CCM inawatakia Ramadhani njema, kila la kheri!

Mwacheni Nape kwani kusudio la hili linawahusu wanaofunga tu na ametoa Ombi lake tu watu wasizidishe Bei kwani waathilika ni sisi Wananchi wa Chini.. na anajua Wafanyabiashara si rafiki zetu ni wanyonyaji sana wanambana Mkulima na wanamlangua Mlaji so anawaasa tu...

Thanks Kwa Wishes zako Napelepe
 
Huu ni wakti wa toba vipi nawe utaungama dhambi ya kuongoza majungu ya ccm?
Vipi ile dhambi ya kununua kura kwa kofia na vilemba?
Vipi naye kafunga kwa sababu mfungo huwa unampa tabu?
 
Nape Mfikishie salam Pinda mwambie alitamka liwalo na liwe na Daktari wetu mpendwa ulimboka MUNGU akamnusuru kwenye mikono ya askari wenu, na yeye katamka DAMU YAKE HAITAKWENDA BURE, nawahakikishia CCM yake yanayotokea Syria mnapaswa mjifunze, tumechoka sana na dhuluma hii. WAPE SALAAM WENZIO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom