuuuu na si vinginevyo....:rip:CCM
 
A na B yote sawa! Huwezi kujenga hoja kama wewe binafsi ni sharobalo wa akili! Ndio maana sharo Bagenda alishindwa hivyo mtoa mada aliyependekeza huyu sharo mwingine huenda alidhani ni bora na ndio maana dot zinaonyesha hana uwezo hata wa kumudu hoja zake binafsi
 
Wanajamvi baada ya Prince Bagenda kuonekana mamluki ambaye hakubeba ujumbe wa CCM jana kwa nini rz1 asingetumwa kwa kuwa ana uelewa wa chama na serikali na bba yake amekuwa akimtumia katika majukumu mengi? Naamini angekuwa yeye pale vijana wa cdm wasingemzomea kwani angetumia elimu yake ya sheria na uwakili kuchana hoja za cdm na ccm tungetoka kwa furaha!

Unaonekana una akili nyingi sana.tena wewe ni mzalendo wa kweli.Ni kweli kabisa wala hujakosea chochote katika haya uliyoandika
 
Jamani msisahau kama rz ni kilaza kama ............

mi nataka nijue wakina nani na wangapi walimfahamu Rizimoja kabla ya baba yake kuwa raisi?huyo dogo mwenyewe anaungaunga tu na mwisho wa umaarufu wake ni 2015 aun even b4 baba yake hajamaliza muda wake.
 
Unaonekana una akili nyingi sana.tena wewe ni mzalendo wa kweli.Ni kweli kabisa wala hujakosea chochote katika haya uliyoandika

Sasa mbona hujamgongea senksi kwa kuibua hoja maridadi kama hii inayotufumbua uwezo wa vijana wa CCM dhidi ya CDM?
 
Huyo kijana ni moja ya vijana wa UVCCM ambao uwezo wao uko katika kufanya kampeni za kuchafua wazalendo na wale ambao kwa mtazamo wao uvccm wanawaperceive kama potential enemies.Ridhiwani hana ubavu wa kujenga hoja mbele ya wasomi wa mlimani, angeshikwa na kigugumizi na angeishiwa kuzomewa pale mbele.Wenye ubavu huo ni Samuel Sitta, Pius Msekwa, Dr Mwakiyembe.Ninauhakika makada hao, hususani Msekwa hawawezi kwenda pale kujiharibia CVs zao kwa vile tayari wanajua CCM is in a melting pot.Napendekeza next time wamtume YUSUPH MAKAMBA naamini atatetea vyema, kwa njia ya lugha chafu, kejeli na udhalilishaji of course, mtazamo na msimamo wa chama chake ambacho is heading in its moribund.

kama sio Makamba basi wawege wanamtuma Hizza Tambwe ....teh,teh...
 
Sasa mbona hujamgongea senksi kwa kuibua hoja maridadi kama hii inayotufumbua uwezo wa vijana wa CCM dhidi ya CDM?

Mkuu umeingia kwenye mtego , hivi mtu akileta hoja ya kejeli utapoteza muda kuzozana au utatumia busara kumwambia anachotaka kusikia?
 
That could be the last thing to do in this world!!! katoto kale is like a hole in the head! Pamoja na yote Thithiem hawawezi kutuma watu learned kama Dr. Mwakyembe, Sitta na wengineo kwa sababu wanaujua ukweli. Pia hawana hoja za kushindana na wenye nchi kwa kuogopa kuzomewa. Kwani mmesahau jinsi chama chao kilivyopiga marufuku wagombea wao kushiriki kwenye midahalo????? Wangeulizwa mbona ahadi mlizozitoa 2005 hazikutekelezwa wangejibu nini? wanakimbia vivuli vyao hao! This time hadi kieleweke, maana tumevuja jasho sana!
 
Mkuu umeingia kwenye mtego , hivi mtu akileta hoja ya kejeli utapoteza muda kuzozana au utatumia busara kumwambia anachotaka kusikia?

nimependa ukengeuko wako na ukigeugeu pia? hahahahahaha watu kama nyie mnatakiwa kuifanya siku iende lakini hoja inabaki pale pale
 
Back
Top Bottom