CCM inazidi kuchukiwa na wananchi siku hadi siku

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Wadau -- kama mme-notice jiunsi siku zinavyoenda, ndiyo jinsi CCM inavyozidi kuchukiwa na wananchi.

Ukiangalia vipindi vingi vya TV (mfano: Jiji Let/Hapa na Pale vya ITV) utaiona hasira ya waziwazi dhidi ya CCM au/na serikali yake kutoka kwa wale wanaohojiwa kuhusu masuala mbali mbali ya nchi ingawa hawaitaji CCM moja kwa moja kwa jina.

Chuki hii dhidi ya CCM ilionekana waziwazi jana katika mdahalo wa katiba ulioendeshwa na ITV uliomshirikisha Mkamau mwenyekiti wa CCM -- Pius Msekwa.

Alipata wakati mgumu hadi mmoja wa wauliza maswali alimwambia kinaga ubaga kwamba wananchi wameichoka CCM.
 
Kuna haja gani ya kupenda chama ambacho hakipo kwa ajili ya maslahi ya wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kisichowatetea wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kinachowaibia wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kinachorudisha nyuma maendeleo ya wanachi? KUna haja gani ya kukishadadia chama kinachowadanganya wananchi?
Kama upo hapa Tanzania na una uwezo wa kufika Dodoma, tembelea kijiji kinachoitwa Chifutuka, kipo kama umbali wa kilomita 20 hivi kutoka Dodoma mjini utajua kwamba tangu mwaka 61, Tanzania ilipoteza uhuru wake. Inauma sana. Hakuna haja hata kidogo ya kukipenda chama cha namna hii.
 
Hata kule Itiso nilishuhudia watu wakishindia mboga za majani kwa kukosa chakula,lakini inasikitisha mikoa isiyo na maendeleo kiuchumi wala kielimu ndo inaongoza kuichagua CCM kwa kishindo.
 
nadhani after shetani adui yangu mkubwa ni ccm na viongozi wake. i hate them dearly! ccm plse ondoka kwa amani madarakani kabla hatujakuletea ya tunisia,misri na yemen! ccm naihitaji tanganyika huru na si tanzania yenye kitanzi cha utumwa. nakuomba sana ccm think twice ccm plse.
 
no way out, ccm must stape down, the time is over and we cant wait any more.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Mlangaja
Kuna haja gani ya kupenda chama ambacho hakipo kwa ajili ya maslahi ya wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kisichowatetea wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kinachowaibia wananchi? Kuna haja gani ya kupenda chama kinachorudisha nyuma maendeleo ya wanachi? KUna haja gani ya kukishadadia chama kinachowadanganya wananchi?
Kama upo hapa Tanzania na una uwezo wa kufika Dodoma, tembelea kijiji kinachoitwa Chifutuka, kipo kama umbali wa kilomita 20 hivi kutoka Dodoma mjini utajua kwamba tangu mwaka 61, Tanzania ilipoteza uhuru wake. Inauma sana. Hakuna haja hata kidogo ya kukipenda chama cha namna hii.
Hata kule Itiso nilishuhudia watu wakishindia mboga za majani kwa kukosa chakula,lakini inasikitisha mikoa isiyo na maendeleo kiuchumi wala kielimu ndo inaongoza kuichagua CCM kwa kishindo.

Chifutuka na Itiso kuko safi sana hakuna cha njaa watu wanakula nyama za kuchoma (na Minada mara 2 kwa mwezi huko vijijini) na njaa mwaka huu hakuna labda mikoa yenu nyie mnaotegemea umeme wa Dowans na petrol
Je? baada ya kuitoa CCM kije Chama gani? au Jeshi ndio mtaridhika
 
Back
Top Bottom