CCM Inatudaganya kuleta maendeleo chini ya katiba ya sasa

Masauni

JF-Expert Member
Aug 15, 2010
386
58
Leo nimetumia muda mwingi sana kusoma Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kwa kweli nimegundua Katiba yetu ni vituko na vichekesho kabisa. Kwa kweli tusitegemee kupata maendeleo na ustawi wa taifa letu chini ya katiba hii. CCM INATUDANGANYA INAPOSEMA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, KILIMO KWANZA NA N.K CHINI YA KATIBA YA SASA(ukipata muda soma utaelewa ninachosema) Ufisadi hautaweza kumalizwa hata kupunguzwa chini ya katiba hii. Na inanisikitisha sana kuona hata mashabiki wa CCM pengine hawaelewi umuhimu wa kubadilisha katiba.Ndio maana nadiliki kusema kabisa kuwa CCM inatudanganya watanzania,kusema itatuletea maisha bora wakati haitaki kabisa kuongelea mabadiliko ya katiba. Lakini Dr. Slaa ameliona hili na ndo maana akasema ili watanzania tupate maendeleo ya kweli tunahitaji kubadili katiba. CCM SUPPORTERS MNACHOTAFUTA CCM NI NINI?
 
Wataelewa tu kaka we ngoja ....na Sao ccm wanajua kinachokuja 31 October
 
Back
Top Bottom